Napenda akiwa na uwazi katikati, huwa navutiwa sana

Hapana nakataa kabisa. Upendo huwa unajengwa kwa maelewano kwanza. Msichana anaweza akawa hana sifa za uzuri wowote lakini katika maelewano kati yenu ukazaliwa upendo wa dhati. Huo ndiyo upendo ninaousema.

Ukivutiwa na mtu kisa muonekano wake kisha ukaanza naye maelewano na kumshawishi awe wako hapo kutakuwa hakuna upendo wa dhati bali ni tamaa tu ya muonekano wa yule mtu.

Lakini hata kama mtu ana muonekano mzuri kitu cha kuwaunganisha kinapaswa kuwa maelewano na siyo "muonekano".

Elewa kwamba kuna wanaume wanamfuata msichana fulani sababu tu ni mzuri wa sura au umbo. Hapo hakuna upendo ni tamaa ya mwili.

Au utaona wasichana wanamfuata mwanaume fulani sababu ya urefu wake au uhandsome wake. Hapo pia hakuna upendo bali ni tamaa za mwili.

Aina hii ya mahusiano yanayojengwa juu ya misingi ya tamaa za mwili huwa hayadumu. Baada ya muda tamaa zikiisha na mahusiano huvunjika pia. Na ndiyo maana utaona matukio ya watu kuachana ni mengi sana.

Narudia tena, usimpende mtu sababu anakuvutia kwenye macho, bali mpende mtu sababu mnaelewana na kusikilizana kwa dhati ya moyoni. Tamaa ya macho ni ya nje bali nia ya moyo ni ya ndani.
 
Poa.
 
Sasa ivi ntakua naangalia hako kaupenyo kwanza inaonekana ukiwa naye huyo haununui mara kwa mara ch*pi mana kuna wengne wamebanana sana wanamaliza pichu tu
 
Astaghafulah!
Mjue jf ni zaid ya burudani.
 
Inaandika kitu ambacho hakina uhalisia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…