Napenda akiwa na uwazi katikati, huwa navutiwa sana

Nadhani usiwafundishe watu waishije,

Wanaotamani tamani leo uvungu, kesho dimpo takoni, kesho kutwa tako mbinue endeleeni kutamani tu na mjue na gharama yake

Wanaoamini ktk kuoana sijui kuelewana sijui tabia endeleeni tu haina shida na mjue mnavyovikosa

Walochagua pisi moja ya maisha yao lkn mechi za ugenini kama kawa, haya endeleeni

Wanaofikiri ni watakatifu wanae mmoja wakaona wengi ni uchafu, poa endeleeni na nyinyi

Walotendwa wakakoma wakahamia kwenye pornhub na nyeto, wanaona wanajipa self love haya na nyinyi continue

Wanaoogopa kutongoza madem wakali kisa wanaona hawaendani haya endeleeni kula kwa macho

Fanya unachoona sawa, ukichoka acha fanya kingine ila jua GHARAMA YAKE!
 
Hapo kwangu naona kama kipango tu! πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… i need thick thighs, thick sexy lips and a roundy face for me to feed up! Mwanamke mwenye lips flani kama hizi ndio kiboko yangu jamani!


Akishakuwa hivi mie tayari nampenda, ndio flava yangu hii
 
Ndugu zangu

Mwanamke akiwa chubby fulani hivi amaizing

Halafu akawa na matege fulani hivi ya kuingia ndani maeneo ya kwenye magoti...

Basi huyo ana siti special kabisa kwenye moyo wangu
 
Wacha bhana πŸ€Έβ€β™€οΈπŸ€Έβ€β™€οΈπŸ€Έβ€β™€οΈπŸ€Έβ€β™€οΈ
 
Tuliuita UPENYO,

Ila sijawasau wale wenye kikengeza cha mbaaali, hunivutia sana wale,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…