Napenda sana majirani wa aina hii

Unarudi magetoni unakutana na RB ulimchoma mtoto wa watu kisu cha jicho ndio maana jana ukakimbia.

Ila umefanya uzembe uliosababisha madhara kwa binadamu mwingine. Hilo ni kosa pia.
 
Sema lengo ni kufundisha jamii , kazi ya fasihi simulizi
 
Nimesikitika sana ..
kwaio uliamua kushindana na mwanamke
Kijana kwa ujinga huu hautaweza kuja kuishi na mwanamke ndani.
Mwanamke akiongea Mara nyingi anatumia hisia sio akili kwenye situation kama iyo ulipaswa kumsikiliza na kumuacha lkn sio kufanya ukichifanya kwa hao watoto
 
Mungu wangu, mpaka nimesisimka, kaka mbona una roho mbaya kiasi hicho jamani? mtoto analia na kisu jichoni unafua nguo kweli? utakuwa huna watoto wewe. Bad enough eti "Mimi huyo naendelea kufua majinzi yangu pale huku naendelea kuburudika na kilio cha uchungu toka kwa yule dogo". Aisee Mungu atusamehe hii roho hapana.
 
Hapo unakuwa umeua mzozo diplomatically. Watakuwa wanapendana badala ya kushindana. Very good bro.
 
huyu jamaa anasema akamkata jicho mama wa mtoto.......huku anaendelea kufua jeans zake
 

NIMEISHIA PALE ULIPOSEMA UNAMKOA KWENZI. HAKUNA MTU MWENYE AKILI ANAPIGA MAKONZI WATOTO. HATA SIKU MOJA. NLIONA TU HUNA AKILI FROM THERE. HUJUI BALAA LINGINE AMBALO UNAWEZA KUTANA NALO KWA KUPIGA MTOTO KICHWANI. ULILELEWA VIBAYA SANA.
 
Mkuu jitahidi katika haya maisha kutenda wema hata kama changamoto zinatuzuia kufanya hivyo.

Ulilolofanya jitafakari tena.
Ni bwana mdogo huyo hana akili. Na pengine story katunga. Watoto wanagombana badala ya kutafuta namna kuwafundisha kuishi pamoja anapiga makonzi? Hana akili. Anaweza hata kuua mtoto kwa namna hiyo.
 
Hiki kijamaa kibwege sana kilidhani watu watakisifia upuuzi wake. Kitakuwa kichoko. Wanaume huwa hatuwezi acha watoto waumizane kwa maneno ya mama yao. Tunalinda watoto at all cost
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…