Napenda sana majirani wa aina hii

Napenda sana majirani wa aina hii

Aiseeeee habari za leo wazee.........

Huyu jirani yangu ana watoto wawili mmoja yuko darasa la tano mwingine yuko darasa la pili, ni mdada wa makamo shughuli yake kuu ni kupika vitafunwa asubuhi na kuzungusha Kwa wateja wake. Shughuli zake zingine sizijui na huwa sizifwatilii kabisa.

Hawa watoto wake ni wanagombanaga vibaya mnoo, kama mnavyojua watoto wa kiume wakifwatana wanakuwaga na mtiti ni balaa.

Sasa bwana huyu mkubwa huwa anamtandikaga sana huyu mdogo japokuwa haka kadogo kana hasira hatari ila ndiyo hivyo kwakuwa ni kadogo huwa kanapewa sana kichapo na kaka yake na marayingi nikiwakuta wanagombana huwa namkoa makwenzi huyu mkubwa maana anamdundaga sana sana huyu mdogo wake.

Juzi jumamosi asubuhi wakati mama yao kaenda kuzungusha vitafunwa huko madogo wakaanza kugombana tena wanagombana nje nikatoka kama kawaida nikamkoa makwenzi yule mkubwa akaanza kulia, ile analia mama yao akaja kuulizwa nini dogo akasema huyu anko kanipiga, nikamweleza mama yao kuwa huyu mkubwa anampigaga sana huyu mdogo hivyo nilikuwa namuonya watakuja kuumizana hawa.

Ebwana yule dada si akaanza kuniwashia moto.... Akasema usije kumpiga mtoto wangu hata mmoja na hata hata ukiwakuta wanauana waache usinipigie wanangu Babu weee... Tena komaa.

Duuu mbele za majirani nikakaa kimya ila wakamuonya kuwa kauli yake sio nzuri yeye akakomaa niàcheni watu tukasema poa.

Sasa jana wakati kaenda kuzungusha vitafunywa huko huku madogo wakaanza kukung'utana Mimi nipo zangu nje nafua nikawaacha kama siwaoni, mdogo kapigwa kalia weeee kaka mtu akajua ameshinda sasa kaka mtu akajisahau kumbe dogo kaenda ndani kabeba kisu kamvizia kaka yake kamdomeka kisu cha jicho tena kilizama kabisaa dogo akaanza kupiga makelele pale uso mzima umejaa damu tupu.

Majirani wengine hawakuwepo Mimi na jirani mmoja ni mdada alikuwa kalala ila Kwa Yale makelele ikabidi aamke kutoka tu anakutana na hicho kisanga anataka kwenda kumuhudumia yule dogo nikampga mkwara rudi ndanii.. unakumbuka mama yao juzi alisemaje? Demu akakumbuka akarudi ndani Mimi huyo naendelea kufua majinzi yangu pale huku naendelea kuburudika na kilio cha uchungu toka kwa yule dogo.

Mama yao anarudi anakuta dogo anagalagala chini damu uso mzima na kisu bado kimetulia palepale jichoni alafu mjuba nipo pale kimyaa naendelea kuanika nguo zangu... Yule dada akaanza kupiga makelele pale huku akilia ananilaumu eti Kwa nini watoto wanaumizana vile alafu nipo hata sishtuki na sijachukua hatua yoyote!!!

Kwa kauli aliyonitolea juzi kuhusu wanae nikasema hapa nikimjibu naweza nikatwa na hasira nikamtia ngumi buure, sikumjibu kitu,.. nikamkata jicho eeweeeeee.... Nikaaendelea kuanika nguo zangu akazidi kulia yule dada anashindwa kile kisu akitoeje pale jichoni, nikamkata tena jicho kali saaana nikamalizia kuanika nguo zangu nikaingia geto nikaoga nikatoka namkuta bado analia akiomba msaada nikamkata tena jicho la kibandidu mbaya mbovu nikaamsha zangu kuelekea mtaani.

Jana toka nilivyotoka geto pale sikurudi kabisa huwa sipendagi sana makelele ya kipuuzi puuzi. Nilienda zangu lodge nikaita manzi flani nikaagiza valeur kubwa na kitimoto kilo moja na nusu tukapiga tukafanya yetu muda huu ndo naamka ndiyo nikakumbuka kile kisanga cha Jana pale geto nikacheka saaana hahahahahaha.

Haya maisha hayahitaji mpuuzi mmoja akupigie makelele ya hovyo hovyo tu.
Tumbo la uchungu limemzalishia uchungu mama mpumbavu.

Siku hizi wazazi hawataki kabisaa watoto wao wanapokuwa wamekosea wakanywe walą kufokewa. Halafu baadaye wakiwashindwa ndo unasikia naomba msaada kwa jamii.

Mimi, nimeshawaambia waning kuwa akifanya ujinga kwenye jamii hana Kinga ya kutoadhibiwa. Hive adobe na tab njema si kwa wasabi peek bali kwa jamais nzima. Lakini hawapo kifala maana kama ni kosa wanakiri na kuomba radhi ama kupokea adhabu, lakini ukiwaonea wanakukabili kujiokoa
 
Mwenye vitafunwa aniuzie wa
Aiseeeee habari za leo wazee.........

Huyu jirani yangu ana watoto wawili mmoja yuko darasa la tano mwingine yuko darasa la pili, ni mdada wa makamo shughuli yake kuu ni kupika vitafunwa asubuhi na kuzungusha Kwa wateja wake. Shughuli zake zingine sizijui na huwa sizifwatilii kabisa.

Hawa watoto wake ni wanagombanaga vibaya mnoo, kama mnavyojua watoto wa kiume wakifwatana wanakuwaga na mtiti ni balaa.

Sasa bwana huyu mkubwa huwa anamtandikaga sana huyu mdogo japokuwa haka kadogo kana hasira hatari ila ndiyo hivyo kwakuwa ni kadogo huwa kanapewa sana kichapo na kaka yake na marayingi nikiwakuta wanagombana huwa namkoa makwenzi huyu mkubwa maana anamdundaga sana sana huyu mdogo wake.

Juzi jumamosi asubuhi wakati mama yao kaenda kuzungusha vitafunwa huko madogo wakaanza kugombana tena wanagombana nje nikatoka kama kawaida nikamkoa makwenzi yule mkubwa akaanza kulia, ile analia mama yao akaja kuulizwa nini dogo akasema huyu anko kanipiga, nikamweleza mama yao kuwa huyu mkubwa anampigaga sana huyu mdogo hivyo nilikuwa namuonya watakuja kuumizana hawa.

Ebwana yule dada si akaanza kuniwashia moto.... Akasema usije kumpiga mtoto wangu hata mmoja na hata hata ukiwakuta wanauana waache usinipigie wanangu Babu weee... Tena komaa.

Duuu mbele za majirani nikakaa kimya ila wakamuonya kuwa kauli yake sio nzuri yeye akakomaa niàcheni watu tukasema poa.

Sasa jana wakati kaenda kuzungusha vitafunywa huko huku madogo wakaanza kukung'utana Mimi nipo zangu nje nafua nikawaacha kama siwaoni, mdogo kapigwa kalia weeee kaka mtu akajua ameshinda sasa kaka mtu akajisahau kumbe dogo kaenda ndani kabeba kisu kamvizia kaka yake kamdomeka kisu cha jicho tena kilizama kabisaa dogo akaanza kupiga makelele pale uso mzima umejaa damu tupu.

Majirani wengine hawakuwepo Mimi na jirani mmoja ni mdada alikuwa kalala ila Kwa Yale makelele ikabidi aamke kutoka tu anakutana na hicho kisanga anataka kwenda kumuhudumia yule dogo nikampga mkwara rudi ndanii.. unakumbuka mama yao juzi alisemaje? Demu akakumbuka akarudi ndani Mimi huyo naendelea kufua majinzi yangu pale huku naendelea kuburudika na kilio cha uchungu toka kwa yule dogo.

Mama yao anarudi anakuta dogo anagalagala chini damu uso mzima na kisu bado kimetulia palepale jichoni alafu mjuba nipo pale kimyaa naendelea kuanika nguo zangu... Yule dada akaanza kupiga makelele pale huku akilia ananilaumu eti Kwa nini watoto wanaumizana vile alafu nipo hata sishtuki na sijachukua hatua yoyote!!!

Kwa kauli aliyonitolea juzi kuhusu wanae nikasema hapa nikimjibu naweza nikatwa na hasira nikamtia ngumi buure, sikumjibu kitu,.. nikamkata jicho eeweeeeee.... Nikaaendelea kuanika nguo zangu akazidi kulia yule dada anashindwa kile kisu akitoeje pale jichoni, nikamkata tena jicho kali saaana nikamalizia kuanika nguo zangu nikaingia geto nikaoga nikatoka namkuta bado analia akiomba msaada nikamkata tena jicho la kibandidu mbaya mbovu nikaamsha zangu kuelekea mtaani.

Jana toka nilivyotoka geto pale sikurudi kabisa huwa sipendagi sana makelele ya kipuuzi puuzi. Nilienda zangu lodge nikaita manzi flani nikaagiza valeur kubwa na kitimoto kilo moja na nusu tukapiga tukafanya yetu muda huu ndo naamka ndiyo nikakumbuka kile kisanga cha Jana pale geto nikacheka saaana hahahahahaha.

Haya maisha hayahitaji mpuuzi mmoja akupigie makelele ya hovyo hovyo tu.
Mwenye vitafunwa aniuzie wakuu
 
Hawa jamaa Wa valeur na kitimoto wanamambo ya hovyo sana. Yani watoto wanauwana wewe unafua jeans zako. Wewe jamaa roho mbaya sana.
Waislamu mna kitu mtafika mbali kumbe haya makitimoto yanapumbaza akili...
 
Ingawa inaumiza sana,lakini mwache binadamu ajifunze kwa vitendo.
Fikiria mama angekukuta pale ukimwokoa mtoto,halafu mtoto aseme ni anko kanichoma! Sipati picha!
Nakupongezq kwa kitu kimoja tu.
UJASIRI ! Wewe ni Jasiri sana.
 
Kama Hilo tukio ni la kweli haukupaswa kufanya hivyo ndugu , utu ni muhimu sana , we ungeachana na huyo mama akawasaidia hao watoto
 
Aiseeeee habari za leo wazee.........

Huyu jirani yangu ana watoto wawili mmoja yuko darasa la tano mwingine yuko darasa la pili, ni mdada wa makamo shughuli yake kuu ni kupika vitafunwa asubuhi na kuzungusha Kwa wateja wake. Shughuli zake zingine sizijui na huwa sizifwatilii kabisa.

Hawa watoto wake ni wanagombanaga vibaya mnoo, kama mnavyojua watoto wa kiume wakifwatana wanakuwaga na mtiti ni balaa.

Sasa bwana huyu mkubwa huwa anamtandikaga sana huyu mdogo japokuwa haka kadogo kana hasira hatari ila ndiyo hivyo kwakuwa ni kadogo huwa kanapewa sana kichapo na kaka yake na marayingi nikiwakuta wanagombana huwa namkoa makwenzi huyu mkubwa maana anamdundaga sana sana huyu mdogo wake.

Juzi jumamosi asubuhi wakati mama yao kaenda kuzungusha vitafunwa huko madogo wakaanza kugombana tena wanagombana nje nikatoka kama kawaida nikamkoa makwenzi yule mkubwa akaanza kulia, ile analia mama yao akaja kuulizwa nini dogo akasema huyu anko kanipiga, nikamweleza mama yao kuwa huyu mkubwa anampigaga sana huyu mdogo hivyo nilikuwa namuonya watakuja kuumizana hawa.

Ebwana yule dada si akaanza kuniwashia moto.... Akasema usije kumpiga mtoto wangu hata mmoja na hata hata ukiwakuta wanauana waache usinipigie wanangu Babu weee... Tena komaa.

Duuu mbele za majirani nikakaa kimya ila wakamuonya kuwa kauli yake sio nzuri yeye akakomaa niàcheni watu tukasema poa.

Sasa jana wakati kaenda kuzungusha vitafunywa huko huku madogo wakaanza kukung'utana Mimi nipo zangu nje nafua nikawaacha kama siwaoni, mdogo kapigwa kalia weeee kaka mtu akajua ameshinda sasa kaka mtu akajisahau kumbe dogo kaenda ndani kabeba kisu kamvizia kaka yake kamdomeka kisu cha jicho tena kilizama kabisaa dogo akaanza kupiga makelele pale uso mzima umejaa damu tupu.

Majirani wengine hawakuwepo Mimi na jirani mmoja ni mdada alikuwa kalala ila Kwa Yale makelele ikabidi aamke kutoka tu anakutana na hicho kisanga anataka kwenda kumuhudumia yule dogo nikampga mkwara rudi ndanii.. unakumbuka mama yao juzi alisemaje? Demu akakumbuka akarudi ndani Mimi huyo naendelea kufua majinzi yangu pale huku naendelea kuburudika na kilio cha uchungu toka kwa yule dogo.

Mama yao anarudi anakuta dogo anagalagala chini damu uso mzima na kisu bado kimetulia palepale jichoni alafu mjuba nipo pale kimyaa naendelea kuanika nguo zangu... Yule dada akaanza kupiga makelele pale huku akilia ananilaumu eti Kwa nini watoto wanaumizana vile alafu nipo hata sishtuki na sijachukua hatua yoyote!!!

Kwa kauli aliyonitolea juzi kuhusu wanae nikasema hapa nikimjibu naweza nikatwa na hasira nikamtia ngumi buure, sikumjibu kitu,.. nikamkata jicho eeweeeeee.... Nikaaendelea kuanika nguo zangu akazidi kulia yule dada anashindwa kile kisu akitoeje pale jichoni, nikamkata tena jicho kali saaana nikamalizia kuanika nguo zangu nikaingia geto nikaoga nikatoka namkuta bado analia akiomba msaada nikamkata tena jicho la kibandidu mbaya mbovu nikaamsha zangu kuelekea mtaani.

Jana toka nilivyotoka geto pale sikurudi kabisa huwa sipendagi sana makelele ya kipuuzi puuzi. Nilienda zangu lodge nikaita manzi flani nikaagiza valeur kubwa na kitimoto kilo moja na nusu tukapiga tukafanya yetu muda huu ndo naamka ndiyo nikakumbuka kile kisanga cha Jana pale geto nikacheka saaana hahahahahaha.

Haya maisha hayahitaji mpuuzi mmoja akupigie makelele ya hovyo hovyo tu.
We jamaa una roho mbaya na ya kikatili sana, hivi unaweza kula na kunywa bila hofu wala wasiwasi kwa jambo ulilofanya, hakika binadamu tumetofautiana sana.
 
Muda mwingine maisha yanataka watu kama wewe ili dunia isipoe
 
Sijapenda kwa kile ulichofanya kwa huyo mtoto, haujaonyesha hata chembe kidogo ta upendo. Hata kama mama yao alikugombeza, hukupaswa kulipiza mkuu.
 
Kama ni kweli,basi hii ni habari imehuzunisha Moyo wangu sana.
 
Iwe chai au mtindi hii habari inataka kufanana na tukio langu moja
Watoto Wana michezo ya kipuuzi sana Kuna mchezo unaitwa mbong'oko yaani ukiinama tu mwenzio uliyepinga naye mchezo anakuja kukukita au kukupiga teke la matako

Jirani hivyo hivyo watoto wake na michezo yao ya kijinga wakawa wanafanya Kuna siku niliwakamata nikawafinya ngozi ili waache wakaenda kusema eti nimewapiga mama yao wacha anijie juu, Mimi nikajawa na hasira kifuani nikaachana nao siku ya siku mmoja akamkita mwenzie akadondokea kwenye shimo lililochimbwa kwa ajili kalo akavunjikabl mkono mi nikasema hatawi hayawi yametimia huyo mama ndo anajifanya kumchapa mtoto aliyemuumiza mwenzio
Mi hata pole sikumpa na hatukuongea tangu kipindi hiki hadi nahama mtaa
 
Mleta mada una roho kama yangu.
Kila mtu avune alichopanda.
 
Back
Top Bottom