Napenda wanawake wanaojisitiri kimavazi kuliko wa vimini na mawigi

Eeh jamani tunaenda na wakati.....muhimu jua vazi gani unatakiwa kuvaa wapi na wakati gani.......
 
mie nilikua sijui kama hata kanisani hawataki....uvae nguo fupi..
 
FIshbeins theory: Attitude towards any object is a function of individual beliefs about the object and evaluating aspects of those beliefs(Fishbein,1967)......
nahisi mtazamo wako juu ya mvuto wa mwanamke kwako umeegemea Hapo.
cc Mkoroshokigoli
 
Ndo nature ilivo, mafanikio yanapimwa kwa mitihan unayokumbana nayo, we pigia hesabu mhemko unaopata kuanzia unaanza kumvua vazi mojamoja mpaka unamaliza! unakuwa na mzuka wa ukweli! lazima akahadithia kwao,

ile wale akikaa vibaya tu papuchi iko nje, ss hasira unapata wapi! ladha yoote inaishia njian
 
Hata mimi hiyo hali ilikua inanipata sana wakati nikiwa bado mshamba!!
Nimecheka kwa sauti...ndugu yangu hapa anataka kujua kilichonichekesha nimemyeyusha...maana na yeye ni mshamba...kwi kwi kwi...nimeogopa nikimjibu ntazua mjadala maana na yeye ni mlengo huo huo wa washamba...
 
Msichana wangu wa kazi juzi kati aliniacha hoi...
Kaanza kuni evaluate...kuna nguo navaa anasema zinanifanya nionekane mzee...
kuna nguo zinanifanya nionekane motto...
Akaanza kusifia zile nguo za kitoto...akanambia anashangaa sipendi kuvaa hivyo kazini...
Nikamwambia kazini kuna code za mavazi... japo hakuna wa kunambia kitu huwa ni mara chache sana nashtua na vimini...
Akasema hizo code zilikuwa Enzi za JK...JPM karuhusu vimini...

Si nikamuuliza amesikia wapi hilo...
Akanambia amesikia kwenye TV msemaji wa ikulu anakanusha kuwa JPM hajakataza vimini...naona kulikuwa na uzushi mitaani dezaini...(HG wangu ni mtazamaji mzuri wa TV)
Nikacheka saaana...yani kwa ikulu kukanisha uvumi kama huo kumempelekea yeye kusema basi ni ruksa...
Sa sijui JPM anapenda vimino au ???? kama anapenda basi nazidi kumpenda huyu prezidaa...hana muda na vitu visivyo na msingi kama mavazi
 
Tuko pamoja mkuu! Hao wa makwapa nje sijui mikucha mirefu,minyele ya bandia sijawahi wala haitotoke kula kununua ndizi mivu iliomenywa kasa. Yaani wala siwaoni kama ni wanawake.
 
Yaani janamke likivaaa vimini Mie huliona ni changu tu linajiuuza.
 
Mimi pia mkuu,namuona mrembo sana kuliko mvaa vimini na hiyo imekuja mpaka nimeoa binti wa kiislam ingawa mm ni christian
 
i love to dress up to kill, yaani walking like a peacock and steal men's attention,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…