Napenda wanawake wanaojisitiri kimavazi kuliko wa vimini na mawigi

Bandiwe leo umetisha !! .... Naona umeleta ya siyo letwa!!!
mmmh hadi wale wa Fyoko fyoko nao...sijui umewatolea wapi?!!
 
Mimi bila kuona upaja na le supa mtindiz sijavutiwa na wewe
 
Kuna tofauti kubwa sana kati ya faraja na nyegge!
Wanaume wengi tunapenda MICHEPUKO YETU IWE HIVYO, na michepuko ndo iko hivyo, ila mama mpendwa mwenye nyumba ajisetiri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…