Napendekeza iundwe Tume Huru ya kuchunguza kifo cha Hayati Magufuli

Sisi Watanzania tulio wengi tumekubali kuwa Mwendazake amefariki kifo cha kawaida, tunachojua sasa sisi ni tuchape kazi, baaasi.
 
Msisitizo wako hauna maana kama Samia na jeshi lake hawaelewi hizo propaganda.

Hoja ya kuumia ni hoja ya kimuhemko kwa mtu binafsi haionyeshi umuhimu wowote wa kuanzishwa tume huru kwa anayetakiwa kuiunda.
Hivi unajua maana ya propaganda? Au unalitumia tu neno bila kuelewa.
Ombi liko palepale iundwe tume huru kuchunguza kifo cha Magufuli
 
Yaani lijiwe lime uwawa na Covid19 alafu wewe unataka iundwe tume ya kuchunguza nini?? kwani yeye ameuwa wangapi? kwanini na yeye asife??
 
Linao ongelewa hapa ni tume huru. Ili walionaushahidi wanakuwa hata wao huru kuwasilisha ushahid.
Pia Rais hakusema ushahidi upelekwe polisi bali alisema ushahidi uletwe. Hakufafanua.
 
Upupu ni weye ulonao make unadandia hoja bila kuelewa. Kama unamadai ya Lisu au sijui nani. Si wasilisha hoja au ombi lako. kuliko kupinga madai Lisu. Mwambie Lisu akufundishe sheria make unaropoka tu hujui njia ya kudai unachotaka. Oooh Lisu mara sijui nani hamjazuiwa kudai haki zao dai. Siyo unakurupuka kudandia hoja. Nani kakuzuia kuomba uchunguzi wa Lisu na hao wengine. Yaani watu wengine, huwezi zuia hoja au ombi la mtu, kisa nawe unahisi unataka. Hivi ni vitu viwili tofauti. Pinga hoja kimantiki.
 
Tunapendekeza iundwe Tume ili kuondoa mizozo kwa Raia sababu Wana maswal mengi ya kujiuliza pia hata wewe unaweza kua moja ya sababu ya sis kudai uchunguzi ufanyike sababu unawasi wasi Sana juu ya uchunguzi sijui unaogopa nn
Hakuna mwenye wasiwasi na uchunguzi wa kifo cha mtu yeyote ka kuna sababu ya msingi ya kufanya hivyo.

Yeye kafa kwa corona, sawa na alivyokufa Katibu wake mkuu, Waziri wake wa mambo ya nchi za nje, na wengine wengi. Je, tunawaundia kamati hao wote?

Taarifa zipo wazi Muhimbili - kafa kwa tatizo la moyo lililochangiwa na corona.
 
Kwani Lissu kaanza kuomba uchunguzi leo au ndo mshale kwa nguruwe? Si mwendazake ndo alizuia haki ya Lissu kufanyiwa uchunguzi wa tukio lake? Tulia hivo hivo dawa ikuingie na ndo ujue malipo Ni hapa duniani na kwamba mla huliwa
 
Kigogo na Lissu kupata Taarifa nalo linawaumiza kwani?? Siasa Fitna bila kua na Intelejensia ya kutosha huwezi endesha siasa yoyote kwahio hizo ni intelejensia za Lissu ambazo hata Ccm wanazo zinawasaidia kupata taarfa za vyama vyote vya Siasa nchi.
 
Wasukuma huwa wana mambo, mtu akifa kalogwa tu. Mtu akiugua kipindu pindu, dysentery, au kichocho ni kalogwa tu. Sijui mtaelimika lini?
Bibi mzee miaka 80 wanamu expose kwenye Moshi wa kuni mwanzo mwisho matokeo yake macho yakiwa mekundu eti ni mchawi!!! Wanamuua!!!!
 
Vipi amekuachia mimba?
 
weye naona umekaririshwa. Ongea mengine. Hilo la Nyerere ulishalisemea. Kifo cha Nyerere siyo msingi wa kifo cha Magufuli kutochunguzwa. Kila jambo lina mwisho wake.
Acha kumlinganisha Baba Wa Taifa la Tanzania na vikitu twa ajabu ajabu wewe. Shika adabu yako.
 
MATAGA hamuamini kama Mungu ni fundi? Basi tuanze na ule Moshi wa wazee wakulima wa Korosho kule Lindi na Mtwara. Mpaka kampeni hakuthubutu kutia mguu. Kachimbueni mfu wenu huko udongoni mkafanye vipimo. Sisi tulishamzika na Mungu alishatupa Rais eliye kiongozi na si Dikteta.

Halafu hao watanzania wengi unaozungumzia ni akina nani? Kifupi kila mtanzania anaendelea na maisha kama kawaida. Wale wateule wachache mliojiona Mungu mtu ndiyo mnaohangaika kila siku kutuletea porojo za nyuzi zisizo kuwa na kichwa wala miguu. Tupeni break maana sasa Tinaijenga Jamhuri ya Muungano upya inayobeba kila mtanzania na Kazi inaendelea. Hakuna ukanda, hakuna ukabila, hakuna takataka yoyote itabakishwa.

Tulieni sindani ya kijiti iingie taratibu ili dawa iwaponye.

Mungu ni fundi kiboko yake hakuna mfano.
Endeleeni kupiga ramli na hakuna anayewasikiliza. Tuko busy na safishasafisha udikteta na kuweka viongozi wenye moyo wa nyama.

Poleni kwa msiba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…