zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Yesu alimuita Petro SHETANI..... Maana ya shetani ni "mpinzani/Hasimu mwenye Nia ovu" so ni halali kumuita binadamu shetani kulingana na tendo husika likiwa la kipinzani kwako.Kama binaadamu wote sawa mbona unamwita mwenzio shetani? Au ndio hasira tu tusichukulie serious?