Napendekeza iundwe Tume Huru ya kuchunguza kifo cha Hayati Magufuli

Kama binaadamu wote sawa mbona unamwita mwenzio shetani? Au ndio hasira tu tusichukulie serious?
Yesu alimuita Petro SHETANI..... Maana ya shetani ni "mpinzani/Hasimu mwenye Nia ovu" so ni halali kumuita binadamu shetani kulingana na tendo husika likiwa la kipinzani kwako.
 
Yes nitakufa ila Sina lawama na mtu maisha yangu nimeyakabidhi kwa Mungu. Tatizo ni huyo shetani wenu aliondoka huku damu zinamlilia, unadhani ni Mungu Gani atampokea?. Wiki Moja kabla hajafariki alikua anadhihaki viongozi wa dini madhabahuni eti hawana Imani sababu wanavaa barakoa!! Sasa ikawaje yeye mwenye Imani ndio akatangulia akaacha wasio na Imani?

Mungu hadhihakiwi
Mungu sio mwanadamu dhaifu kama wewe na useme Mungu gani atampokea 😵 unahukumu wewe kama nani????

eti huna lawama na mtu ebooooo unajihakikishia maisha we nani?
 
Nauliza tena mbona kila siku mnamtaja Lissu na Bensa8 tu hao ndugu zenu huko ambao nao wamedhuriwa na kuuliwa mbona hamuwataji au hawana haki?
Mbona Heche Jana katoa list ya wanaouwawa Nyamongo na Polisi. Hao wanatajwa sababu ni wanasiasa Ili kuweka comparison sawa na aliyefariki ambaye ni mwanasiasa pia.

Tukisema muuza mkaa ameuawa Polisi wachunguze mnaweza chukulia poa unless individuals who can be compared to the deceased political status.
 
Na ndio maana mnaona fahari kujiita wanyonge maana hamjitambui. Eti Mimi ni raia Sina uspesho wowote. Raia wa nchi ndio special kuliko hata Rais Seema hatujielewi ndio maana tunajiona wanyonge. Rais hawi Rais mpaka achaguliwe na wananchi. Raia ni bosi wa Rais.
Kupiga kura huo ni utaratibu tu wala haukufanyi wewe kuwa boss wa rais, ina maana wasiopiga kura hawawi maboss kwa sababu hawajampigia kura?

Acha kuongea vitu vya kufikirika, Mbowe alikuwa anamuomba Rais kukatisha kuwalipa wakina mdee alikuwa anamuomba na sio kumuagiza sasa kama raia ni boss si angemuagiza mfanyakazi wake atekeleze anachotaka mbowe.
 
Mungu sio mwanadamu dhaifu kama wewe na useme Mungu gani atampokea 😵 unahukumu wewe kama nani????

eti huna lawama na mtu ebooooo unajihakikishia maisha we nani?
Sihukumu ila nanyoosha maelezo, biblia ipo clear kuwa wauaji, wazinzi, na wachawi hawatoingia mbinguni. Unfortunately JPM was both so unless aliomba rehema na kuomba msamaha wote aliowakosea then bila hukumu au ushabiki yupo kuzimu.

That man was so evil, alale anapostahili. Huwezi dhihaki mapadri kwa kuvaa Barakoa eti hawana Imani. Sasa yeye mwenye Imani mbona alikua anavaa moyo wa plastiki?

Nashangaa ana wafuasi Bado waliamini ni mcha Mungu
 
Katiba ya nchi ndio inasema hivo kuwa mamlaka yote ni ya wananchi sio RAIS. Yaani ikimaanisha hata Rais anawekwa pale kwa mandate ya wananchi, wabunge ni wananchi coz lazima wapigiwe kura n.k sema tu ndio hivo wananchi ni hawajitambui ila kule Kenya au South Africa nadhani umeona Rais ni mtu wa kawaida tu anaweza angushwa mahakamani na kukataliwa baadhi ya amri na serikali yake hiyo hiyo.
 
Kuna mijitu inajisahau inafikiri labda Mungu ni mpinzani au mwanaharakati, wanajiona ni watakatifu.
 
Sawa mchamungu ni we

Sawa mchamungu ni wewe mwenye uhakika kuwa hutoenda motoni kama huyo Magufuli.
 
Sihukumu ila nanyoosha maelezo, biblia ipo clear kuwa wauaji, wazinzi, na wachawi hawatoingia mbinguni. Unfortunately JPM was both so unless aliomba rehema na kuomba msamaha wote aliowakosea then bila hukumu au ushabiki yupo kuzimu.

That man was so evil, alale anapostahili. Huwezi dhihaki mapadri kwa kuvaa Barakoa eti hawana Imani. Sasa yeye mwenye Imani mbona alikua anavaa moyo wa plastiki?

Nashangaa ana wafuasi Bado waliamini ni mcha Mungu
huna lolote chuki tu ndio inakusumbua andiko limejaa chuki,ka....e ukalale 😎
 
Kuna mijitu inajisahau inafikiri labda Mungu ni mpinzani au mwanaharakati, wanajiona ni watakatifu.
Mie sio mtakatifu ila haimaanishi mwenye dhambi akifariki tudanganye kaenda mbinguni. Huu unafiki wa "usihukumu" ndio unaturudisha nyuma. Mbona wachungaji wanasimamisha watu ushirika, wanawatenga wenye makando kando kwa Ile sio kuhukumu au ulitaka hata ukiiba usikemewe kisa tu "usihukumu.... Utahukumiwa"
 
huna lolote chuki tu ndio inakusumbua andiko limejaa chuki,ka....e ukalale 😎
Poleni sana Sukuma gang.... Mzoga wenu umeshaoza zamani sana kama mnamtaka mkamfufue sio kelele za kuuwawa ilihali wapinzani tulipotaka tuambiwe alipo mlisema tuna wivu.
 
Katiba ya nchi ndio inasema hivo kuwa mamlaka yote ni ya wananchi sio RAIS. Yaani ikimaanisha hata Rais anawekwa pale kwa mandate ya wananchi, wabunge ni wananchi coz lazima wapigiwe kura n.k sema tu ndio hivo wananchi ni hawajitambui ila kule Kenya au South Africa nadhani umeona Rais ni mtu wa kawaida tu anaweza angushwa mahakamani na kukataliwa baadhi ya amri na serikali yake hiyo hiyo.
Ndio nasema huo ni utaratibu tu tunaoufuata, wewe kupiga kura ni haki yako kikatiba ila haikufanyi wewe kuwa boss utabaki kuwa raia tu na Rais ni kiongozi wako.
 
Mie sio mtakatifu ila haimaanishi mwenye dhambi akifariki tudanganye kaenda mbinguni. Huu unafiki wa "usihukumu" ndio unaturudisha nyuma. Mbona wachungaji wanasimamisha watu ushirika, wanawatenga wenye makando kando kwa Ile sio kuhukumu au ulitaka hata ukiiba usikemewe kisa tu "usihukumu.... Utahukumiwa"
mambo ya kwenda mbinguni au motoni sio kazi yako wewe binadamu dhaifu ambae huna mbele wala nyuma,unaposema mwenye dhambi we umejuaje?
 
Yesu alimuita Petro SHETANI..... Maana ya shetani ni "mpinzani/Hasimu mwenye Nia ovu" so ni halali kumuita binadamu shetani kulingana na tendo husika likiwa la kipinzani kwako.
Kwahiyo kama Chadema ni mashetani kwa ccm kwa sababu ni wapinzani?
 
Poleni sana Sukuma gang.... Mzoga wenu umeshaoza zamani sana kama mnamtaka mkamfufue sio kelele za kuuwawa ilihali wapinzani tulipotaka tuambiwe alipo mlisema tuna wivu.
hata wewe ni mzoga mtarajiwa

huna uspecial wowote utakufa na utakuwa mzoga kama wengine na hapo ndio uzuri wa Mungu unapojidhihirisha.

Mungu ni wetu sote.
 
Ndio nasema huo ni utaratibu tu tunaoufuata, wewe kupiga kura ni haki yako kikatiba ila haikufanyi wewe kuwa boss utabaki kuwa raia tu na Rais ni kiongozi wako.
Kwahiyo bodi ikiteua manager wa kuendesha kampuni anageuka bosi wao?? Rais ni dhamana ya kuongoza serikali so ni mtumishi ndio maana akizingua wananchi kupitia bunge tunaweza kumuondoa kwa kura ya kutokua na Imani yake. Hiyo power hatuna kwa jaji mkuu wala CDF Wala governor wa benki kuu.

Kumuona Rais kama bosi ndio imetufikisha hapa..... Ruto sio bosi Kenya ndio maana hata hukumu za mahakama zinaenda kinyume na maelekezo yake.

Ukimuona ni bosi wakati katiba inasema wananchi ndio wenye mamlaka then tuliambiwa tulipe tozo nyingi tunalipa tu ilihali kikatiba tunapaswa tuhoji whether mahakamani au kupitia wabunge na wakapindua meza.
 
Kwahiyo kama Chadema ni mashetani kwa ccm kwa sababu ni wapinzani?
Yes tukiwa na Nia ovu au dhamira ovu dhidi ya CCM kama kuua, kuteka, kuiba kura n.k basi tunastahili kuitwa shetani. Otherwise ilikuwaje mtakatifu kama Paulo akaitwa shetani na Yesu? Kwani Yesu hakujua Petro ni binadamu?
 
Mie sio mtakatifu ila haimaanishi mwenye dhambi akifariki tudanganye kaenda mbinguni. Huu unafiki wa "usihukumu" ndio unaturudisha nyuma. Mbona wachungaji wanasimamisha watu ushirika, wanawatenga wenye makando kando kwa Ile sio kuhukumu au ulitaka hata ukiiba usikemewe kisa tu "usihukumu.... Utahukumiwa"
Kuhusu dhambi hakuna asiye na dhambi hakuna binaadamu huyo, wewe kutofanya dhambi kama za Magufuli hakukufanyi kuwa huna dhambi na kwamba una uhakika wa kutoingia motoni kama Magufuli.
 
hata wewe ni mzoga mtarajiwa

huna uspecial wowote utakufa na utakuwa mzoga kama wengine na hapo ndio uzuri wa Mungu unapojidhihirisha.

Mungu ni wetu sote.
Yes kufa nitakufa ila uzuri umekiri wote ni sawa. Sasa kiherehere Cha kudai kifo cha JPM kichunguzwe Cha Nini kama unajua wote tutakufa na hatuna uspecial wowote?

Nyie sukuma gang mna matatizo ya akili sio Bure.
 
Back
Top Bottom