Pre GE2025 Napendekeza Mkoa wa Samia uanzishwe kumpa hamasa Kiongozi na jemedari wetu jasiri azidi kutuletea maendeleo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ulichoandika ulitakiwa ukihariri kabla ya kukileta jukwaani
 
Kwa nini usioneshe uzalendo kwa kwenda mahakamani kubadili majina yako kuwa SAMIA
 

Kwanini tusibadilishe kabisa jina la nchi likawa Samia? Mkoa ni mdogo sana na haitoshi kumpa hamasa.
 
Unapendekeza au Unajipendekeza?
 
Nchi hii imerogwa na nani sijui huu uchawa umepita kipimo. Habari za leo zinasema Kenya ame hijack dili za kupitisha mafuta zilizokuwa Tanzania kwaa nchi za Rwanda, Uganda na sasa wapo DRC kufanikisha dili kama hii na vile vile Kenya wameshakamata South Sudan. Usisahau pia Kenya wanajenga SGR train kwenda Uganda ikiunganisha Rwanda na maongezi yanaendelea kujuisha DRC na South Sudan. Tanzania bado tumelala alafu mtu anatoa hoja ya ajabu kama hii
 
Kama kitendawili vile...
 
Mkoa ni Eneo dogo sana ukilinganisha na SIFA ulizompa mie napendekeza NCHI kitwe jina lake[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
usidhani samia ni zuzu kiasi hicho
 
Haya bhana sawa!! Tukiona inafaa zaidi jina la Tanzania libadilishwe na kuitwa Suluhu Hasan.
 
Hili ni parody la Lukita Mwashwashwa au ni yeye mwenyewe
 
Sisapoti ila nadhani kifanywe/kianzishwe kitu kitakacho acha alama kwamba nchi ishawahi endeshwa na rais wa Kike.

sababu nina uhakika 100% haitokaa ijirudie hii kitu kwa miaka hata 500 mbeleni.

Majuto ya sasa kamwe hayatosahaulika.
 
Aisee Mungu okoa nchi hii. Vijana wamekuwa machawa kupitiliza halafu wamebadili maana ya uzalendo kuwa ni uchawa. Hii nchi iko doomed kama mambo yakiendelea hivi.
Kweli kabisa. Ukiachana na huyu kuna wengine pamoja na umaskini wao eti wanamchnagia kununua gari mtu anayejiita Wakili Maarufu, Makamu Mwenyekiti wa chama na mtu anayejivunia kuwa familia yake inaishi Ulaya na watoto wake ni raia wa Marekani! Just imagine hawa vijana wanaoongozwa na Erythrocyte humu JF, zinawatosha kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…