kwaweli kila ninachotaka kuandika vidole vinakataa!
huyu aliyeondoa vitabu vya kuongeza ujasili kwenye literature, jeshi miezi sita na Migomo Vyuo Vikuu ametuletea janga kwenye jamii.
sasa tunatakiwa turudi upya porini tutailiwe tena kavukavu tena kwa kisu cha ghariba labda akili zitatukaa sawa.
lakini najiuliza itawezekana kwa kizazi hiki kilichodekezwa na kukulia mapajani watoto wachanga?
ndani mwangu wakati mwingine nawaza mbali zaidi huwenda kizazi hiki wengine wamelala na mama zao au baba zao na kuwaona ndio wanawake na wanaume wanaofaa zaidi matokeo yake ndo haya sasa tumekuwa na kizazi kinachoona mwisho kioo kama mama zao.