Pre GE2025 Napendekeza Mkoa wa Samia uanzishwe kumpa hamasa Kiongozi na jemedari wetu jasiri azidi kutuletea maendeleo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mungu aendelee kutupa uzima,tutaona na kusikia mengi!.
Mambo mhimu yanafanyiwa mzaha,na Mambo ya hovyo yanapewa umuhimu.
 
Kwani kafanya nini, ni Africa pekee yake tunza huu uzandiki, yaani watu wana maisha magumi unasherehekea nini
Kamtoa mama ndio kichwani, katoa Gesi ya kupikia kwa Akina mama , na kusalimisha kukatwa Kwa miti, kamaliza tatizo la mgao wa umeme.
 
Pendekezo la kijinga hili, angalia toka aingie madarakani kuna maendeleo gani hapa nchini?
 
Mkoa wa katavi ama songwe mmoja wapo TUBADILISHE

Naomba kuwasilisha
Kubadilisha jina la mkoa sio Jambo la kitoto. Ni process ndefu Sana. Mmesahau Mbeya walipokataa uwanja wa ndege wa Songwe usiitwe kwa Jina la Kikwete?.
 
Majina yao kwenye shule za kata yanatosha.
 
Mkui naweza kuipata hiyo makala,
 
Unataka kulinganisha mchango wa hiari na kuanzisha mkoa wa Samia be serious basi. Mbona mambo mawili tofauti kabisa.
 
Mungu akutunze akupe maisha marefu siku moja wajukuu zako waje waone viwango vya bau yao vya uchawa na upumbavu
 
 
Kuna Rais mmoja wa Zimbabwe alikua anaitwa Banana huyo angekua hapa matacle ya machawa yangewaka moto ,
Mzee alikua mshenzi huyo balaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…