Pre GE2025 Napendekeza Mkoa wa Samia uanzishwe kumpa hamasa Kiongozi na jemedari wetu jasiri azidi kutuletea maendeleo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Siasa za Afrika ni wanasaiasa kuwatumia wananchi kujinufaisha. Mimi mwenyewe nilishangaa kwa sababu yule ana maisha kuliko wanaomchangia na kwanza hapo alipo sidhani kama alienda kuchukua gari lililopigwa risasi kwa miguu au bajaji au kwa vits. Masikini anajikamua kumlisha aliye nacho
 
Wajinga ndio mliwao, kwa nini usiseme nchi ya Tanzania isigeuzwe iitwe Samia Republic.
 
Hilo ni wazo la kipumbavu kwasababu hapo ni kuongeza gharama zisizo na lazima kuendesha mkoa mpya. HUO SIO UZALENDO BALI NI UPUMBAVU. Kuna namna nyingi zisizohitaji gharama kumuenzi mama na sio hicho ulichosema.
 
Dah, mnapata sh ngapi, mpaka mnajitoa akili kiasi hiki?
 
Hilo ni wazo la kipumbavu kwasababu hapo ni kuongeza gharama zisizo na lazima kuendesha mkoa mpya. HUO SIO UZALENDO BALI NI UPUMBAVU. Kuna namna nyingi zisizohitaji gharama kumuenzi mama na sio hicho ulichosema.
Ulichoandika wewe siyo upumbavu?
 
Aise inasikitisha sana kama hii ndio aina ya watu tuliopo ndani ya hii inchi

Sometimes unatamani ukae chini ulie lakin unaona basi tu.
 
Hizo ni lugha za kisiasa zilizojaa uchawa! Ilivyo maendeleo yanaletwa na Wananchi wenyewe siyo rais! Wananchi ndiyo walipa kodi ya kuendesha serikali inayoongozwa na kusimamiwa na Rais aliyeajiriwa na wananchi.
Kwa hiyo badala ya kutafuta kazi kwa njia ya uchawa tufanye kazi ili tuendelee.
 
Acha habari za kichawa, hivi unamuona unaupiga mwingi Sana?
 
Acha habari za kichawa, hivi unamuona unaupiga mwingi Sana?
Naam hata akina Tomaso tena wengi sasa wametambua uwezo mkubwa wa kiutendaji alio nao Rais Samia.

Ukweli amewashangaza wengi Kwa mafanikio makubwa aliyoleta ndani ya kipindi kifupi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…