- Thread starter
- #101
Akipita niko palewangese mtakuja na kila topic kumhusu rais wetu mpendwa lakini hamtafanikiwa atakuwa rais wetu mpaka 2030. Subiri ushindi wa kishindo uchaguzi mkuu wa mwaka 2025.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akipita niko palewangese mtakuja na kila topic kumhusu rais wetu mpendwa lakini hamtafanikiwa atakuwa rais wetu mpaka 2030. Subiri ushindi wa kishindo uchaguzi mkuu wa mwaka 2025.
Naunga mkono hoja, ila tumpate kwanza mzalendo kama Hayati JPM.Mimi napendekeza Usultani tu, Rais wa milele na akitangulia anashika madaraka mrithi ataemchaguwa yeye akiwa hai.
Chalamila mara nyingi huwa anasema ukweli lakini kwa namna ya utaniTunaweza kuwa na makamu wa Rais mchawi akamuua Rais ilisikika sauti ya Rc fulani.
Kazi ya Mungu haina makosa.Naunga mkono hoja, ila tumpate kwanza mzalendo kama Hayati JPM.