Napendekeza Rais aliyechaguliwa akifia Madarakani, makamu wake ashikilie nafasi hiyo kwa siku 90 tu kisha uitishwe uchaguzi

wanaongea kwa uhuru gani wakati police wanawaita kujieleza?
Waache Polisi wafanye kazi yao. Enzi za yule mwehu 2015-21 ulikuwa husikii mtu kukamatwa na Polisi bali WASIOJULIKANA!! Na baada ya hapo ni kwenye viroba baharini
 
Igweeeeeeeeee,

Mambo vipi wakuu?
Nimekutana na comment hii hapa chini iliyojaa uzalendo, nikaona nii-copy na kui-paste hapa kama uzi unaojitegemea kulingana na umuhimu wake kwa nchi yetu.

Na kwa sababu sikumwomba ridhaa ya kufanya hiki nilichofanya, naomba anisamehe kwa sababu sitaweza kuweka hapa ID yake. Hivyo, ninaomba kuwajibika kwa huu uzi kama mmiliki wake kwa asilimia zote.

Sasa twende kazi......

Rais akifia Madarakani yapaswa baada ya kipindi kifupi cha siku 90 ufanyike uchaguzi, Makamu wa Rais anayekaimu ndani ya hizi siku 90 asiruhusiwe kugombea ndani ya awamu hiyo ya aliyefia madarakani, aruhusiwe kugombea awamu inayofuata baada ya ile ya kufiwa kwa kufuata demokrasi kama kawaida ya ndani ya chama chake cha siasa, na anayekaimu nafasi ya rais aliyeaga dunia ndani ya hizo siku 90 asiruhusiwe kufanya mabadiliko ya nyadhifa zozote ndani ya utawala uliokuwepo.

Pia asijulikane kama Rais wa awamu toauti na Rais aliyefariki, bali awe kiongozi wa mpito na awamu iendelee kuhesabika ni ya Rais aliyefariki akiwa madarakani kwa sababu ndiye aliyepewa ridhaa na wananchi.

Kingine, wakati wa kipindi hiki cha siku 90, Makamu wa Rais asiwe na ruhusa ya kusaini mikataba ya uwekezaji au ya aina yoyote mpaka uchaguzi ufanyike wa kumpata Rais wa awamu inayofuata.

Yeye Makamu wa Rais atumike kutuvusha tu kwa huo muda wa siku 90.

Tunatakiwa tuwe taifa lenye maono ya muda mrefu na kuwawekea kinga viongozi wetu ambao tunawapata kwa gharama kubwa sana hasa hasa wale wa nafasi ya Urais. Hivyo, inabidi tuwalinde kwa kadri inavyowezekana ili wasihujumiwe kwa hali yoyote ile.

Vinginevyo, nafasi ya Makamu wa Rais wa nchi yetu kwa fursa yake ilivyo inaendelea kuwa ni hatari ya wazi kabisa kwa Rais mchaguliwa endapo Makamu huyo akiingiwa na tamaa ya madaraka.

Naomba kuwasilisha.
Utaratibu huu ulikuwepo kabla ya mwaka 1992. Tulipobadilisha Katiba kukubali Mfumo wa Vyama Vingi ndipo utaratibu wa sasa ukawekwa. Marekani na nchi zingine zenye watu wenye akili wanatumia mfumo huu. Kuturudisha nyuma, HAPANA!!!
 
L
Igweeeeeeeeee,

Mambo vipi wakuu?
Nimekutana na comment hii hapa chini iliyojaa uzalendo, nikaona nii-copy na kui-paste hapa kama uzi unaojitegemea kulingana na umuhimu wake kwa nchi yetu.

Na kwa sababu sikumwomba ridhaa ya kufanya hiki nilichofanya, naomba anisamehe kwa sababu sitaweza kuweka hapa ID yake. Hivyo, ninaomba kuwajibika kwa huu uzi kama mmiliki wake kwa asilimia zote.

Sasa twende kazi......

Rais akifia Madarakani yapaswa baada ya kipindi kifupi cha siku 90 ufanyike uchaguzi, Makamu wa Rais anayekaimu ndani ya hizi siku 90 asiruhusiwe kugombea ndani ya awamu hiyo ya aliyefia madarakani, aruhusiwe kugombea awamu inayofuata baada ya ile ya kufiwa kwa kufuata demokrasi kama kawaida ya ndani ya chama chake cha siasa, na anayekaimu nafasi ya rais aliyeaga dunia ndani ya hizo siku 90 asiruhusiwe kufanya mabadiliko ya nyadhifa zozote ndani ya utawala uliokuwepo.

Pia asijulikane kama Rais wa awamu toauti na Rais aliyefariki, bali awe kiongozi wa mpito na awamu iendelee kuhesabika ni ya Rais aliyefariki akiwa madarakani kwa sababu ndiye aliyepewa ridhaa na wananchi.

Kingine, wakati wa kipindi hiki cha siku 90, Makamu wa Rais asiwe na ruhusa ya kusaini mikataba ya uwekezaji au ya aina yoyote mpaka uchaguzi ufanyike wa kumpata Rais wa awamu inayofuata.

Yeye Makamu wa Rais atumike kutuvusha tu kwa huo muda wa siku 90.

Tunatakiwa tuwe taifa lenye maono ya muda mrefu na kuwawekea kinga viongozi wetu ambao tunawapata kwa gharama kubwa sana hasa hasa wale wa nafasi ya Urais. Hivyo, inabidi tuwalinde kwa kadri inavyowezekana ili wasihujumiwe kwa hali yoyote ile.

Vinginevyo, nafasi ya Makamu wa Rais wa nchi yetu kwa fursa yake ilivyo inaendelea kuwa ni hatari ya wazi kabisa kwa Rais mchaguliwa endapo Makamu huyo akiingiwa na tamaa ya madaraka.

Naomba kuwasilisha.
Leo mnamuona Nyerere ni mjinga? Aliyetunga hiyo katiba?
 
Mimi napendekeza Usultani tu, Rais wa milele na akitangulia anashika madaraka mrithi ataemchaguwa yeye akiwa hai.
 
Mimi siungi mkono hoja, ila ningependa uteuzi wa Mgombea mwenza uwe serious, siyo huu wa kuokoteza okoteza tu. Mgombea Mwenza awe anatokana na wale waliogombea kwenye primary na wakapata kura nyingi. Ina maana kuwa wazenji wawe wanajitokeza kuwania primary siyo wake kusubiri kuteuliwa kuwa wagombea wenza. Kwenye Uchaguzi wa 2015, nadhani huenda hata Amina (pamoja na mapungufu yake) alistahili zaidi ya huyu.

Halafu rais aliyechaguliwa akifariki angali madarakani basi Makamu wa Rais anamalizia serikali iliyoachwa na marehemu, siyo aruke na kusema kuwa anaunda serikali yake awamu mpya ilhali siyo yeye aliyekuwa amechaguliwa. Kwa mfano, Marekani wakati Kennedy anauwawa mwaka 1963, Johnosn aliendeleza serikali ya Kennedy hadi baada ya uchaguzi mwaka 1964 ndipo akaunda serikali yake.
 
Igweeeeeeeeee,

Mambo vipi wakuu?
Nimekutana na comment hii hapa chini iliyojaa uzalendo, nikaona nii-copy na kui-paste hapa kama uzi unaojitegemea kulingana na umuhimu wake kwa nchi yetu.

Na kwa sababu sikumwomba ridhaa ya kufanya hiki nilichofanya, naomba anisamehe kwa sababu sitaweza kuweka hapa ID yake. Hivyo, ninaomba kuwajibika kwa huu uzi kama mmiliki wake kwa asilimia zote.

Sasa twende kazi......

Rais akifia Madarakani yapaswa baada ya kipindi kifupi cha siku 90 ufanyike uchaguzi, Makamu wa Rais anayekaimu ndani ya hizi siku 90 asiruhusiwe kugombea ndani ya awamu hiyo ya aliyefia madarakani, aruhusiwe kugombea awamu inayofuata baada ya ile ya kufiwa kwa kufuata demokrasi kama kawaida ya ndani ya chama chake cha siasa, na anayekaimu nafasi ya rais aliyeaga dunia ndani ya hizo siku 90 asiruhusiwe kufanya mabadiliko ya nyadhifa zozote ndani ya utawala uliokuwepo.

Pia asijulikane kama Rais wa awamu toauti na Rais aliyefariki, bali awe kiongozi wa mpito na awamu iendelee kuhesabika ni ya Rais aliyefariki akiwa madarakani kwa sababu ndiye aliyepewa ridhaa na wananchi.

Kingine, wakati wa kipindi hiki cha siku 90, Makamu wa Rais asiwe na ruhusa ya kusaini mikataba ya uwekezaji au ya aina yoyote mpaka uchaguzi ufanyike wa kumpata Rais wa awamu inayofuata.

Yeye Makamu wa Rais atumike kutuvusha tu kwa huo muda wa siku 90.

Tunatakiwa tuwe taifa lenye maono ya muda mrefu na kuwawekea kinga viongozi wetu ambao tunawapata kwa gharama kubwa sana hasa hasa wale wa nafasi ya Urais. Hivyo, inabidi tuwalinde kwa kadri inavyowezekana ili wasihujumiwe kwa hali yoyote ile.

Vinginevyo, nafasi ya Makamu wa Rais wa nchi yetu kwa fursa yake ilivyo inaendelea kuwa ni hatari ya wazi kabisa kwa Rais mchaguliwa endapo Makamu huyo akiingiwa na tamaa ya madaraka.

Naomba kuwasilisha.
Kwa utaratibu huu, naomba nikuhakkishie kuwa kwa mwaka mmoja unaweza ukaitisha hata chaguzi nne; kwa hiyo hutakaa ukae na Rais kwa sabbabu kwa mwaka kuna siku 360
Au divetaizi ile ya kipindi kile cha CORONA umeisahau?
 
Igweeeeeeeeee,

Mambo vipi wakuu?
Nimekutana na comment hii hapa chini iliyojaa uzalendo, nikaona nii-copy na kui-paste hapa kama uzi unaojitegemea kulingana na umuhimu wake kwa nchi yetu.

Na kwa sababu sikumwomba ridhaa ya kufanya hiki nilichofanya, naomba anisamehe kwa sababu sitaweza kuweka hapa ID yake. Hivyo, ninaomba kuwajibika kwa huu uzi kama mmiliki wake kwa asilimia zote.

Sasa twende kazi......

Rais akifia Madarakani yapaswa baada ya kipindi kifupi cha siku 90 ufanyike uchaguzi, Makamu wa Rais anayekaimu ndani ya hizi siku 90 asiruhusiwe kugombea ndani ya awamu hiyo ya aliyefia madarakani, aruhusiwe kugombea awamu inayofuata baada ya ile ya kufiwa kwa kufuata demokrasi kama kawaida ya ndani ya chama chake cha siasa, na anayekaimu nafasi ya rais aliyeaga dunia ndani ya hizo siku 90 asiruhusiwe kufanya mabadiliko ya nyadhifa zozote ndani ya utawala uliokuwepo.

Pia asijulikane kama Rais wa awamu toauti na Rais aliyefariki, bali awe kiongozi wa mpito na awamu iendelee kuhesabika ni ya Rais aliyefariki akiwa madarakani kwa sababu ndiye aliyepewa ridhaa na wananchi.

Kingine, wakati wa kipindi hiki cha siku 90, Makamu wa Rais asiwe na ruhusa ya kusaini mikataba ya uwekezaji au ya aina yoyote mpaka uchaguzi ufanyike wa kumpata Rais wa awamu inayofuata.

Yeye Makamu wa Rais atumike kutuvusha tu kwa huo muda wa siku 90.

Tunatakiwa tuwe taifa lenye maono ya muda mrefu na kuwawekea kinga viongozi wetu ambao tunawapata kwa gharama kubwa sana hasa hasa wale wa nafasi ya Urais. Hivyo, inabidi tuwalinde kwa kadri inavyowezekana ili wasihujumiwe kwa hali yoyote ile.

Vinginevyo, nafasi ya Makamu wa Rais wa nchi yetu kwa fursa yake ilivyo inaendelea kuwa ni hatari ya wazi kabisa kwa Rais mchaguliwa endapo Makamu huyo akiingiwa na tamaa ya madaraka.

Naomba kuwasilisha.

Imepita bila kupingwa!
Iwekwe kwenye KATIBA MPYA.
 
Ahahahahaaaa naona Dp world imewatoa tongotongo watu.

Katiba ni mbaya kwa sehemu kubwa. Hasa mamlaka hayo mkuu wa nchi. Imeumba mungumutu fulani hivi
 
Huwa tunachagua mgombe na mgombea mweza wa urais pamoja
 
Manmaaeee, wagalatia mtaongea lugha zote kkenge nyie
 
Mnalo. Bado mnaye mpaka 2030
 
Back
Top Bottom