Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 182,097
- 1,099,383
Hela za uchaguzi hazifikii hata robo ya fedha zinazopigwa na mafisadi kila mwaka!Kuitisha uchaguzi wa rais nchi nzima usidhani ni Tsh 100
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hela za uchaguzi hazifikii hata robo ya fedha zinazopigwa na mafisadi kila mwaka!Kuitisha uchaguzi wa rais nchi nzima usidhani ni Tsh 100
Situation mbona iko sawa tu sema kuna watu wanakuza mambo kwa maslahi yao ila mambo yapo shwari tuu sio kubwa kiasi cha kutishia amaniHasara ni hasara tu Mkuu.
Yaani hasara tuliyoingia March 17, 2021 ni kubwa kuliko ile hasara tuliyoingia kwa miaka miwili ya vita dhidi ya Uganda (1978/1979).
Hivyo, sioni kama ni vibaya kuingia hasara ya fedha kidogo kufanya uchaguzi ili kuongozwa na mtu mliyempigia kura kwa nafasi hiyo.
You can just imagine how the situation is going on currently!
Hivi kwenye katiba mpya inayopendekezwa hiki kipengele kimekaaje?Naunga mkono hoja 100%
Naunga mkono hoja.Igweeeeeeeeee,
Mambo vipi wakuu?
Nimekutana na comment hii hapa chini iliyojaa uzalendo, nikaona nii-copy na kui-paste hapa kama uzi unaojitegemea kulingana na umuhimu wake kwa nchi yetu.
Na kwa sababu sikumwomba ridhaa ya kufanya hiki nilichofanya, naomba anisamehe kwa sababu sitaweza kuweka hapa ID yake. Hivyo, ninaomba kuwajibika kwa huu uzi kama mmiliki wake kwa asilimia zote.
Sasa twende kazi......
Rais akifia Madarakani yapaswa baada ya kipindi kifupi cha siku 90 ufanyike uchaguzi, Makamu wa Rais anayekaimu ndani ya hizi siku 90 asiruhusiwe kugombea ndani ya awamu hiyo ya aliyefia madarakani, aruhusiwe kugombea awamu inayofuata baada ya ile ya kufiwa kwa kufuata demokrasi kama kawaida ya ndani ya chama chake cha siasa, na anayekaimu nafasi ya rais aliyeaga dunia ndani ya hizo siku 90 asiruhusiwe kufanya mabadiliko ya nyadhifa zozote ndani ya utawala uliokuwepo.
Pia asijulikane kama Rais wa awamu toauti na Rais aliyefariki, bali awe kiongozi wa mpito na awamu iendelee kuhesabika ni ya Rais aliyefariki akiwa madarakani kwa sababu ndiye aliyepewa ridhaa na wananchi.
Kingine, wakati wa kipindi hiki cha siku 90, Makamu wa Rais asiwe na ruhusa ya kusaini mikataba ya uwekezaji au ya aina yoyote mpaka uchaguzi ufanyike wa kumpata Rais wa awamu inayofuata.
Yeye Makamu wa Rais atumike kutuvusha tu kwa huo muda wa siku 90.
Tunatakiwa tuwe taifa lenye maono ya muda mrefu na kuwawekea kinga viongozi wetu ambao tunawapata kwa gharama kubwa sana hasa hasa wale wa nafasi ya Urais. Hivyo, inabidi tuwalinde kwa kadri inavyowezekana ili wasihujumiwe kwa hali yoyote ile.
Vinginevyo, nafasi ya Makamu wa Rais wa nchi yetu kwa fursa yake ilivyo inaendelea kuwa ni hatari ya wazi kabisa kwa Rais mchaguliwa endapo Makamu huyo akiingiwa na tamaa ya madaraka.
Naomba kuwasilisha.
Lakini si jambo jema kwa kiongozi wa juu hivyo kulalamikiwa na asilimia kubwa ya unaowaongoza!Situation mbona iko sawa tu sema kuna watu wanakuza mambo kwa maslahi yao ila mambo yapo shwari tuu sio kubwa kiasi cha kutishia amani
Unajua kuna watu wanalipwa hela ili kupiga kelele swala la bandari?Lakini si jambo jema kwa kiongozi wa juu hivyo kulalamikiwa na asilimia kubwa ya unaowaongoza!
Ingekuwa 50 kwa 50 hapo sawa, lakini kwa utafiti wangu uchwara, asilimia 90 ya Watanzania ni kama hawaielewi elewi hii serikali iliyopo madarakani.
Sema tu kati ya vitu Watanzania tumefundishwa toka tukiwa wadogo, ni pamoja na uoga uliopitiliza wa kuogopa kutoa maoni juu ya kile unachokiamini.
Ndo maana hata juzi Mh. Balozi msitaafu Dk. Wilbroad Slaa anasema wengi wa walioko nyuma ya wale wanaopinga DP World ni viongozi wakubwa wa CCM!!
Pia tuwe na utaratibu kuwavet viongozi wetu. Tuchukue wenye uwezo wa kuona mbali kwa mstakabali wa taifa.Igweeeeeeeeee,
Mambo vipi wakuu?
Nimekutana na comment hii hapa chini iliyojaa uzalendo, nikaona nii-copy na kui-paste hapa kama uzi unaojitegemea kulingana na umuhimu wake kwa nchi yetu.
Na kwa sababu sikumwomba ridhaa ya kufanya hiki nilichofanya, naomba anisamehe kwa sababu sitaweza kuweka hapa ID yake. Hivyo, ninaomba kuwajibika kwa huu uzi kama mmiliki wake kwa asilimia zote.
Sasa twende kazi......
Rais akifia Madarakani yapaswa baada ya kipindi kifupi cha siku 90 ufanyike uchaguzi, Makamu wa Rais anayekaimu ndani ya hizi siku 90 asiruhusiwe kugombea ndani ya awamu hiyo ya aliyefia madarakani, aruhusiwe kugombea awamu inayofuata baada ya ile ya kufiwa kwa kufuata demokrasi kama kawaida ya ndani ya chama chake cha siasa, na anayekaimu nafasi ya rais aliyeaga dunia ndani ya hizo siku 90 asiruhusiwe kufanya mabadiliko ya nyadhifa zozote ndani ya utawala uliokuwepo.
Pia asijulikane kama Rais wa awamu toauti na Rais aliyefariki, bali awe kiongozi wa mpito na awamu iendelee kuhesabika ni ya Rais aliyefariki akiwa madarakani kwa sababu ndiye aliyepewa ridhaa na wananchi.
Kingine, wakati wa kipindi hiki cha siku 90, Makamu wa Rais asiwe na ruhusa ya kusaini mikataba ya uwekezaji au ya aina yoyote mpaka uchaguzi ufanyike wa kumpata Rais wa awamu inayofuata.
Yeye Makamu wa Rais atumike kutuvusha tu kwa huo muda wa siku 90.
Tunatakiwa tuwe taifa lenye maono ya muda mrefu na kuwawekea kinga viongozi wetu ambao tunawapata kwa gharama kubwa sana hasa hasa wale wa nafasi ya Urais. Hivyo, inabidi tuwalinde kwa kadri inavyowezekana ili wasihujumiwe kwa hali yoyote ile.
Vinginevyo, nafasi ya Makamu wa Rais wa nchi yetu kwa fursa yake ilivyo inaendelea kuwa ni hatari ya wazi kabisa kwa Rais mchaguliwa endapo Makamu huyo akiingiwa na tamaa ya madaraka.
Naomba kuwasilisha.
Tusubiri 2025 agombee tuone kama mtamchagua mtu mwingine maana kashaanza kupanga safu yake pale TUME YA UCHAGUZI 😅😅😅 MAPURI NDANI!!!Gharama ya uchaguzi ni ndogo kuliko hasara ya kuongozwa na mtu ambaye amepata uongozi kimserereko. Nadhani hili halihitaji hata kutumia nguvu kulielezea. Kwa mfano, kama hili suala la DP World na kile kinachosemwa na wakosoaji ni kweli, basi lazima utakubaliana na hili la Makamu kuwa kiongozi wa mpito tu kwa siku 90 na asifanye mabadiliko yoyote wala kusaini mikataba yoyote.
Vinginevyo mnaweza kujikuta mmeuza nchi eti tu kwa kuogopa kutoa hata trilioni 5 za kufanya uchaguzi wa Rais wa wananchi atakayekuwa mlinzi wa nchi na wananchi wake.
Umba nchi yakoIgweeeeeeeeee,
Mambo vipi wakuu?
Nimekutana na comment hii hapa chini iliyojaa uzalendo, nikaona nii-copy na kui-paste hapa kama uzi unaojitegemea kulingana na umuhimu wake kwa nchi yetu.
Na kwa sababu sikumwomba ridhaa ya kufanya hiki nilichofanya, naomba anisamehe kwa sababu sitaweza kuweka hapa ID yake. Hivyo, ninaomba kuwajibika kwa huu uzi kama mmiliki wake kwa asilimia zote.
Sasa twende kazi......
Rais akifia Madarakani yapaswa baada ya kipindi kifupi cha siku 90 ufanyike uchaguzi, Makamu wa Rais anayekaimu ndani ya hizi siku 90 asiruhusiwe kugombea ndani ya awamu hiyo ya aliyefia madarakani, aruhusiwe kugombea awamu inayofuata baada ya ile ya kufiwa kwa kufuata demokrasi kama kawaida ya ndani ya chama chake cha siasa, na anayekaimu nafasi ya rais aliyeaga dunia ndani ya hizo siku 90 asiruhusiwe kufanya mabadiliko ya nyadhifa zozote ndani ya utawala uliokuwepo.
Pia asijulikane kama Rais wa awamu toauti na Rais aliyefariki, bali awe kiongozi wa mpito na awamu iendelee kuhesabika ni ya Rais aliyefariki akiwa madarakani kwa sababu ndiye aliyepewa ridhaa na wananchi.
Kingine, wakati wa kipindi hiki cha siku 90, Makamu wa Rais asiwe na ruhusa ya kusaini mikataba ya uwekezaji au ya aina yoyote mpaka uchaguzi ufanyike wa kumpata Rais wa awamu inayofuata.
Yeye Makamu wa Rais atumike kutuvusha tu kwa huo muda wa siku 90.
Tunatakiwa tuwe taifa lenye maono ya muda mrefu na kuwawekea kinga viongozi wetu ambao tunawapata kwa gharama kubwa sana hasa hasa wale wa nafasi ya Urais. Hivyo, inabidi tuwalinde kwa kadri inavyowezekana ili wasihujumiwe kwa hali yoyote ile.
Vinginevyo, nafasi ya Makamu wa Rais wa nchi yetu kwa fursa yake ilivyo inaendelea kuwa ni hatari ya wazi kabisa kwa Rais mchaguliwa endapo Makamu huyo akiingiwa na tamaa ya madaraka.
Naomba kuwasilisha.
Mi napendekeza hata huyo makamu asiwepo kabisa
Uchaguzi wa raisi na hata wabunge ni pesa kidogo sana wala haifikii 400 bilioniGharama ya uchaguzi ni ndogo kuliko hasara ya kuongozwa na mtu ambaye amepata uongozi kimserereko. Nadhani hili halihitaji hata kutumia nguvu kulielezea. Kwa mfano, kama hili suala la DP World na kile kinachosemwa na wakosoaji ni kweli, basi lazima utakubaliana na hili la Makamu kuwa kiongozi wa mpito tu kwa siku 90 na asifanye mabadiliko yoyote wala kusaini mikataba yoyote.
Vinginevyo mnaweza kujikuta mmeuza nchi eti tu kwa kuogopa kutoa hata trilioni 5 za kufanya uchaguzi wa Rais wa wananchi atakayekuwa mlinzi wa nchi na wananchi wake.
Kwa vile hii mmeshajimilikisha,Umba nchi yako
Kweli MkuuUchaguzi wa rasi na hata wabunge ni pesa kidogo sana wala haifikii 400 bilioni
Kabisa, naunga mkono hojatuwe na waziri mkuu tu after raisi.
Kwani huyo aliyefia madarakani alichaguliwa kihalali au alipora uchaguzi?Kwa kweli ni hatari sana kuongozwa na mtu ambaye hamkumchagua kwa nafasi hiyo. Hata uchungu wake kwenu na nchi yenu anakuwa hana kabisa!
200% correctNaunga mkono hoja 100%