B Burkinabe JF-Expert Member Joined Feb 12, 2023 Posts 2,354 Reaction score 4,024 Jul 17, 2023 Thread starter #101 saigilomagema said: wangese mtakuja na kila topic kumhusu rais wetu mpendwa lakini hamtafanikiwa atakuwa rais wetu mpaka 2030. Subiri ushindi wa kishindo uchaguzi mkuu wa mwaka 2025. Click to expand... Akipita niko pale
saigilomagema said: wangese mtakuja na kila topic kumhusu rais wetu mpendwa lakini hamtafanikiwa atakuwa rais wetu mpaka 2030. Subiri ushindi wa kishindo uchaguzi mkuu wa mwaka 2025. Click to expand... Akipita niko pale
B Burkinabe JF-Expert Member Joined Feb 12, 2023 Posts 2,354 Reaction score 4,024 Jul 17, 2023 Thread starter #102 FaizaFoxy said: Mimi napendekeza Usultani tu, Rais wa milele na akitangulia anashika madaraka mrithi ataemchaguwa yeye akiwa hai. Click to expand... Naunga mkono hoja, ila tumpate kwanza mzalendo kama Hayati JPM.
FaizaFoxy said: Mimi napendekeza Usultani tu, Rais wa milele na akitangulia anashika madaraka mrithi ataemchaguwa yeye akiwa hai. Click to expand... Naunga mkono hoja, ila tumpate kwanza mzalendo kama Hayati JPM.
B Burkinabe JF-Expert Member Joined Feb 12, 2023 Posts 2,354 Reaction score 4,024 Jul 17, 2023 Thread starter #103 Mwande na Mndewa said: Tunaweza kuwa na makamu wa Rais mchawi akamuua Rais ilisikika sauti ya Rc fulani. Click to expand... Chalamila mara nyingi huwa anasema ukweli lakini kwa namna ya utani
Mwande na Mndewa said: Tunaweza kuwa na makamu wa Rais mchawi akamuua Rais ilisikika sauti ya Rc fulani. Click to expand... Chalamila mara nyingi huwa anasema ukweli lakini kwa namna ya utani
FaizaFoxy Platinum Member Joined Apr 13, 2011 Posts 100,246 Reaction score 123,145 Jul 17, 2023 #104 Omukerebhe Nimpele said: Naunga mkono hoja, ila tumpate kwanza mzalendo kama Hayati JPM. Click to expand... Kazi ya Mungu haina makosa.
Omukerebhe Nimpele said: Naunga mkono hoja, ila tumpate kwanza mzalendo kama Hayati JPM. Click to expand... Kazi ya Mungu haina makosa.