Napendekeza Rais wetu aitwe Mungu

Mnamtafutia matatizo Rais wenu buree,hiyo level nyingine.
 
Elimu yako ni kiwango gani mkuu?
 
Kajifunze lfasihi vizuri, usimkufuru Mungu kwa kujidai unananga watu. Hujui hata tofauti ya Mungu na mungu. Hii ni dalili ya laana kwako. Usimdhihaki Mwenyezi Mungu.🙏🙏🙏
 
Hii ni mojawapo ya misingi imara kabisa ya Siasa za Itikadi ya Ukomunisti/Ujamaa, hususani kwenye Itikadi ya 'JUCHE'
 
Tayari zumaridi washamwita hivyo,haitakuwa ni jambo la kushangaza sana,kwa nyakati hizi titaona mengi
 
🤔🤔🤔 sjui tunafanya njia gani la kulisaidia hili taifa kwa maombi aitatosha bila kuweka sheria ngumu na kali kwa hawa wangonjwa wa afya ya akili
Mgonjwa wa akili ni wewe, chawa na wale wanaosifiwa wakakubali na kushindwa kuelewa vitu rahisi kama uchokonozi na suto vya huu uzi wangu.
 
Sijui kama mwanangu unajua maana ya upumbavu na unachoandika hapa tena kwa kukurupuka na si kuelewa. Pole we.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…