Tatizo dunia yako inaishia kwenye Kiswahili.Mada jadiliwa imeletwa Kwa kiswahili.
Sasa kuchangia Kwa kiingereza ilhali wasomao ni waswahili huoni huo ni ujinga?
Mwl Nyerere aliwahi sema, nanukuu: Fikra sahihi huletwa Kwa lugha sahihi.
Sasa lugha sahihi ni kiswahili.
Mods wangeweka hii kwenye hii thread juu kama main content !Kwa nini unaona jambo la watu kuuawa, watu wasio na hatia wamefuatwa mpaka majumbani mwao, watoto wanaangalia mpira wamefuatwa kwenye vibanda vya kuangalia mpira wameuawa, mifano kemkem mnaijua watu wameuawa hata hawako kwenye maandamano, hata si CHADEMA, kwa nini unaona hilo ni suala la siasa za CHADEMA?
Kuombea wafu na kuwakumbuka wafu ni vitu viwili tofauti kabisa,Pasipo na shaka huu umekuwa utamaduni wa Kikatoliki na inategemea unatumia maandiko gani kusimamia unachokitetea ukisema tuache basi umeingilia maisha yetu ya kiroho maana toka enzi na enzi tumekuwa tukiwaombea. 2 Makabayo 12:43-46 na Mungu bado anatubariki wakatoliki kila leo tuna ibada kila asubuhi watu lazma waombee wapendwa wao waliotangulia kama hamuwezi basi mkachome na picha za ndugu zenu ili msiwakumbuke.
Naamini katika kuwaombea wafu mkuu ili Mnyazi Mungu awapunguzie adhabu ya kaburiKijana wa Kizimkazi 2030
Naye ameungana na WA Tanzania kulaani wauaji wa October 29,
Hili ni jambo jema sana
Huyo mtu ni mpumbavu tu katika ligha yoyote.Ktk hili nakuunga mkono kwa %100 jukwaa la kiswahili tusitoke kwenye Lugha yetu adhimu
tukitoka wengi watakosa kuelimika kwa kile tunakiweka jukwaani !
wewe endelea kumjibu kwa kiswahili utaeleweka zaidi ✍️
Mungu ni Mungu wa walio hai,Naamini katika kuwaombea wafu mkuu ili Mnyazi Mungu awapunguzie adhabu ya kaburi
Kushkuru ni kuomba tena ndio maana hata kwenye sala ya BABA YETU.. Unaanza kumsifu+kumshkuru+kuomba+kuomba toba na pia sijazuiliwa kuomba lolote nitakalo Mungu aipumzishe Roho yake mahala pema. Biblia inasema tusiabudu waliokufa/ matambiko maana ni kumsahau Mungu. Yesu tuu kaburi lake liliwekwa walinzi mwili wake usiibiwe wewe nani atakuwekea ulinzi bila kumwomba Mungu alinde hilo lililokuwa hekalu la roho yako?Kuombea wafu na kuwakumbuka wafu ni vitu viwili tofauti kabisa,
Usichanganye.
Kesho ni Birthday ya Mzalendo Magufuli,
Tutamshukuru Mungu Kwa kutuletea Magufuli, lakini hatutamwombea.
Waliouwawa wasio na hatia, Kwa maana ya damu iliyomwagika pasi na hatia, damu hiyo ina uwezo wa kumlilia Mungu alipe kisasi.
Sijui unaelewa?
Huyo mtu ni mpumbavu tu katika ligha yoyote.
Kwa sababu katika hoja hii, kabla ya Kiingereza nilimuandikia vizuri tu Kiswahili. Soma juu hapo.
Ujue watu wengine wana utapiamlo wa ubongo hata uwaeleweshe vipi, sio tu hawaelewi, hawataki kuelewa.
Kuna watu wanaweza kuwa na ujinga katika kitu fulani, halafu wepesi sana wa kujifunza kitu kipya ukiwafundisha, wana udadisi wa kuhoji kujua vitu vipya, wana adabu fulani inayokuja kutokana na udadisi huo, an intelligent humility.
Halafu kuna watu wana utapiamlo wa ubongo uliochanganyika na matatizo ya kisaikolojia ya miaka mingi kutoka walivyopigwapigwa ovyo na familia zao tangu walivyokiwa wadogo.
Wewe unaweza kuona unajadiliana na mtu kimangmtiki, kumbe mwenzako ana process trauma zake na social anxieties za miaka mingi.
Hakusikii wala kukuelewa katika lugha yoyote.
Anakuja kuoigana vita vya kidini Yesu hivi, Yesu vile, imani yangu mimi hivi, mpaka kwenye misa ya kuombea marehemu, jambo ambalo mtu yeyote mwenye ustaarabu mdogo tu anatakiwa ajue hapa naenda kuonesha heshima kwa waliofariki na kufariji wafiwa.
Mbona wakristo wanaingia misikitini na waislamu wanaingia makanisani kwenye hizi misa, ina maana wanapoingia hivyo wanakuwa wameacha imani zao na kuchukua imani tofauti?
Mpaka mimi Kiranga The Unorthodox nisiyeamini Mungu wala dini naelewa hilo.
Hjyu ana matatizo ya kisaikolojia inawezekana, halafu ukitaka kumueleza mambo kimantiki hataki kukuelewa, kwa lugha uoyote.
Lugha si tatizo hapa.
Huyo ni wale wa "Sitaki Shule" tu, anagomea hata masomo ya bure ya Kiswahili hapa, si Kiingereza tu.mana mshangao nimemtetea na kibano cha lugha ‼️
Kanigeuzia mimi mjadala wa kiingereza 😳
kwamba
namimi nikasome kingeleza 🤠
Sasa sijui hoja yake kugomea kingeleza imetokana nanini nimepigwa nabutwaa jamaa matata sana🤠🤠
Mkuu,Kushkuru ni kuomba tena ndio maana hata kwenye sala ya BABA YETU.. Unaanza kumsifu+kumshkuru+kuomba+kuomba toba na pia sijazuiliwa kuomba lolote nitakalo Mungu aipumzishe Roho yake mahala pema. Biblia inasema tusiabudu waliokufa/ matambiko maana ni kumsahau Mungu. Yesu tuu kaburi lake liliwekwa walinzi mwili wake usiibiwe wewe nani atakuwekea ulinzi bila kumwomba Mungu alinde hilo lililokuwa hekalu la roho yako?
mana mshangao nimemtetea na kibano cha lugha ‼️
Kanigeuzia mimi mjadala wa kiingereza 😳
kwamba
namimi nikasome kingeleza 🤠
Sasa sijui hoja yake kugomea kingeleza imetokana nanini nimepigwa nabutwaa jamaa matata sana🤠🤠
mana mshangao nimemtetea na kibano cha lugha ‼️
Kanigeuzia mimi mjadala wa kiingereza 😳
kwamba
namimi nikasome kingeleza 🤠
Sasa sijui hoja yake kugomea kingeleza imetokana nanini nimepigwa nabutwaa jamaa matata sana🤠🤠
Imani haitakiwi kwenda kinyume na Neno la Mungu ambalo ndio katiba yetu,Who are you kuwapangia watu na imani zao? Wewe uliwahi kuongea na Mungu akakuthibithishia kuwa hicho unachofanya wewe ndiyo sahihi na ndicho anachokitaka?
Punguza ujuaji, acha watu wafanye kile imani yao inaona ni sahihi. Ni kosa kubwa sana kufanya ukosoaji wa imani na utaratibu wa ibada za wengine kwa kujipa nafasi ya Mungu.
Hapo kuomba lolote ni labda uwaombee wafu wafufuliwe.Kushkuru ni kuomba tena ndio maana hata kwenye sala ya BABA YETU.. Unaanza kumsifu+kumshkuru+kuomba+kuomba toba na pia sijazuiliwa kuomba lolote nitakalo Mungu aipumzishe Roho yake mahala pema. Biblia inasema tusiabudu waliokufa/ matambiko maana ni kumsahau Mungu. Yesu tuu kaburi lake liliwekwa walinzi mwili wake usiibiwe wewe nani atakuwekea ulinzi bila kumwomba Mungu alinde hilo lililokuwa hekalu la roho yako?
Wapi ulikutana na Mungu hata ukaujua mwandiko wake na kuwa na uhakika wa 100% kuwa hicho kilichoandikwa kwenye hivyo vitabu ndiyo matakwa yake?Imani haitakiwi kwenda kinyume na Neno la Mungu ambalo ndio katiba yetu,
Neno la Mungu limekataza ibada za wafu,
nami natumia neno hilo hilo kupingana nao.
umeelewa!
Muhimu hapo,Wapi ulikutana na Mungu hata ukaujua mwandiko wake na kuwa na uhakika wa 100% kuwa hicho kilichoandikwa kwenye hivyo vitabu ndiyo matakwa yake?
mudi boy ndiye kiumbe gani? Au yule alikuwa mchezaji wa Real Madrid , Mudrick? Huyo msalie wewe kafiri mapembe
Marehemu mudi boy the mbususu umjui?mudi boy ndiye kiumbe gani? Au yule alikuwa mchezaji wa Real Madrid , Mudrick? Huyo msalie wewe kafiri mapembe