Napinga IGP Sirro kukutana na Vyama vya Upinzani kwasababu hana hadhi ya kuwa mpatanishi

Sirro na vijana wake wanatakiwa kukaa mita mia nne kutoka ukumbi wa kikao cha usuluhishi wakilinda amani na si vi ginevyo.Na mpatanishi atafutwe mtu mwingine.Ikiwezekana atoke nje ya nchi.Sirro anapaswa kuwajibika/kuwajibishwa haraka kwa ukatili na uvunjaji wa sheria alioufanya yeye na vikaragosi wake.
 
Kuna kitu hakiko sawa. Kwanini sasa ihali Kuna vuguvugu la kudai katiba mpya, kwanini wakutane polisi,vyama vya siasa na Mutungi na isiwe wadau wote wa kisiasa wakiwemo wananchi, NGO, Taasisi za kiraia,baraza la vyama vya siasa etc.

Je sheria zinasemaje kuhusu kazi za polisi,kazi za msajiri wa vyama vya siasa na kazi za vyama vya siasa pia je kufanya makongamano na mikutano ya katiba Kuna vunja sheria ipi au je kufanya hivyo ni hisani?

Kiujumla hili suala linafikirisha na kuibua maswali kuliko majibu
 
majinga hayajui hata namna bora ya kula na kipofu.

wanasema mchawi mpe mwanao akulelee.
 
Mpaka Sasa ni chadema vs dola
Kuonyesha kwamba ccm imeshakufa haitajwi popote isipokuwa zinatajwa gvt oppressive machinery/apparatus Kama polisi msajili nk

Hii tafsiri yake ninini? Ccm kimepotea kwenye siasa tumebaki na polisi. Hivyo matokeo ni

Chadema 3 ccm 0
 
Ccm wajinga Sana wamepotezwa kwenye siasa na polisi wao wakijua polisi wanawasaidia kumbe wanawa replace.🤣🤣🤣🤣🤣
 
Naunga MKONO hoja kwa asilimia 100
 
akutane na Gwajima ndio saizi yake, bladi fuli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…