Napinga IGP Sirro kukutana na Vyama vya Upinzani kwasababu hana hadhi ya kuwa mpatanishi

Wewe kwa akili zako nyingi unavyoona,hawa watawala wanaipeleka wapi ili Taifa?
Na wewe kwa akili zako nyingi unadhani Lema, Mbowe, Sugu, Msigwa, Mnyika na Pambalu watalipeleka wapi hili taifa wakipewa nchi?
 
Kwa miaka yote tangu ateuliwe kuwa IGP, Mtukufu Sirro amejipambanua kuwa upande wa CCM, huyu ndio chanzo cha vurugu kwenye harakati zote za kisiasa za vyama vya upinzani, ameshiriki kuvuruga, kuumiza na kuua Raia wasio na hatia kwenye mikutano na maandamano ya amani ya vyama vya siasa yasiyo na vurugu zozote, Ametumika sana na Serikali ya CCM kudanganya raia ili kunufaisha chama chake cha CCM, NENDENI TUNDUMA MKAJIONEE UNYAMA WALIOFANYIWA CHADEMA, Mauaji ya Akwilina na utekaji wa MO ni ushahidi wa uongo wa wazi na wa kishamba sana wa Simon Sirro, kama yeye mwenyewe au mpambe wake anabisha ajitokeze hadharani .

Mtesaji mkuu wa Wanasiasa wa Tanzania kwa awamu ya 5 na hii ya 6 ni Simon Sirro kupitia Jeshi analoliongoza la polisi , kwa kadri ya kumbukumbu zangu sijawahi kuona vurugu zozote za kisiasa zilizoanzishwa na upinzani, bali nimeshuhudia utesaji , manyanyaso , wizi wa kura wa aibu sana na utekaji wa viongozi wa upinzani ukisimamiwa na Jeshi la polisi lililo chini ya Sirro.

Mtu wa namna hii hana uwezo wa kuitisha kikao na vyama vya siasa vya upinzani kwa namna yoyote ile si tu kwa vile hana MAMLAKA YA KISHERIA YA KUFANYA HIVYO , Bali pia haaminiki na anao upande wake wa yule aliyemteua ambaye ni Mwenyekiti wa CCM.

NASHAURI CHAMA CHANGU CHA CHADEMA KUTOHUDHURIA KIKAO CHOCHOTE KITAKACHOITISHWA NA SIMON SIRRO akiwa yeye binafsi ama akivaa cheo cha IGP.

NAKALA: John Mnyika
Samia anakosea mno kutowasikiliza wapinzani atajutia baadaye.
 
I >100% support you.
 
Hatutashiriki vikao vya shetani

..Nadhani huu ni MTEGO kwa Chadema.

..Wanajua kwamba kutokana na waliyowatendea mtakataa kuonana na IGP na Msajili wa Vyama.

..Mnachotakiwa kufanya ni kukubali wito huo, na mkifika kwenye kikao muwashinde IGP na Msajili kwa hoja.

..Nina wasiwasi mkubwa sana kama kweli Msajili anataka kuitisha kikao hicho.

..Mnachotakiwa kukikataa na kusitisha makongamano bila kuwa mmepewa tarehe ambayo kikao kitafanyika.
 
Vyama vinavyo jitambua haviwezi kushiriki, hiki ni kiini macho.
Ila vyama mamluki vitajihimu napema tu.
Polisi ni nguvu za CCM, unategemea kuna la maana hapo.
CCM bila polisi imekufa.
 
Naunga mkono hoja kwa asilimia 100

Huyo Sirro hana "credibility" ya kuhudhuria kikao hicho.

Ingawa pia huyo Mutungi naye tuhisi kuwa ametokewa na Roho Mtakatifu Hadi kufikia uamuzi huo??

Kwa kuwa na yeye pia hana "credibility" ya kuitisha kikao hicho kwa namna na yeye pia alivyo-side na upande wa Chama tawala Katika kipindi chote, tokea ateuliwe kwenye nafasi hiyo nyeti Sana hapa nchini

Au tuite kuwa kuna shinikizo kubwa kwenye Jumuia ya Kimataifa ndiyo imemfanya huyo Msajili wa vyama vya siasa apige hiyo U-turn yake??

Kuna maswali mengi yanayokosa majibu kwenye huu mwelekeo mpya wa Msajili wa vyama vya siasa
Wakakae na maccm yao wawaeleze kuwa hawako tayari kuwatumikia kinyume na katiba

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Kwa miaka yote tangu ateuliwe kuwa IGP, Mtukufu Sirro amejipambanua kuwa upande wa CCM, huyu ndio chanzo cha vurugu kwenye harakati zote za kisiasa za vyama vya upinzani, ameshiriki kuvuruga, kuumiza na kuua Raia wasio na hatia kwenye mikutano na maandamano ya amani ya vyama vya siasa yasiyo na vurugu zozote, Ametumika sana na Serikali ya CCM kudanganya raia ili kunufaisha chama chake cha CCM, NENDENI TUNDUMA MKAJIONEE UNYAMA WALIOFANYIWA CHADEMA, Mauaji ya Akwilina na utekaji wa MO ni ushahidi wa uongo wa wazi na wa kishamba sana wa Simon Sirro, kama yeye mwenyewe au mpambe wake anabisha ajitokeze hadharani .

Mtesaji mkuu wa Wanasiasa wa Tanzania kwa awamu ya 5 na hii ya 6 ni Simon Sirro kupitia Jeshi analoliongoza la polisi , kwa kadri ya kumbukumbu zangu sijawahi kuona vurugu zozote za kisiasa zilizoanzishwa na upinzani, bali nimeshuhudia utesaji , manyanyaso , wizi wa kura wa aibu sana na utekaji wa viongozi wa upinzani ukisimamiwa na Jeshi la polisi lililo chini ya Sirro.

Mtu wa namna hii hana uwezo wa kuitisha kikao na vyama vya siasa vya upinzani kwa namna yoyote ile si tu kwa vile hana MAMLAKA YA KISHERIA YA KUFANYA HIVYO , Bali pia haaminiki na anao upande wake wa yule aliyemteua ambaye ni Mwenyekiti wa CCM.

NASHAURI CHAMA CHANGU CHA CHADEMA KUTOHUDHURIA KIKAO CHOCHOTE KITAKACHOITISHWA NA SIMON SIRRO akiwa yeye binafsi ama akivaa cheo cha IGP.

NAKALA: John Mnyika
Umenikumbusha watu wasiojulikana
 
Naunga mkono 100%
 
Chama_cha_Demokrasia_na_Maendeleo_(Chadema),_kimesema_hakipo_tayari_kukutanishwa_na_jeshi_la_p...jpg
 
Msiposhiriki maana yake kila mkiandaa chochote mtatwangwa, amueni kusuka au kunyoa
Kwani miaka yoye si ndiyo kazi ambayo amekuwa akiifanya? Ambao amekuwa anawatwanga, bado wanaishi, ambao amekuwa anawakumbatia, baadhi hawapo.

Ulinzi wa anayeonewa hutoka kwa Mungu, na huo ni ulinzi mkubwa kuliko ulinzi wa vifaru 1,000 vilivyosheheni mabomu.

Mwenyezi Mungu, wakati tukishuhudia ukuu wako na kukunyenyekea kwa kila ambalo kwalo unatupitisha, hatukomi kuendelea kuomba ulinzi wako. Wafunike waja wako, wakae katika ulinzi upitao ulinzi wote, huku ukiwaonesha mawakala wa shetani jinsi ulivyo mkuu. Mapigo yako makubwa yawakumbushe na kuwafundisha kweli yako.
 
Mshiriki msishiriki hakuna athari yeyote Kwa nchi hi[emoji23][emoji1787]
Kwa kuwa mnajua hakuna athari, mnahangaika na kuandaa hiyo mikutano kwaajili ya nini? Si lengo ilikuwa kumtesa Mbowe? Tayari yupo mahabusu. Bado hamjaridhika tu?

Mna uwezo wote kwenye utawala wa shetani, lakini hamna chochote wala nguvu yoyote mbele ya utawala wa Mungu. Tukio la TAL vs JPM, kama mngekuwa na akili hata ndogo sana sawa na chembe ya haladali, mngekuwa mmejifunza, lakini shetani amewapofusha ili awapitisha kwenye uovu wote kabla ya kutambua kuwa mwisho wa waovu wote ni jehanamu.
 
Dua la kuku halimpati mwewe [emoji23][emoji1787]
 
Hakuna adhari kwa nchi? Unahisi mpaka wakaitisha kikao ni jambo dogo ee? Ukikua utaelewa nguvu ya upinzani ndani ya nchi.
Mnachezewa shere tu muingie kwenye 18, Tanzania hakuna upinzani kuna waropokaji tu
 
Back
Top Bottom