Napinga kwa nguvu zote baadhi ya member humu kuwaona walimu kama "special group"

Napinga kwa nguvu zote baadhi ya member humu kuwaona walimu kama "special group"

Kazanazo

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2023
Posts
2,582
Reaction score
4,554
Kuna harakati nimezikuta toka najiunga jamii forum na bado zinaendelea kwa baadhi ya member kuwadharau na kuwakejeli walimu wa nchi hii

Napinga kwa nguvu zote za kuwafanya walimu kama marginal group kwa kigezo cha mshahara na maisha kiujumla

Nakataa unyanyasaji huu wa kifikra kwa walimu eti kisa some of them walienda kwa olevel certificate

Hata kama imefika wakati walimu wakawa wengi mtaani kwa sababu ya kimfumo bado haiwafanyi walimu wadharauliwe kwani kada nyingi bado zinasota kwenye suala la ajira

Nchi hii hakuna mwenye afadhali tukija suala la maslahi hasa walio halmashauri na tukija kwenye mishahara bado utakuta mfumo unaotumika kulipa watumishi ni kulingana na kiwango chao cha elimu kwa kada zote

Kuhusu hali ya kimaisha ngazi ya halmashauri wote ni wagaa gaa na upwa wanakula wali bila mchuzi dharau zinatoka wapi?

Tukija superiority ya kada michepuo ya kada zingine na ualimu mtiririko ni uleule either mtu aende olevel certificate, advance certificate au chuo moja kwa moja

Kwanini walimu wadharauliwe? Kwanini tuwakejeli? Nchi hii tunategemeana hii ni ecosystem bila mwalimu bila dactari na kada zingine hakuna mtiririko wa uendeshaji nchi tuheshimiane
 
Walimu tunawaheshimu sana
Kila mtu ametoka kwenye mikono ya mwalimu
Walimu wameamua kujidhalilisha wenyewe
Walimu hawadai haki zao
Kutumika kuhujumu uchaguzi n.k

Serikali na walimu wenyewe wajipe hadhi
 
aise nilishangaa kusikia daktari analipwa 900k. pesa ambayo naingiza kwa coaster special hire moja ndani ya siku 3.

sio mwalimu sio daktari kwa mishara ya Tanzania mtu smart kichwani unaona ni upuuzi
 
Mleta mada,tunaomba usitutetee acha mambo yawe kama yalivyo...

Humu jf hakuna jema,yaani ukitafuta jema humu u fail....

Hutakiwi kutegemea huruma ya watu ili usimame, Hivyohivyo na mapungufu unayoonekana nayo jithamini mkuu
 
We mtoto wewe!🤣🙌
Eeeeeddddduuuuuuucccccccaaaaaaaattttttttiiiiiiioooooooonnnn iiiiissss tttthhhheeee kkkkkeeeeyyyy ooooofffff lllllliiiiifffffffeeeee

Gggggooooddddd nnnnniiiiiiggggggghhhhhhtttttt mmmmmmmaaaaaddddddaaaaaaammmmmmeeeee

kama ulisahau chaki ofisini,utaenda na kurud bado unasalimiwa🤣🤣
 
Eeeeeddddduuuuuuucccccccaaaaaaaattttttttiiiiiiioooooooonnnn iiiiissss tttthhhheeee kkkkkeeeeyyyy ooooofffff lllllliiiiifffffffeeeee

Gggggooooddddd nnnnniiiiiiggggggghhhhhhtttttt mmmmmmmaaaaaddddddaaaaaaammmmmmeeeee

kama ulisahau chaki ofisini,utaenda na kurud bado unasalimiwa🤣🤣
🤣🤣🤣Tunawapenda hivyohivyo,Kuna muda usumbufu wao ndiyo starehe na marupurupu yetu
 
Jitaidini kuboresha mishahara Yao mkuu...
downloadfile-1.jpg
 
Back
Top Bottom