Lucas philipo
JF-Expert Member
- Sep 1, 2017
- 2,039
- 2,676
You've nailed!! Hakuna cha kitu inaitwa maridhiano.Maridhiano hoyeee! Ndio maana watu wanasema Mbowe amelamba asali.
Mtu mwenye nia njema hawezi kumteua huyo jamaa kuwa mkurugenzi wa uchaguzi.
Umeamua kujitoa ufahamu au ni kweli hujaelewa?Jaribu kutumia ubongo wako. Hakuna kati ya hao anayeteuliwa na mwenyekiti wa ccm.
Onyesha barua moja ya uteuzi wa hao kama ipo iliyosainiwa na mwenyekiti wa ccm.
Kwa umri wake kuwa kada wa ccm ni kawaida sana, sifa anazo wacha apambaneKurejeshwa kwa Kailima kuwa Mkurugenzi wa NEC akichukua nafasi ya Dr. Mahera, ni sawa na kejeli na dharau kubwa sana kwa Watanzania, Jambo hili ni sawa na matusi ya nguoni kwa Watanzania.
Huyu ni miongoni mwa Makada wakubwa kabisa wa CCM wa tangu enzi na enzi.
Ushahidi huu hapa akiwa na Mwigulu enzi zao UVCCM.
View attachment 2530740
Wakati Kagulumujuli akihujumu uchaguzi wa Kinondoni na kusababisha mauaji ya Akwilina , Kailima alikuwa Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi na akanyamaza , Kailima alihusika na kukamatwa kwa Salum Mwalimu aliyekuwa Mgombea wa Chadema kwenye vituo vya kupigia kura Magomeni akishirikiana na RC wa DSM wakati huo Paulo Makonda , Mtu kama huyu awezaje kuaminiwa na kurejeshwa tena Tume ya uchaguzi , kwa uteuzi huu Rais Samia ana malengo gani na Demokrasia ya Tanzania ?
Hata kama Watanzania ni Wajinga lakini si wajinga kwa kiwango ambacho mamlaka ya uteuzi inawaona , ni nani aliyesahau madudu ya Kailima hapo Tume ya Uchaguzi ?
Hakika kwa Uteuzi huu ninaamini Mungu hawezi kukubali na ATATENDA JAMBO , haliwezi kwisha hivi hivi tu .
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Atakuwa Muha
Rais anafanya teuzi kwwa kufuata katiba na taratibu nyingine lakini pia anajua mambo mengi hasa wakati wa kufanya hizo teuzi kuliko sisi wananchi, hakuna mtu anayetaka kuona kazi yake inaharibika kwa hiyo sisi tuamini kuwa ni uteuzi wenye tija.Kurejeshwa kwa Kailima kuwa Mkurugenzi wa NEC akichukua nafasi ya Dr. Mahera, ni sawa na kejeli na dharau kubwa sana kwa Watanzania, Jambo hili ni sawa na matusi ya nguoni kwa Watanzania.
Huyu ni miongoni mwa Makada wakubwa kabisa wa CCM wa tangu enzi na enzi.
Ushahidi huu hapa akiwa na Mwigulu enzi zao UVCCM.
View attachment 2530740
Wakati Kagulumujuli akihujumu uchaguzi wa Kinondoni na kusababisha mauaji ya Akwilina , Kailima alikuwa Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi na akanyamaza , Kailima alihusika na kukamatwa kwa Salum Mwalimu aliyekuwa Mgombea wa Chadema kwenye vituo vya kupigia kura Magomeni akishirikiana na RC wa DSM wakati huo Paulo Makonda , Mtu kama huyu awezaje kuaminiwa na kurejeshwa tena Tume ya uchaguzi , kwa uteuzi huu Rais Samia ana malengo gani na Demokrasia ya Tanzania ?
Hata kama Watanzania ni Wajinga lakini si wajinga kwa kiwango ambacho mamlaka ya uteuzi inawaona , ni nani aliyesahau madudu ya Kailima hapo Tume ya Uchaguzi ?
Hakika kwa Uteuzi huu ninaamini Mungu hawezi kukubali na ATATENDA JAMBO , haliwezi kwisha hivi hivi tu .
Hata Mimi ningekuwa ccm,au mmoja wa wanaofaidika na kushika hatamu kwa ccm,ningekuwa naweka watu wakunihakikishia kutawala milele,huyu mtu atakuwa refa kati ya chama chske ccm na vyama vingine,Kurejeshwa kwa Kailima kuwa Mkurugenzi wa NEC akichukua nafasi ya Dr. Mahera, ni sawa na kejeli na dharau kubwa sana kwa Watanzania, Jambo hili ni sawa na matusi ya nguoni kwa Watanzania.
Huyu ni miongoni mwa Makada wakubwa kabisa wa CCM wa tangu enzi na enzi.
Ushahidi huu hapa akiwa na Mwigulu enzi zao UVCCM.
View attachment 2530740
Wakati Kagulumujuli akihujumu uchaguzi wa Kinondoni na kusababisha mauaji ya Akwilina , Kailima alikuwa Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi na akanyamaza , Kailima alihusika na kukamatwa kwa Salum Mwalimu aliyekuwa Mgombea wa Chadema kwenye vituo vya kupigia kura Magomeni akishirikiana na RC wa DSM wakati huo Paulo Makonda , Mtu kama huyu awezaje kuaminiwa na kurejeshwa tena Tume ya uchaguzi , kwa uteuzi huu Rais Samia ana malengo gani na Demokrasia ya Tanzania ?
Hata kama Watanzania ni Wajinga lakini si wajinga kwa kiwango ambacho mamlaka ya uteuzi inawaona , ni nani aliyesahau madudu ya Kailima hapo Tume ya Uchaguzi ?
Hakika kwa Uteuzi huu ninaamini Mungu hawezi kukubali na ATATENDA JAMBO , haliwezi kwisha hivi hivi tu .
Tumemwelewa sana hafai,amewekwa makusudi kwasababu anauzoefu wa kuharibu uchaguzi kwa masilahi ya chama chake ccm
Kurejeshwa kwa Kailima kuwa Mkurugenzi wa NEC akichukua nafasi ya Dr. Mahera, ni sawa na kejeli na dharau kubwa sana kwa Watanzania, Jambo hili ni sawa na matusi ya nguoni kwa Watanzania.
Huyu ni miongoni mwa Makada wakubwa kabisa wa CCM wa tangu enzi na enzi.
Ushahidi huu hapa akiwa na Mwigulu enzi zao UVCCM.
View attachment 2530740
Wakati Kagulumujuli akihujumu uchaguzi wa Kinondoni na kusababisha mauaji ya Akwilina , Kailima alikuwa Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi na akanyamaza , Kailima alihusika na kukamatwa kwa Salum Mwalimu aliyekuwa Mgombea wa Chadema kwenye vituo vya kupigia kura Magomeni akishirikiana na RC wa DSM wakati huo Paulo Makonda , Mtu kama huyu awezaje kuaminiwa na kurejeshwa tena Tume ya uchaguzi , kwa uteuzi huu Rais Samia ana malengo gani na Demokrasia ya Tanzania ?
Hata kama Watanzania ni Wajinga lakini si wajinga kwa kiwango ambacho mamlaka ya uteuzi inawaona , ni nani aliyesahau madudu ya Kailima hapo Tume ya Uchaguzi ?
Hakika kwa Uteuzi huu ninaamini Mungu hawezi kukubali na ATATENDA JAMBO , haliwezi kwisha hivi hivi tu .
Weka hapa barua moja ya mwenyekiti wa ccm iliyomteua mtu kuongoza taasisi ya serikali.Umeamua kujitoa ufahamu au ni kweli hujaelewa?
Hahhahhahahah wewe jamaa ni mjinga kinoma.Weka hapa barua moja ya mwenyekiti wa ccm iliyomteua mtu kuongoza taasisi ya serikali.
Kama huna kaa kimya usitupotezee muda
Mjinga mamaako.Hahhahhahahah wewe jamaa ni mjinga kinoma.
Kwamba kauli na vitendo vya Sa100 haviendani,You've nailed!! Hakuna cha kitu inaitwa maridhiano.
Ilikuwa kutulizwa kwa huyo mwenyekiti kwa kupewa asali mbichi toka Unyamwezini[emoji1787][emoji1787]
πππ Ni fundi Mwakajoka toka mwakaleli.Atakuwa Muha
Nakuhakikishia kwamba Kailima hatofanya kazi NEC hadi anang'olewaNdo maana tunasema yote yanayofanyika chini ccm ni maigizo tuu
Najua kwa uwezo wako ulionao, hapa unajisikia kuwa umetoa hoja nzito na mhimu sana ambayo haina mbadala wa jibu juu yake. Hiyo ndiyo ngazi ya juu uliyofikia katika fikra zako.Yaani mwenyekiti wa CCM awe na nia njema ya CHADEMA kushinda uchaguzi? Lengo kuu la chama cha siasa ni kushika dola ndo maana hata CHADEMA walipoona kuna uwezekano wa kwenda ikulu kupitia mtu waliyemtuhumu kwa ufisadi ilibidi wajitoe ufahamu na kuungana naye.