Napinga Stesheni ya SGR Dar kuitwa Magufuli, hakuna sababu yoyote ya kuipa Jina hilo

Mimi sipo kwa Magufuli tu.

Hivyo vituo havikuwa na haja ya kuvipa majina ya marais .

Kuna watu wengi tu wameifikisha hapo nchi ilipo na walikuwa waaadilifu na wazalendo wa kweli ila ndio wamesahaulika.
 
Nakupa onyo la mwisho

Usirudie kutaja jina La Magufuli

Utaishia wenzio walipoishia😝
Vitisho na uchawi ndio silaha ya Masikini, alinishindwa Jiwe Mwenyewe ndio uwe wewe mtumwa wake! itakuwa ajabu kweli!
 
Huko mbele I itabidi wananchi wabafirishe. Haiwezekani kila kitu wapewe majina yale yale. Imagine Dar kuna stand ya Magufuli halafu tena kuna Station ya Magufuli. Bora wangempa ya Mwanza kutofautisha.
 
It is better to logic creature and not emotional creature

MTU anaweza asiwe mzuri katika eneo fulani ila hiyo haimaniishi mambo mengine sio mzuri.

So JPM katika miundombinu amefanya Kazi nzuri we need to respect his legacy
 
JPM ni kiongozi wa kuigwa kwa aliyoyafanya ndani ya muda mfupi aliokaa madarakani.
 
Ulitaka iitwe Mbowe?

Kama hauoni sababu zozote za kuitwa Magufuli, basi hata sisi hautuoni sababu za kuacha kuitwa Magufuli.

Isitoshe ni Maraisi wote, ila kwa Magufuli tu ndiyo umeona shida.

Nadhani hizi ni chuki
Marais wote isipokuwa Nyerere ni majizi lakini Magufuli ni muuaji katili anayestahili kulaaniwa milele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…