Napingana na Mahakama kuzungumza na Mbowe peke yake bila watuhumiwa wengine, watuhumiwa watatu wanatetewa na Mbowe Kwenye Haki yao ya Kula?

Aibu gani?, Kesi ina aibu gani?, Mahakama ndo inahukumu haki, kama itaonekana hamna kosa ataachiwa na anahaki ya kufungua mashitaka ya False accusation na kudai fidia ,
Hakuna mambo ya aibu kwenye kutafuta haku ya mtu
 
Wana haki ya kula embu tuone samia atasema nini kuhusu hili si mnasema ana huruma? Yetu macho.
Samia sio hakimu, shida mnaingiza siasa,,, binafsi najua mbowe ataachiwa huru,,,
Lakini samia sio jaji
 
Acha porojo
 
We huoni mbowe alivyokonda?, Wale wana miezi mitano wanakunywa uji tu
 
Hivi msosi si huwa wanapelekewa na ndugu zao au!?

Naona wale askar wa mauji Mtwara wanaingia mahakaman na maji ya kilimanjaro
 
Kikombe kimoja cha uji (tena uji wenyewe wa magereza) kwa saa 24 is as good as nothing. Ndiyo maana sikukihesabu hata kukihesabu. Ukijaribu kufanya hivyo kwa week hata moja, itabidi wawe wanakubeba badala ya wewe kutembea kwa miguu yako mwenyewe!
Kwahiyo unamaanisha?, Maana mi naona wamedhoofika sana
 
Mleta mada, nitakikita kwenye point namba 3. Kuna mambo hayawezi kuthibitishwa kama unavopendekeza. Hawa washtakiwa wanafika saa 2 na nusu asubuhi - je muda huo magereza wameshapika lunch ili washitakiwa wachukue take away?? Kuna maswala ni ya pamoja na huchukuliwa kwa ujumla! Unajiulizaje swali hilo huku mawakili wao wanaelezea jinsi walivolishighulikia??

Unachotaka ni kama watu wakiwa kanisani/msikitini na kiongozi wa sala akasubiri wasema “amin/amina”. Akisikia representative “amin/amen” hana haja ya kutaka kujiridhisha kama KILA mtu ameitikia. Anaendelea. Watu wa “ndiyooo” bungeni huulizwa mmoja mmoja??
 
Umesoma maelezo kwa makini kweli..?

Kwa nilivyoelewa mimi, si kwamba hawali kabisa. Bali wanakula mlo mmoja tu in 24hrs...

Ambacho hakijafafanuliwa hapa ni mlo upi (wa mchana, jioni au asubuhi) wasioupata...?
Wanafika mahakamani saa ngapi? Wanaondoka saa ngapi? Mpaka hapo huwezi jua kweli??
 
Mbona hukupanua domo lako wakati mbowe alipowasemea wenzake kuwa wanakosa chakula mpaka wanakonda mbweha we!
 
Wanafika mahakamani saa ngapi? Wanaondoka saa ngapi? Mpaka hapo huwezi jua kweli??
Nakubaliana na wewe. For this case, it's obviously that, katika siku zote za kesi mahakamani huwa hawapati chakula cha mchana...

Wao kula yao huwa ni mlo wa jioni tu mara warudipo ktk chambers zao huko gerezani ...

All in all this is not right and it's against human rights...

Wakati wa wa health break mchana kama ambavyo kila mtu hupata chochote, basi magereza wahakikishe hawa watu wanapata chakula [full balanced diet + water + refreshment drinks]

Na kama vipi, Jaji atoe amri ya kuwaruhusu ndugu wawahudumie ndugu zao kwa vyakula na vivywaji maana hilo linawezekana kwa 150%...

After all, hawa hata si wahalifu bali wako pale kwa chuki za watawala wajinga na waoga wa vivuli vyao wenyewe chini ya CCM...
 
Kwahiyo unamaanisha?, Maana mi naona wamedhoofika sana

Mimi nadhani kuna kitu hakiko sawa katika haya maelezo. Mtu akipewa kikombe kimoja cha uji wa magereza kwa saa 24 kwa kipindi kirefu kama hicho, sidhani kama starvation inaepukika.

Starvation doesn’t necessarily mean total deprivation of food. Even dying of malnutrition due to having only poor foods, inadequate or a single food to eat is starvation!
 
Wanatunziwa mkuu....ila nadhani mahabusu wanatuhusiwa kiletewa chakula mahakamani na ndugu zao...ila aliyeleta anatakiwa ale kidogo kabla mtuhumiwa hajala kwa kuhofia kuwekewa sumu...hata gerezani mahabusu wanaruhusiwa kupelekewa chakula kutoka uraiani na ndugu zao.
 
Umesoma maelezo kwa makini kweli..?

Kwa nilivyoelewa mimi, si kwamba hawali kabisa. Bali wanakula mlo mmoja tu in 24hrs...

Ambacho hakijafafanuliwa hapa ni mlo upi (wa mchana, jioni au asubuhi) wasioupata...?


Magereza hakuna lunch and dinner...wakishapata kikombe cha uji asubuhi... lunch wanakula around saa tisa alasiri inakuwa imeisha hyo mpaka kesho Tena. Kuhusu wanaenda mahakamani wakirudi jioni wanakuta chakula chao wametunziwa mkuu.
 

Wakati nipo gerezani, sisi walikuwa wanatuwekea Chakula, Ila hata nilikuwa sili; Kwa kifupi Hakifai kikiwa cha moto and kikipoa is even worse.

Kwa kweli Kama Mbowe kapewa hii Kesi Ni Jambo Baya Sana Na La kutisha! Magereza Ndugu zangu is no place; Hakufai, Hakufai, Hakufai.

Ni dhuluma Mbaya Sana Kwa kweli Na Lazima itakuwa Na madhara Kwa wahusika, there is a way they will pay for this pain caused to this gentlemen!
 

Let’s wait and see; the burden of proof is squarely on the Government!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…