The Palm Tree
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 7,951
- 12,541
Usichokijua ni hiki.
Mbowe kunyoosha mkono na kuzungunzia chakula ni code language...
You have a point....!
Justification nyingine ya point yako hii ni kumhusu shahidi wa Jamhuri polisi, Inspector Swila...
Namna anvyojibu maswali ya wakili Kibatala wa upande wa utetezi ni kama vile ameshavurugwa to the extent kwamba, ameshafikia kiwango cha total confusion cha ushahidi wake...
Kwa lugha rahisi ni kuwa, ameshaamua liwalo na liwe maana kila kitu kimeshavurugika sasa...!!
Yaani ushahidi wa Jamhuri tayari umeshachanwa vipande vipande kiasi ambacho hauwezi tena ku - hold water...!