Napingana na Mahakama kuzungumza na Mbowe peke yake bila watuhumiwa wengine, watuhumiwa watatu wanatetewa na Mbowe Kwenye Haki yao ya Kula?

Napingana na Mahakama kuzungumza na Mbowe peke yake bila watuhumiwa wengine, watuhumiwa watatu wanatetewa na Mbowe Kwenye Haki yao ya Kula?

Usichokijua ni hiki.

Mbowe kunyoosha mkono na kuzungunzia chakula ni code language...

You have a point....!

Justification nyingine ya point yako hii ni kumhusu shahidi wa Jamhuri polisi, Inspector Swila...

Namna anvyojibu maswali ya wakili Kibatala wa upande wa utetezi ni kama vile ameshavurugwa to the extent kwamba, ameshafikia kiwango cha total confusion cha ushahidi wake...

Kwa lugha rahisi ni kuwa, ameshaamua liwalo na liwe maana kila kitu kimeshavurugika sasa...!!

Yaani ushahidi wa Jamhuri tayari umeshachanwa vipande vipande kiasi ambacho hauwezi tena ku - hold water...!
 
Kuna kitu sijakielewa hapa. Nimewahi kusikia kuwa gerezani chakula cha jioni kinaliwa mapema sana (pengine kabla ya 5pm). Sasa kama hawa wanatoka mahakamani 5pm, maana yake, wanakuta milo yote imeshapita. Wamewezaje kuishi kwa miezi mitano bila kula? Au labda wanatunziwa chakula cha jioni?
Umesoma maelezo kwa makini kweli..?

Kwa nilivyoelewa mimi, si kwamba hawali kabisa. Bali wanakula mlo mmoja tu in 24hrs...

Ambacho hakijafafanuliwa hapa ni mlo upi (wa mchana, jioni au asubuhi) wasioupata...?
 
Serikali imenyoosha mikono kesi inaisha Mana mbowe hatetereki pia inaonesha bimkubwa kakutana na mbowe ufaransa yaani kivuli chake na ubelgiji,perhaps
 
Jamani hoja ya Mbowe kama ni ya kweli, basi madhara yake yanaweza kumuondoa kama sio kuwaondoa baadhi ya watu makazini.
Utaratibu wa magereza uko wazi kwa wafungwa na mahabusu ambao wanachelewa kurudi gerezani.Utaratibu ni kwamba lazima wawekewe chakula na si vinginevyo.

Na kwa alichokisema Mbowe ni wazi kwamba kwa muda wanaorudi gerezani ni lazima wanakuta wafungwa na mahabusu wenzao wamekwishafungiwa ndani ya maselo.

Nawasilisha

Hata hivyo, suala la kwamba eti waondoke na chakula sio la kweli kwa sababu kwa muda wanaoondoka mahabusu kwenda Mahakamani chakula kinakua hakijapikwa/kuiva
 
Umesoma maelezo kwa makini kweli..?

Kwa nilivyoelewa mimi, si kwamba hawali kabisa. Bali wanakula mlo mmoja tu in 24hrs...

Ambacho hakijafafanuliwa hapa ni mlo upi (wa mchana, jioni au asubuhi) wasioupata...?

Kikombe kimoja cha uji (tena uji wenyewe wa magereza) kwa saa 24 is as good as nothing. Ndiyo maana sikukihesabu hata kukihesabu. Ukijaribu kufanya hivyo kwa week hata moja, itabidi wawe wanakubeba badala ya wewe kutembea kwa miguu yako mwenyewe!
 
Inasikitisha sana, miezi mitano watuhumiwa hawali chakula na magereza/serikali inaona powa tu?! There might be misconductions amonga the prison officers in there.
Kama taarifa zilishafika, wahusika wawajibishwe kwakulikalia kimya hili swala muda wote huo wa miezi mitano.
Mkuu hawa watu Lao moja, kuanzia upande wa mashitaka mahakama na magereza. Kubwa ni kumkomoa Mh Mbowe.
 
Askari ma gereza wamemfuata FREEMAN Mbowe, anahitajika ofisini kwa Jaji katika kikao cha pamoja na mawakili wa pande zote (serikali na utetezi), Washtakiwa wengine watatu bado wamebakia kizimban...
Jitahidi kujua matumizi herufi kwa usahihi vinginevyo unabadili maana Kuandika awali nitofauti na hawali
Awali.... Mwanzo
Hawali... Kukaa na njaa
 
Usichokijua ni hiki.

Mbowe kunyoosha mkono na kuzungunzia chakula ni code language.

Mbowe kuitwa chemba na Jaji akiwa na mawakili wa pande zote ni coded kuna jambo mtambuka wanaenda kuwekana sawa.

Kama ilikuwa ni chakula tu, ilitakiwa amri ya Jaji itoke kwamba, watuhumiwa wawekewe ratio yao wanapotoka mahakani waikute huko mahabusu.

Kinacgotafutwa ni mazingira ya kuimaliza kesi kabla hatujaingia aibu zaidi.

Mimi ni CCM
Bila Mbowe,watuhumiwa hao watatu wasingekuwa na kesi. Pia bila wao (watatu) Mbowe asingekuwa na kesi

Naelewa maneno yako.
Hakuna namna nyingine ya kuzungumzia kesi hii bila maarifa kutumika.
 
Back
Top Bottom