Napingana na Mahakama kuzungumza na Mbowe peke yake bila watuhumiwa wengine, watuhumiwa watatu wanatetewa na Mbowe Kwenye Haki yao ya Kula?

Sijaelewa hoja yako
 
Baba wa taifa aliwahi kusema"watu hawa kuwakataa makaburu kwasababu ya ngozi zao bali matendo yao,hata mwafrika mwenye matendo Kama ya makaburu Wewe ni kaburu tu"
 
Maza ako alikuwa anatosha kuwawakilisha mkuu
 
Usikite hua wanafurahia kimoyomoyo kesi ikihairishwa ili wapate chakula vizuri. Watu wana roho mbaya sana
 
Ni masikitiko makubwa kusikia kitu kama hiki haswa kwa mtu ambaye anapitia kadhia hii bila y hatia kisa tu maslahi ya kisiasa.
Siku moja hatutakua tunazungumza haya nayo sio mbali.
 
Hii akili inaendeshwa na chuki
 
Jikite kwenye hoja.. na hoja ni kwamba washatakiwa hawali mchana kwa miezi tano, je hiyo ni sawa? hayo mambo ya nani na nani kaleta hoja au kusikilizwa na hakimu sio muhimu! tuna watu wa ajabu sana nchi hii..
 
Da hizi tabiri zenu siku hizi naziogopa sana.
hakuna namna. Uonevu unapovuka mipaka. tena unaonea mtu/watu wasio na vurugu, Mungu lazima aingilie kati. Anakuondoa ili usisababishe ibada za watu za kumwabudu Yeye zikaharibika.
 
umeelewa hata sentensi yangu au umekurupuka embu soma vizuri sijaandika kwamba hao sio makomandoo bali nimeandika sio makomandoo wa jeshi
Acha umbugila, ukomando ni ujuzi ambao mtu anaupata baada ya kufuzu mafunzo. Hivyo hauwezi kutoka Kwa mhusika hadi kifo chake!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…