Ms Billionaire
JF-Expert Member
- Jul 18, 2020
- 2,452
- 4,955
😅😅😅walevi wote wale wanavunjika miguu kwenye mitaro wanasema walikua wanafukuziwa na wasiojulikana.Jamaa yake mbowe anakuja kutulewa konyagi jukwaani chadema bana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😅😅😅walevi wote wale wanavunjika miguu kwenye mitaro wanasema walikua wanafukuziwa na wasiojulikana.Jamaa yake mbowe anakuja kutulewa konyagi jukwaani chadema bana
Kwani ni lazima awe Rais? Hapo alipofika ni high profile politician akiweza kufanikisha katiba mpya atakumbukwa na vizazi vyote ila wewe utaondoka duniani hakuna legacy umeacha zaidi ya kujificha nyuma ya keyboard.Nipo nimekaa paleeeee. Haingii ikulu hata amtoe kafara mfalme wa uingereza
Sawa kabisa. Nyie ndio mnaopaswa kupewa elimu ya mambo ya KATIBA!!Magazeti ya leo yamemnukuu Tundu Lissu akisema ugumu wa maisha hautokani na uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan bali ni unatokana na Katiba.
1. Lissu nakuuliza Kwani Katiba ndio imefungua mipaka ya nchi yetu na kuruhusu Wakenya,Wanyarwanda,Wakongomani na Warundi kumiminika hadi mashambani huko vijijini kulangua mazao? hali ilikuwaje miaka ya Magufuli?
2. Katiba ndio imeweka Tozo za miamala ya kibenki na mitandao ya simu? hali ilikuwaje miaka mitano ya Magufuli?
3. Je! Katiba ndio imesababisha wakulima kukosa mbolea na kusababisha kushuka kwa uzalishaji wa mazao?
4. Katiba ndio imesababisha umeme ukatike mara kwa mara na kusababisha uzalishaji viwandani kushuka na kupandisha bei za bidhaa?
Katiba mpya ni hitaji muhimu lakini kuna matatizo hayasababishwi na Katiba na wewe umekwepa kusema waliotufikisha hapa kwa sababu unazozijua wewe na kusingizia Katiba.
Miaka 5 ya Magufuli tulikuwa tunatumia Katiba gani wakati mchele ukiuzwa 900 hadi 1,200 na sasa tunatumia Katiba gani mchele ukiuzwa 4,000
Huo mfano upo nchi gani?Ishu sio katiba mpya tu, ishu ni usimamizi wa hio katiba. Mambo yakiendelea kama yalivyo hata zikija version mpya za katiba kila mwaka hatufiki popote.
Katiba iwe inasimamiwa na vyombo vya dola atakaekiuka anakula umeme chap.
Na wewe utaacha legacy gani? Unataka wote tukagombee ugali kama anavyogombea lissu? Alokwambia anataka legacy nani? Si angebaki anashadadia katiba mpya huko huko. Mbona aligombea 2020? Mbona alikua ana force kuwe na majimbo? Ili akipata yeye huko kwenye jimbo alilo set aweke ngome asije kutoka. Akili zake tunazijua kabla hata hajapanga.Kwani ni lazima awe Rais? Hapo alipofika ni high profile politician akiweza kufanikisha katiba mpya atakumbukwa na vizazi vyote ila wewe utaondoka duniani hakuna legacy umeacha zaidi ya kujificha nyuma ya keyboard.
ChinaHuo mfano upo nchi gani?
Nilitaka kusema kitu kama hichi sio mtazania huyu..Kwakweli wewe kujiita mtanzania unakosea sana.Hamna mtanzania mwenye akili na roho za hivi na hovyo kama hizi. Rudini kwenu mkaendeleze roho za hivi.
Ila pombe kali, hasa hizi za vichupa vidogo ni tamu sana... 😂,Ni affordable, na flexible, unaingia nayo hadi ofisini, itakua mkutanoni?😅😅😅walevi wote wale wanavunjika miguu kwenye mitaro wanasema walikua wanafukuziwa na wasiojulikana.
Haa haa haa!!
Sometimes unaweza jiona mjuaji humu kumbe ni zabaleta tu!! Sukar unaitenganishaje na mazao mengine? Zabaleta kbs ww!!We mpumbavu hakuna familia inayotenga sukari mezani kama mlo ,sukari ni kiungo kama ilivyo chumvi.
Kwa nini unaogopa Katiba Mpya? Lengo la Katiba Mpya ni kuwapa uwezo Watanzania waweke madarakani Viongozi wanaowataka bila kuibiana kura. Wewe hupendi kura yako iheshimiwe? Kwa nini unaogopa kauli ya Watanzania kuheshimiwa?Wa kurudi kwao ni huyo
Lissu asije kutuchafulia amani ya nchi yetu hapa. Yani mtu anahangaika na wazungu kutwa, wanae kawaacha nje kaja kuwasomba wapumbavu hapa. Na nyie mnaingia kingi.
Kwa hiyo we unaamini lissu anauchungu na hili taifa? Pathetic
Aliekwambia naogopa katiba mpya nani? Mnatoaga wapi speculation zenu za kipumbavu? Kuna neno katiba kwenye changizo langu?Kwa nini unaogopa Katiba Mpya? Lengo la Katiba Mpya ni kuwapa uwezo Watanzania waweke madarakani Viongozi wanaowataka bila kuibiana kura. Wewe hupendi kura yako iheshimiwe? Kwa nini unaogopa kauli ya Watanzania kuheshimiwa?
Matusi ni lugha ya mtu asiyejua uungwana.Aliekwambia naogopa katiba mpya nani? Mnatoaga wapi speculation zenu za kipumbavu? Kuna neno katiba kwenye changizo langu?
Hata kwenye Biblia mpumbavu ameandikwa. Muwe mna soma na kuelewa kabla hujamtag mtuMatusi ni lugha ya mtu asiyejua uungwana.
Ni aibu kubwa kwa mwanaJF, tena aliyefikia kiwango cha "Expert Member"
Lissu ndio arudi kwao Belgium 🇧🇪Kwakweli wewe kujiita mtanzania unakosea sana.Hamna mtanzania mwenye akili na roho za hivi na hovyo kama hizi. Rudini kwenu mkaendeleze roho za hivi.
Hao wengine kwa nini usiwe mmojawao?Umebana mkia unachezea simu.Waseme wengine. Lile lipumbavu limeangukia pua. Soon utaliskia vyuma vimetatuka linatakiwa lirudi kutibiwa ndo imetoka. Kaja kudai hela zake mbona kasema
Amelifanyia nini hili taifa labda mambo ambayo ameyafanya niHii ni roho ya mtu ...naweza kusema wewe ndiye mwenye lengo baya na Taifa letu kuliko ata huyo unaemfikiria hivyo. Kwanza kauli zako zinaonyesha wewe sio mtu mwema kabisa. Ungekua mtu mwema tusingeona kauli kama hizi hapa. Kwanza MH.Lissu ni moja ya watanzania ambao wamejaribu kulifanyia Taifa ili kuliko ata wewe usie ata julikana.
Nakubaliana na wewe Katiba siyo chanzo cha ugumu wa maisha bali matatizo ni mengi ikiwemo juhudi binafsi za Wananchi katika shughuli zao za kila siku.Magazeti ya leo yamemnukuu Tundu Lissu akisema ugumu wa maisha hautokani na uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan bali ni unatokana na Katiba.