Napingana na Tundu Lissu kuwa ugumu wa maisha umesababishwa na Katiba

Napingana na Tundu Lissu kuwa ugumu wa maisha umesababishwa na Katiba

Nipo nimekaa paleeeee. Haingii ikulu hata amtoe kafara mfalme wa uingereza
Kwani ni lazima awe Rais? Hapo alipofika ni high profile politician akiweza kufanikisha katiba mpya atakumbukwa na vizazi vyote ila wewe utaondoka duniani hakuna legacy umeacha zaidi ya kujificha nyuma ya keyboard.
 
Magazeti ya leo yamemnukuu Tundu Lissu akisema ugumu wa maisha hautokani na uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan bali ni unatokana na Katiba.

1. Lissu nakuuliza Kwani Katiba ndio imefungua mipaka ya nchi yetu na kuruhusu Wakenya,Wanyarwanda,Wakongomani na Warundi kumiminika hadi mashambani huko vijijini kulangua mazao? hali ilikuwaje miaka ya Magufuli?

2. Katiba ndio imeweka Tozo za miamala ya kibenki na mitandao ya simu? hali ilikuwaje miaka mitano ya Magufuli?

3. Je! Katiba ndio imesababisha wakulima kukosa mbolea na kusababisha kushuka kwa uzalishaji wa mazao?

4. Katiba ndio imesababisha umeme ukatike mara kwa mara na kusababisha uzalishaji viwandani kushuka na kupandisha bei za bidhaa?

Katiba mpya ni hitaji muhimu lakini kuna matatizo hayasababishwi na Katiba na wewe umekwepa kusema waliotufikisha hapa kwa sababu unazozijua wewe na kusingizia Katiba.

Miaka 5 ya Magufuli tulikuwa tunatumia Katiba gani wakati mchele ukiuzwa 900 hadi 1,200 na sasa tunatumia Katiba gani mchele ukiuzwa 4,000
Sawa kabisa. Nyie ndio mnaopaswa kupewa elimu ya mambo ya KATIBA!!

By the way, wewe ni binadamu. Na shida yako kama binadamu ni kwa kuwa tu HUNA UFAHAMU ama UELEWA wa haya mambo..

Kwanza wewe saidoo25, yeyote mwenye akili anaweza kuku - describe kama hivi;

MOSI, kwa mawazo yako haya tu, ni dhahiri shahiri hujui hata maana ya KATIBA NI NINI..

PILI, pia ni dhahiri shahiri hujui kabisa ni Kwa namna gani katiba ya nchi yoyote iko connected direct na maisha ya watu ya Kila siku kiuchumi, kisiasa, kiutamaduni na kijamii kwa ujumla wake..

Kwa hiyo, si kosa hata kidogo kusema, wewe u - mjinga na unatakiwa kusaidiwa ili kuondoa huo ujinga wako. Yaani wewe ni miongoni wanaostahili kupata elimu ya KATIBA..

Swali dogo na rahisi linaloweza kukusaidia kufungua ufahamu wako ni hili;

Kwamba, kama hayo yote hayasababishwi na ubovu wa katiba ambayo huzaa mfumo wa utawala, siasa na uchumi wa nchi, kumbe yanasababishwa na nini sasa..??

HEBU NENDA MBELE ZAIDI, JIBU SWALI HILI KWA UMAKINI HUKU UKITUMIA AKILI YAKO VYEMA KUFIKIRIA KABLA YA KUANDIKA
 
Ishu sio katiba mpya tu, ishu ni usimamizi wa hio katiba. Mambo yakiendelea kama yalivyo hata zikija version mpya za katiba kila mwaka hatufiki popote.

Katiba iwe inasimamiwa na vyombo vya dola atakaekiuka anakula umeme chap.
Huo mfano upo nchi gani?
 
Kwani ni lazima awe Rais? Hapo alipofika ni high profile politician akiweza kufanikisha katiba mpya atakumbukwa na vizazi vyote ila wewe utaondoka duniani hakuna legacy umeacha zaidi ya kujificha nyuma ya keyboard.
Na wewe utaacha legacy gani? Unataka wote tukagombee ugali kama anavyogombea lissu? Alokwambia anataka legacy nani? Si angebaki anashadadia katiba mpya huko huko. Mbona aligombea 2020? Mbona alikua ana force kuwe na majimbo? Ili akipata yeye huko kwenye jimbo alilo set aweke ngome asije kutoka. Akili zake tunazijua kabla hata hajapanga.

Akajipange upyaaa
 
Kwakweli wewe kujiita mtanzania unakosea sana.Hamna mtanzania mwenye akili na roho za hivi na hovyo kama hizi. Rudini kwenu mkaendeleze roho za hivi.
Nilitaka kusema kitu kama hichi sio mtazania huyu..
 
😅😅😅walevi wote wale wanavunjika miguu kwenye mitaro wanasema walikua wanafukuziwa na wasiojulikana.
Ila pombe kali, hasa hizi za vichupa vidogo ni tamu sana... 😂,Ni affordable, na flexible, unaingia nayo hadi ofisini, itakua mkutanoni?
 
Katiba mpya ni sasa
Capture-Uvuvi.PNG

Uongozi.jpg
 
We mpumbavu hakuna familia inayotenga sukari mezani kama mlo ,sukari ni kiungo kama ilivyo chumvi.
Sometimes unaweza jiona mjuaji humu kumbe ni zabaleta tu!! Sukar unaitenganishaje na mazao mengine? Zabaleta kbs ww!!
 
Wa kurudi kwao ni huyo
Lissu asije kutuchafulia amani ya nchi yetu hapa. Yani mtu anahangaika na wazungu kutwa, wanae kawaacha nje kaja kuwasomba wapumbavu hapa. Na nyie mnaingia kingi.

Kwa hiyo we unaamini lissu anauchungu na hili taifa? Pathetic
Kwa nini unaogopa Katiba Mpya? Lengo la Katiba Mpya ni kuwapa uwezo Watanzania waweke madarakani Viongozi wanaowataka bila kuibiana kura. Wewe hupendi kura yako iheshimiwe? Kwa nini unaogopa kauli ya Watanzania kuheshimiwa?
 
Aliekwambia naogopa katiba mpya nani? Mnatoaga wapi speculation zenu za kipumbavu? Kuna neno katiba kwenye changizo langu?
 
Kitu kinachofanya n Mimi nitamani katiba mpya..ni jinsi ya kuwajibishana...selikalini

Yaani toka napata ufahamu nikiwa mdgo ..kila report ya C.A.G ikitoka..watu wamekula pesa ...... Jinsi ya kuwajibishana ni kusimamishwa kupisha uchunguzi...

Hiki kitu kinaniuma sana ..kwy halmashauri zetu pesa nyingi zinapigwa..hkun htua zinazo chukuliwa...

Pengine katiba mpya itakuj kupunguza hii mizizi
 
Kwakweli wewe kujiita mtanzania unakosea sana.Hamna mtanzania mwenye akili na roho za hivi na hovyo kama hizi. Rudini kwenu mkaendeleze roho za hivi.
Lissu ndio arudi kwao Belgium 🇧🇪
 
Hii ni roho ya mtu ...naweza kusema wewe ndiye mwenye lengo baya na Taifa letu kuliko ata huyo unaemfikiria hivyo. Kwanza kauli zako zinaonyesha wewe sio mtu mwema kabisa. Ungekua mtu mwema tusingeona kauli kama hizi hapa. Kwanza MH.Lissu ni moja ya watanzania ambao wamejaribu kulifanyia Taifa ili kuliko ata wewe usie ata julikana.
Amelifanyia nini hili taifa labda mambo ambayo ameyafanya ni
Kuwasaidia Acacia kuishtaki Tanzania Acacia waliokuwa wanatuibia dhahabu zetu wanabeba hadi mchanga.Lissu alishupalia walipwe ndio wafukuzwe.
Kufurahia pale ndege za Tanzania ziliposhikiliwa na wazungu kisa madeni
Kuishtaki jamhuri ya Tanzania kwa ndugu zake wazungu. Lissu ni kati yatu wanafiki sana na ni wakala wa hao wazungu ndio maana anarudi wakati wa uchaguzi tu na hata familia yake ameihamishia ulaya baada ya uchaguzi anarudi kwao ulaya.
 
Magazeti ya leo yamemnukuu Tundu Lissu akisema ugumu wa maisha hautokani na uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan bali ni unatokana na Katiba.

1. Lissu nakuuliza Kwani Katiba ndio imefungua mipaka ya nchi yetu na kuruhusu Wakenya,Wanyarwanda,Wakongomani na Warundi kumiminika hadi mashambani huko vijijini kulangua mazao? hali ilikuwaje miaka ya Magufuli?

2. Katiba ndio imeweka Tozo za miamala ya kibenki na mitandao ya simu? hali ilikuwaje miaka mitano ya Magufuli?

3. Je! Katiba ndio imesababisha wakulima kukosa mbolea na kusababisha kushuka kwa uzalishaji wa mazao?

4. Katiba ndio imesababisha umeme ukatike mara kwa mara na kusababisha uzalishaji viwandani kushuka na kupandisha bei za bidhaa?

Katiba mpya ni hitaji muhimu lakini kuna matatizo hayasababishwi na Katiba na wewe umekwepa kusema waliotufikisha hapa kwa sababu unazozijua wewe na kusingizia Katiba.

Miaka 5 ya Magufuli tulikuwa tunatumia Katiba gani wakati mchele ukiuzwa 900 hadi 1,200 na sasa tunatumia Katiba gani mchele ukiuzwa 4,000
Nakubaliana na wewe Katiba siyo chanzo cha ugumu wa maisha bali matatizo ni mengi ikiwemo juhudi binafsi za Wananchi katika shughuli zao za kila siku.
 
Back
Top Bottom