Au aliambiwa umemtoa mtoto kafaraYaani inasikitisha na inahitaji uvumilivu,Tumeowana kama miaka 20 iliyopita tuna mtoto mmoja na mmoja alifariki.
Kama miaka 4 iliyopita hivi ndivyo mwenzangu alipoanza kupitia changamoto za kuchanganyikiwa, anaweza akaazisha zogo bila sababu kunituhumu namroga au mimi malaya,kila mtu kwake ni mchawi,yaani yeye ni mtu wa kulalamika tu, tuachane nimpe taraka na mambo chungu nzima
Anaweza anzisha zogo sehemu yoyote ile iwe kwenye gari sokoni au sehemu yoyote ile
Kwa kweli inahitaji moyo ukitegemea wakati namuowa alikuwa vizuri tu
Ana mtoto mmoja tu wa miaka 18Jua hiloo mkuu ilimradi anakuzalia hanywi dawa basi lea watoto wako ukiingia ulizia watoto wako woi ukihitaji kubarikiwa anza na wazazi , ndugu , watoto wako . Basi .... mana mwanadamu ambaye hata hamjazaliwa naye ningumu kuweka asilimia 100 kumwamini
Hapana na wala hakuwai zungumzia hiloAu aliambiwa umemtoa mtoto kafara
Pole sana. na wakati mgumu kweli kweli. Lakini hata mimi sishauri umwache. Usiishie kwenda hospital moja au kwa dr mmoja. Zunguka usichoke. Kama upo Tanzania ndiyo inakuwa tena ngumu zaidi kwa sababu hospital nyingi magonjwa kama haya hayana madaktari wazuri.Kipato kipo vizuri tu,ila inaitaji moyo sana,mfano anaweza kukuchenjia ndani ya basi akakunyan'ganya simu kukutuhumu unachati na wanawake na likawa zogo kubwa, au mko nyumbani ukachelewa kurudi sababu ya mihangaiko akaanzisha zogo,kuna wakati kama binadamu huwa najikuta nashindwa kuvumilia,
Siyo wote. Najua idadi nzuri tu ya wanawake ambao wamesimama kidete na waume zao walipougua.Mbona wanawake huwa wanawakimbia wanaume pindi wakiingia kwenye changamoto??
Na mimi ni mganga mashuhuri wa kienyeji huku Kwa Msisi Tanga! Akitokea kijana akakumendea, namgeuza msukule mara moja. Sitaki utani hata kidogo. Na kama huamini, jiulize holoholo yuko wapi!
ETi kaenda wapi ??? NijuzeeeNa mimi ni mganga mashuhuri wa kienyeji huku Kwa Msisi Tanga! Akitokea kijana akakumendea, namgeuza msukule mara moja. Sitaki utani hata kidogo. Na kama huamini, jiulize holoholo yuko wapi!
Wah sasa umeoa mke mwingine au unaishijeAna mtoto mmoja tu wa miaka 18
Kitambo sana nimeshamchukua msukule. Na kwa hasira huwa ninamlimisha masaa 24 huku akishindia unga wa mahindi uliochanganywa na maji.ETi kaenda wapi ??? Nijuzeee
Ksbla hajaend kuwa msukule alianza kuchizika sikuwa na mwelewaKitambo sana nimeshamchukua msukule. Na kwa hasira huwa ninamlimisha masaa 24 huku akishindia unga wa mahindi uliochanganywa na maji.
Anakwenda makanisa yetu yale?Yaani inasikitisha na inahitaji uvumilivu,Tumeowana kama miaka 20 iliyopita tuna mtoto mmoja na mmoja alifariki.
Kama miaka 4 iliyopita hivi ndivyo mwenzangu alipoanza kupitia changamoto za kuchanganyikiwa, anaweza akaazisha zogo bila sababu kunituhumu namroga au mimi malaya,kila mtu kwake ni mchawi,yaani yeye ni mtu wa kulalamika tu, tuachane nimpe taraka na mambo chungu nzima
Anaweza anzisha zogo sehemu yoyote ile iwe kwenye gari sokoni au sehemu yoyote ile
Kwa kweli inahitaji moyo ukitegemea wakati namuowa alikuwa vizuri tu
Menopause inampa uchizi dadaPole sana mkuu.....kuhusu kurogwa inawezekana mkeo ana paranoid thoughts mpeleke hospitali hata pale mloganzila wana kitengo cha psychiatry nenda kapate msaada...
Kuhusu kuanzisha zogo na kukutuhumu unachat na wanawake wengine...mkeo ana insecurities, ushawahi kumcheat before??Epuka vitu/mazingira yote yanayoweza kumfanya suspicious....more importantly anahitaji reassuring...
Je akianzisha zogo wewe unaonyesha kuogopa? Don't feed her character..akianzisha zogo next time usionyeshhe kuwa intimidated wala usiwe aggressive subiri akitulia uongee nae firmly kuwa hupendi anachofanya, nini kinasababisha awe hivyo muulize na jinsi anavyodhani unaweza kumsaidia asirudie??? Take a note ..this is if she is mentally capable na anafanya makusudi...
Mwisho avoid vitu vote vinavyom trigger jaribu kuanzia sasa kuobserve hizo outbursts kama kuna patterns, ukishamsoma utajua kumkwepa...
Nimeandika kwenye comment hapo kuwa ,huenda ni menopause imemjia vibaya. Bahati mbaya hilo suala haliongelewi au halina wataalam wa kutosha kudeal nalo.Menopause inampa uchizi dada
Sijaoa, bado niko na huyu mke wangu,yaani siyo kwamba mda wote kachanganyikiwa hapana mda mwingi anakuwa vizuri tu na anasimamia majukumu yake kama mke,lakini ndiyo hivyo kuna wakati anabadilika yaani anaweza anzisha zogo bila sababuWah sasa umeoa mke mwingine au unaishije
yeah huo ugonjwa anatakiwa kutumia muda vizuri kwa mfano kama anaanza kumpeleka hospitali anatakiwa ahesabu muda vizuri yaani ndani ya miezi 3 hadi 6 awe ameshaanza kuona matokeo na dalili za mgonjwa kupata nafuu kutokana na dawa anazotumia,ukiona hii miezi yote ya tiba bado yuko vilevile jiongeze utafute njia mbadala hapa inabidi utumie skili yako maana hakuna atakayekwambia,daktari atafanya kazi yake aliyotumwa vitu vingine yeye havimuhusu na hatokwambia.Pole sana. na wakati mgumu kweli kweli. Lakini hata mimi sishauri umwache. Usiishie kwenda hospital moja au kwa dr mmoja. Zunguka usichoke. Kama upo Tanzania ndiyo inakuwa tena ngumu zaidi kwa sababu hospital nyingi magonjwa kama haya hayana madaktari wazuri.