Rorscharch
JF-Expert Member
- Jul 22, 2013
- 1,435
- 3,120
Swali la kujiuliza ni kwamba if the roles were reversed huyo mwanamke angemvumilia mshikaji?Mpe upendo mwenzio. Utamuumiza sana ukimuacha. Huyo anakupenda ila anahitaji msaada wa kisaikolojia. Msaidie mwenzio,
be a man and hold that inconveniences with dignity and patience as a man, don't be like a boy to run away from disturbances
Hakuna atakayeishi milele usiogope mambo ya dunia hata kama kuna mtu anakutesa hawezi kukutesa kwa miaka mia,naye hawezi kuishi miaka miaKuwa makini hiyo hali isije kuhamia kwako, ikiwa ni adui anafanya hivyo, chunguza mapema, ujue chanzo cha tatizo ni nini.
Ikiwa ametupiwa pepo, fanya uchunguzi ujue chanzo ni nini.
Kaka apa unaibiwa hivyo anajaribu kujikinga kwa kuiuwekea tuhuma ili usielewe chochote kumuhusu izi mmbo zishapitwa na wakatiYaani inasikitisha na inahitaji uvumilivu,Tumeowana kama miaka 20 iliyopita tuna mtoto mmoja na mmoja alifariki.
Kama miaka 4 iliyopita hivi ndivyo mwenzangu alipoanza kupitia changamoto za kuchanganyikiwa, anaweza akaazisha zogo bila sababu kunituhumu namroga au mimi malaya,kila mtu kwake ni mchawi,yaani yeye ni mtu wa kulalamika tu, tuachane nimpe taraka na mambo chungu nzima
Anaweza anzisha zogo sehemu yoyote ile iwe kwenye gari sokoni au sehemu yoyote ile
Kwa kweli inahitaji moyo ukitegemea wakati namuowa alikuwa vizuri tu
Ni kweli mkuu, natumai hata wewe si uoga umekuleta hapa bali ni kutafuta suluhisho.Hakuna atakayeishi milele usiogope mambo ya dunia hata kama kuna mtu anakutesa hawezi kukutesa kwa miaka mia,naye hawezi kuishi miaka mia
Asante. Post #45 nimeongea kidogo kuhusu habari za kuombewa.Kwa kifupi sana ndoa yako imekumbwa na pepo la mafarakano.
Pepo hili hufanya kazi kwa kuangalia line of weakness kwa mmoja wa wanandoa na linaingia hapo. In this case mkeo amekuwa weak spiritual na limetua hapo.
Mwenye nafasi ya kuokoa hii ndoa na kumsaidia mkeo ni wewe mwenyewe. Sikushauri habari za kwenda kuombewa, rather nakushauri uombe mwenyewe. Kuna tofauti kubwa kwenye kuombewa na kuomba mwenyewe.
Mimi nahisi ni ubongo tu hauko vizuri,sababu haya yanaambatana na kupoteza kumbukumbu maana kunawakati anaweza kupasahau hata nyumbani tunapoishi,niliwahi kumpeleka Mloganzira wakaseme kuna mishipa ya umeme kwenye ubongo imeachia nazani watalamu watakuwa wanajua vizuri
I doupt that, tiba asili ni yale yale tuKanisani huko watamchanganya kabisaaa mi nadhani ampeleke kwao ili tiba zikatafutiwe huko.
Kwani akili ni nini?Kwanini wafrika tunapenda waza waswala ya Imani imani(Dini au waganga) wakati hilo swala liko wazi ni matatizo ya akili .
Huo muda anahangaika na wachungaji ambao hawatamsaidia kitu angetakiwa ahangaike na hospitali za akili aweze tatuliwa changamoto yake.
Tatizo mtu anakuwa na tatizo la akili(ukichaa) hatupendi kukubali tunaamini linatibika tuu kawaida kumbe hapana.
Mtu akiambiwa mpeleke mgonjwa MIREMBE anahisi kama anamdhalilisha mgonjwa kumbe ndo sehemu sahihi.
umesema vizuri mkuu naunga hoja mkonoHuu uzi kuna namna mods wasaidie kuuweka vizuri na kupin 📌. Wanaume wengi tunapitia hizi changamoto ndani ya ndoa ila tunakomaa nazo.
Naamini hapa kuna watu wazoefu wanaweza kutoa ushauri mzuri ili kuokoa hili janga wanaume mtetezi wetu ni sisi wenyewe hakunaga akiwezeswa anaweza.
Mimi nimekumbana na ishu za kufanana na hizo hadi wife na familia ikawa kama isolated na jamii since 2021. Ila nashukuru Mungu mambo yanaenda yanapungua.
Kitu nilichojifunza na kukiona haya mambo yanaanzia kwenye koo zetu na huko makanisani then yakilipuka unajichanganya unaenda kule kule kanisani walau zamani makanisani walikuwa na saikolojia nzuri siku hizi na ni wachochezi, pia usiende kwa waganga watahitaji pesa.
Jaribu kuchunguza uhusiano wa ukoo pande zote kwako na kwake. Swala la hela najua linaweza lisiwe tatizo kabisa maana unaweza kumuachia hata milioni kila wiki na asijue kitu cha msingi cha kufanya utapoteza hela kinoma.
Pia usiache kutafuta muda wa kupumzika na mkeo, tafuta maeneo tulivu muongee na kufanya reflection ya maisha yenu mkiwa wawili tu, na sehemu tofauti na nyumbani kabisa. Hospitali za matatizo ya akili wanaweza ila sina uzoefu kwenye hilo.
Wangu hadi sasa amerudi kanisani kwake Catholic anasema KKKT wachawi, japo najua ipo siku atarudi tu maana anamjua Mungu kweli kweli anasali balaa hata mimi sifui dafu. Kuna mambo nataka nifanye trial ikiwa ni pamoja na kushift makazi kureset almost everything kwenye mfumo wa social capital.
Kuna mambo anashindwa kuyachakata, hayana majibu. Akishaanza kuona mapichapicha anavurugikiwa maana hayana majibu.Yaani inasikitisha na inahitaji uvumilivu,Tumeowana kama miaka 20 iliyopita tuna mtoto mmoja na mmoja alifariki.
Kama miaka 4 iliyopita hivi ndivyo mwenzangu alipoanza kupitia changamoto za kuchanganyikiwa, anaweza akaazisha zogo bila sababu kunituhumu namroga au mimi malaya,kila mtu kwake ni mchawi,yaani yeye ni mtu wa kulalamika tu, tuachane nimpe taraka na mambo chungu nzima
Anaweza anzisha zogo sehemu yoyote ile iwe kwenye gari sokoni au sehemu yoyote ile
Kwa kweli inahitaji moyo ukitegemea wakati namuowa alikuwa vizuri tu
Pole sana..Kwenye shinda na raha.. sasa hapo ndio kipindi cha shida sasa..Yaani inasikitisha na inahitaji uvumilivu,Tumeowana kama miaka 20 iliyopita tuna mtoto mmoja na mmoja alifariki.
Kama miaka 4 iliyopita hivi ndivyo mwenzangu alipoanza kupitia changamoto za kuchanganyikiwa, anaweza akaazisha zogo bila sababu kunituhumu namroga au mimi malaya,kila mtu kwake ni mchawi,yaani yeye ni mtu wa kulalamika tu, tuachane nimpe taraka na mambo chungu nzima
Anaweza anzisha zogo sehemu yoyote ile iwe kwenye gari sokoni au sehemu yoyote ile
Kwa kweli inahitaji moyo ukitegemea wakati namuowa alikuwa vizuri tu
Swali la kujiuliza ni kwamba if the roles were reversed huyo mwanamke angemvumilia mshikaji?
Hapo anapokaa na mumewe ndo kwao. Au unataka ampeleke kwa Ndugulile zake?Kama nakuona namna unavyoisha mwili....Bora kununa kuliko kelele....yaan ni hatari kwa afya.
Huyo mrudishe home kwao atibiwe au msihi aache kwenda kwa waganga
Yaani ilianza kama utani familia yake ikaniambia nimpeleke kwa waganga,kutokana na imani yangu nikawakatalia,baadaye nikampeleka kwa dada yake maana hana baba wala mama,kibao kikanigeukia wakasema mganga kasema mimi ndiye ninayemloga, sijawahi kuloga hata kuku, mimi ni mfanyabiashara shughuli zangu nategemea ubunifu na akili yangu aliyonipa Mwenyezi Mungu,kaka zake wakaingilia kati ndiyo wakampeleka mloganzira,maana mimi siishi Tanzania,Huu uzi kuna namna mods wasaidie kuuweka vizuri na kupin 📌. Wanaume wengi tunapitia hizi changamoto ndani ya ndoa ila tunakomaa nazo.