Napitia changamoto kubwa, mke wangu anachanganyikiwa!

Napitia changamoto kubwa, mke wangu anachanganyikiwa!

Umeandika vema kaka na hayo unayosema almost yote yalinikuta jambo la kwanza push sanaa umfanye akuamini wewe kuliko kuamini hao ndugu zake hasa wale wachonganishi mimi pia wife alilelewa na ndugu hana wazazi wewe ndo unatakiwa uwe muhimili mkuu japo distance yenu itakuwa anadisturb mipango vip unaweza kumchukua kwenda naye huko nchi nyingine hata wiki au mwez? If possible kaanaye huko muongee vizur.
Tuko naye wote
 
Yaani inasikitisha na inahitaji uvumilivu,Tumeowana kama miaka 20 iliyopita tuna mtoto mmoja na mmoja alifariki.

Kama miaka 4 iliyopita hivi ndivyo mwenzangu alipoanza kupitia changamoto za kuchanganyikiwa, anaweza akaazisha zogo bila sababu kunituhumu namroga au mimi malaya,kila mtu kwake ni mchawi,yaani yeye ni mtu wa kulalamika tu, tuachane nimpe taraka na mambo chungu nzima
Anaweza anzisha zogo sehemu yoyote ile iwe kwenye gari sokoni au sehemu yoyote ile
Kwa kweli inahitaji moyo ukitegemea wakati namuowa alikuwa vizuri tu
Pole ndugu.
Wataalamu wa afya ya akili na magonjwa yanayo landana na hilo umesha onana nao?
 
Yaani inasikitisha na inahitaji uvumilivu,Tumeowana kama miaka 20 iliyopita tuna mtoto mmoja na mmoja alifariki.

Kama miaka 4 iliyopita hivi ndivyo mwenzangu alipoanza kupitia changamoto za kuchanganyikiwa, anaweza akaazisha zogo bila sababu kunituhumu namroga au mimi malaya,kila mtu kwake ni mchawi,yaani yeye ni mtu wa kulalamika tu, tuachane nimpe taraka na mambo chungu nzima
Anaweza anzisha zogo sehemu yoyote ile iwe kwenye gari sokoni au sehemu yoyote ile
Kwa kweli inahitaji moyo ukitegemea wakati namuowa alikuwa vizuri tu
Mkuu kwanini umesema anachanganyikiwa? Kwenye uzi wako hujaonesha kama ana dalili za kuchanganyikiwa. Kukutuhumu umalaya, kumtuhumu kila mtu mchawi, kudai talaka, kuanzisha timbwili pasi na kujali mpo wapi hizo sio dalili za kuchanganyikiwa, unless useme viashiria vingine. Hivyo viashiria mbona wanawake wengi sana wanavyo mkuu? Mkuu kwa ulivyovisema, mkeo ni mzima ila tu anataka talaka, labda useme kiashiria kingine sio hivyo ulivyovitaja.
 
Kama nakuona namna unavyoisha mwili....Bora kununa kuliko kelele....yaan ni hatari kwa afya.
Huyo mrudishe home kwao atibiwe au msihi aache kwenda kwa waganga
Kwa dalili alizozitaja mtoa mada, mkewe ni mzima wal hajaanza kuchanganyikiwa. Labda kuna dalili zingine ambazo hajazisema hapa. Na kama ni kweli anachanganyikiwa, kama mume haipaswi kumrudisha kwao. Hilo ni tatizo lao wote, anatakiwa awe nae kuhakikisha anapona.
 
Kama ni mzima basi akomae nae,huenda yeye ndiyo sababu ya mkewe kuwa hivyo
 
Hiyo kufiwa na mtoto inatuumiza sana wanawake na hasa ikitokea akamkumbuka mtoto au kuona mtoto wa rika lake, pengine akiona umefanya kitu kiubinadamu anakuona km wewe ndo umechangia shida zake,, anapata mvurugiko, anakumwagia hasira zake,

japo mood swing ni jambo ambalo hutokea kwa wanawake wengi, mfano period, mimba, menopause na ovulation kidoogo, pia tusiporidhika katika tendo la ndoa hutuletea kisirani
 
Kama ni mzima basi akomae nae,huenda yeye ndiyo sababu ya mkewe kuwa hivyo
Kwa dalili alilozisema, natamani kumwambia mtoa uzi kuwa huenda yeye ndio anachanganyikiwa kwa kuto kujua tabia za wanawake. Kama hizo ni dalili za mwanamke kuchanganyikiwa, basi kuna watu wengi sana wameoa machizi na wanaishi nao. Wanawake wa dunia ya leo anaweza kurupua jambo hadi ukamshangaa, hili nalo limetoka wapi
 
Back
Top Bottom