Napitia changamoto kubwa, mke wangu anachanganyikiwa!

Kwa dalili alilozisema, natamani kumwambia mtoa uzi kuwa huenda yeye ndio anachanganyikiwa kwa kuto kujua tabia za wanawake. Kama hizo ni dalili za mwanamke kuchanganyikiwa, basi kuna watu wengi sana wameoa machizi na wanaishi nao. Wanawake wa dunia ya leo anaweza kurupua jambo hadi ukamshangaa, hili nalo limetoka wapi
🤣🤣🤣🤣 Afu ni kama ndivyo tulivyo
 
Yaani inasikitisha na inahitaji uvumilivu,Tumeowana kama miaka 20 iliyopita tuna mtoto mmoja na mmoja alifariki.

Kama miaka 4 iliyopita hivi ndivyo mwenzangu alipoanza kupitia changamoto za kuchanganyikiwa, anaweza akaazisha zogo bila sababu kunituhumu namroga au mimi malaya,kila mtu kwake ni mchawi,yaani yeye ni mtu wa kulalamika tu, tuachane nimpe taraka na mambo chungu nzima
Anaweza anzisha zogo sehemu yoyote ile iwe kwenye gari sokoni au sehemu yoyote ile
Kwa kweli inahitaji moyo ukitegemea wakati namuowa alikuwa vizuri tu
Mpeleke kwao.kama mwaka hivi Utanishukuru baadae
 
Kuna uwezekano mkubwa michepuko inamdhuru mkeo
 
Siyo kila mtu anakwao,wazazi walitoka mikoani wakahamia Dar wakawazalia wanao na kuwajengea mji, Wazazi wote wakafariki,penye mji pakauzwa na serikali kama vile kurasini kila mtu akachukua chake
Kuna uwezekano mkubwa michepuko inamdhuru mkeo
Yawezekana,lakini nina mwaka sijawahi kuwa na mchepuko
 
Yaani inasikitisha na inahitaji uvumilivu,Tumeowana kama miaka 20 iliyopita tuna mtoto mmoja na mmoja alifariki.

Kama miaka 4 iliyopita hivi ndivyo mwenzangu alipoanza kupitia changamoto za kuchanganyikiwa, anaweza akaazisha zogo bila sababu kunituhumu namroga au mimi malaya,kila mtu kwake ni mchawi,yaani yeye ni mtu wa kulalamika tu, tuachane nimpe taraka na mambo chungu nzima
Anaweza anzisha zogo sehemu yoyote ile iwe kwenye gari sokoni au sehemu yoyote ile
Kwa kweli inahitaji moyo ukitegemea wakati namuowa alikuwa vizuri tu
Ukiona mtu anachanganyikiwa kuna vitu vinamchanganya.

Kuna mawazo (hisia) karuhusu na pia kashindwa kuyapatia majibu. Yanajirudiarudia kila mara mwisho yanamtawala na kumwongoza anajikuta anaripuka bila kujua nini anafanya.

Mawazo hayo yaweza kuwa ni sababu ya jamii inayomzungumka kaipa nguvu inampa mawazo yaliyo juu ya uwezo wake kuhimili, au hata watu wa giza wametumia teknolojia yao. Lakini hawa watu ni mpaka uwape idhini, pale utakapokuwa na hofu juu yao umewafingulia mlango.

Ndio maana anahitaji kuondoka eneo husika, ajitenge na jamii akakae eneo tulivyo aweze kutuliza mawazo. Mawazo yakitulia ametulia.
 
Kuna jamaa huku jirani kwetu nae anapitia hali kama hyo ana watoto watano wakubwa tu

Ila yeye mkewe hana zogo ila ana mtuhumu jamaa anamroga,kuna wakat watoto wote na mama yao huondoka na kumuacha jamaa peke yake

jamiii yoyote yenye imani kali juu ya mambo ya kiroho huwa ina matatizo

maana makanisani mahubiri yamejaa stori za kurogwa na stori shetani. na wakienda kwa mganga napo wanajazwa ujinga wa kurogwa na majini

hivyo wanaamini ni kweli
 
Tumeenda mpaka kwa viongozi wa dini hamna kitu,
Kiongozi wa dini na nguvu ya kiroho ya kuondoa hizo changamoto ni vitu viwili tofauti, kama hiyo shida ni ya kiimani zaidi kaeni kanisani sana, aombewe sana kanisani achana na kununua vifaa vya kiroho
 
Kama nakuona namna unavyoisha mwili....Bora kununa kuliko kelele....yaan ni hatari kwa afya.
Huyo mrudishe home kwao atibiwe au msihi aache kwenda kwa waganga
Yaani mtu akipata tatizo la kiafya anarudishwa kwao, hivi mnaoshauri watu wanaoleta changamoto katika ndoa zao huwa mnajua ndoa ni nini
 
Yaani inasikitisha na inahitaji uvumilivu,Tumeowana kama miaka 20 iliyopita tuna mtoto mmoja na mmoja alifariki.

Kama miaka 4 iliyopita hivi ndivyo mwenzangu alipoanza kupitia changamoto za kuchanganyikiwa, anaweza akaazisha zogo bila sababu kunituhumu namroga au mimi malaya,kila mtu kwake ni mchawi,yaani yeye ni mtu wa kulalamika tu, tuachane nimpe taraka na mambo chungu nzima
Anaweza anzisha zogo sehemu yoyote ile iwe kwenye gari sokoni au sehemu yoyote ile
Kwa kweli inahitaji moyo ukitegemea wakati namuowa alikuwa vizuri tu
Lako ni lako Tu Hadi pale litakapoondoka
 
Wakati mwingine ni pre au menopause signs. Ikikujia vibaya unweza kuwa mwehu. Inabidi pia atafute wataalamu wa magonjwa ya hormones ili aweze kupata tiba sahihi.
 
Back
Top Bottom