The mission 2017
JF-Expert Member
- Aug 14, 2017
- 6,498
- 14,946
Mrudishe kwao mkuuKipato kipo vizuri tu,ila inaitaji moyo sana,mfano anaweza kukuchenjia ndani ya basi akakunyan'ganya simu kukutuhumu unachati na wanawake na likawa zogo kubwa, au mko nyumbani ukachelewa kurudi sababu ya mihangaiko akaanzisha zogo,kuna wakati kama binadamu huwa najikuta nashindwa kuvumilia,
Atakuja kukuzuru au kuzuru watoto au kujizuru ndo akili ikukae