Napitia changamoto kubwa, mke wangu anachanganyikiwa!

Yaani inasikitisha na inahitaji uvumilivu,Tumeowana kama miaka 20 iliyopita tuna mtoto mmoja na mmoja alifariki.

Kama miaka 4 iliyopita hivi ndivyo mwenzangu alipoanza kupitia changamoto za kuchanganyikiwa, anaweza akaazisha zogo bila sababu kunituhumu namroga au mimi malaya,kila mtu kwake ni mchawi,yaani yeye ni mtu wa kulalamika tu, tuachane nimpe taraka na mambo chungu nzima
Anaweza anzisha zogo sehemu yoyote ile iwe kwenye gari sokoni au sehemu yoyote ile
Kwa kweli inahitaji moyo ukitegemea wakati namuowa alikuwa vizuri tu
Wakati mwingine sio yeye ni mapepo ndio yanamfanya kuwa hivyo,muombee au mpeleke kwenye maombi,usipoangalia iko siku mtakuja kupata ajali...
 
Hiyo kufiwa na mtoto inatuumiza sana wanawake na hasa ikitokea akamkumbuka mtoto au kuona mtoto wa rika lake, pengine akiona umefanya kitu kiubinadamu anakuona km wewe ndo umechangia shida zake,, anapata mvurugiko, anakumwagia hasira zake,

japo mood swing ni jambo ambalo hutokea kwa wanawake wengi, mfano period, mimba, menopause na ovulation kidoogo, pia tusiporidhika katika tendo la ndoa hutuletea kisirani
Umepita mle mle...akae vizuri na mkewe..atajua tu..tunakuaga na majini haswaa tukiamua..mi mwenyewe nampango wa kufanyatukio..ndoa imepoooaaa🤭
 
Yaani inasikitisha na inahitaji uvumilivu,Tumeowana kama miaka 20 iliyopita tuna mtoto mmoja na mmoja alifariki.

Kama miaka 4 iliyopita hivi ndivyo mwenzangu alipoanza kupitia changamoto za kuchanganyikiwa, anaweza akaazisha zogo bila sababu kunituhumu namroga au mimi malaya,kila mtu kwake ni mchawi,yaani yeye ni mtu wa kulalamika tu, tuachane nimpe taraka na mambo chungu nzima
Anaweza anzisha zogo sehemu yoyote ile iwe kwenye gari sokoni au sehemu yoyote ile
Kwa kweli inahitaji moyo ukitegemea wakati namuowa alikuwa vizuri tu
Una uhakika hajajiunga na kakikundi ka kilokole?
Chunguza vizuri huenda amejiunga na kikundi fulani cha wanamaombi wanaoamini kila changamoto ni kurogwa.
Nakwambia maana mimi nina sister yeye kila mtu kwake ni mchawi kuanzia jirani, ndugu, wakwe kila mtu isipokuwa hao wana maombi wenzake.
Kila failure yake ni wachawi wanamroga.
Maombi yake ni ya kushambuliwa wachawi tu.
 
Yaani inasikitisha na inahitaji uvumilivu,Tumeowana kama miaka 20 iliyopita tuna mtoto mmoja na mmoja alifariki.

Kama miaka 4 iliyopita hivi ndivyo mwenzangu alipoanza kupitia changamoto za kuchanganyikiwa, anaweza akaazisha zogo bila sababu kunituhumu namroga au mimi malaya,kila mtu kwake ni mchawi,yaani yeye ni mtu wa kulalamika tu, tuachane nimpe taraka na mambo chungu nzima
Anaweza anzisha zogo sehemu yoyote ile iwe kwenye gari sokoni au sehemu yoyote ile
Kwa kweli inahitaji moyo ukitegemea wakati namuowa alikuwa vizuri tu
Uwe unapotea kwa muda ili akukumbuke!
 
Back
Top Bottom