Narudia tena, tusije kurudia kufanya kosa kama la 2015. Nchi ilikuwa inaenda kufa

Raisi Samia siyo Mtanganyika = A Fact
Raisi Samia kauza mali za Tanganyika = A Fact
Raisi Samia kauza mali za Tanganyika kwa Waarabu = Also a Fact
Facts nyingine hizi hapa.
1. Wazanzibar hawataki Muungano ili mnawalazimisha.
2. Kila rais anayetawala Zanzibar kuanzia karume baba mpaka dkt Hussein wa sasa ni machaguo ya bara c ya Wazanzibar.
3. Hata leo wabara mkisema Muungano basi, Wazanzibar wataingia njiani kusherehekea uhuru wao kamili.
4. Bara inaing"ang"ania Zanzibar bila ridhaa ya Wazanzibar.
KAMATA HIZO FACTS PIA ZITAKUSAIDIA.
NIKO PALEEE.
 
Facts nyingine hizi hapa.
1. Wazanzibar hawataki Muungano ili mnawalazimisha.
2. Kila rais anayetawala Zanzibar kuanzia karume baba mpaka dkt Hussein wa sasa ni machaguo ya bara c ya Wazanzibar.
3. Hata leo wabara mkisema Muungano basi, Wazanzibar wataingia njiani kusherehekea uhuru wao kamili.
4. Bara inaing"ang"ania Zanzibar bila ridhaa ya Wazanzibar.
KAMATA HIZO FACTS PIA ZITAKUSAIDIA
 
Wewe ndio unatupangia wa wakumchagua hatumchagui mtu kwa kuangalia chuki zenu na visasi baada ya Magufuli kuwanyoosha vyeti feki, wakwepa kodi, mafisadi, walamba asali, majizi, wauza ngada mnaomba asirudi tena
Mkuu magu hakunyoosha nchi ila alikuwa anaipeleka kuzimu kama si Mungu kuingilia kati.
 
Haya mabunge yanayouza nchi ni limagufuli ndo iliyaingiza humo kwa mkono wa chuma
 
Kuzimu wapi!!?? Sasa hv umeshauzwa ww subiri waarabu wakushuhulikie
Waarabu ni watu swaafi kabisa ndo maana hata wazungu kwa sasa wanawapigia magoti kiuchumi. Kumkimbia mwarabu ni kupoteza muda na kujichelewesha kimaendeleo. Watu waovu ni wazungu ndo hushughulikia waafrika.
 
Hawakuwa na nguvu ya kuzuia masuala ambayo serikali ya ccm imetaka kuyapitisha, kunahitajika wabunge wengi zaidi wa upinzani.

Mbunge Kuzuia jambo ni kitu kingine na kuwakilisha mawazo yake ni jambo jingine, mfano Bila wabunge wa upinzani tungeweza kujua kashfa za Richmond, Tegeta Escrow, EPA nk??
 
Wewe ni muongo. Mtu mzima ovyo
 
Bado wajinga mnaendelea kudhihirisha ujinga wenu
 
Angalau zilikuwa na kiasi fulani cha haki ukilinganisha na "Uchafuzi" wa 2020.
Inaonyesha mliridhika na kuukubali huo "uangalau" ndio maana kelele zenu kubwa ni uchaguzi wa 2020 kuvuka huo uangalau mliyouzoea na si kelele kutaka uchaguzi wa haki.

Huo unagalau ni tatizo ambalo mlilizoea na 2020 ni matokeo ya ongezeko wa ukubwa wa tatizo la angalau.
 
Mbunge Kuzuia jambo ni kitu kingine na kuwakilisha mawazo yake ni jambo jingine, mfano Bila wabunge wa upinzani tungeweza kujua kashfa za Richmond, Tegeta Escrow, EPA nk??
Sidhani kama lengo letu kwa hao wabunge kama wawakilishi wetu huko bungeni ni kuibua kashfa tu halafu basi, walichokifanya wabunge wa ccm nacho ni kuwakilisha mawazo yao ambapo kwa pamoja wakaona wapitishe.
 
Wazungu husema; Better have something than nothing na Waswahili husema; Bora kenda kuliko kumi nenda rudi isitoshe Simba akizidiwa njaa hula nyasi. Nimeandika misemo yote hiyo ili utapate kujifunza nini maana ya "angalau" kwani wakati fulani mtu inakubidi u-compromise ili mambo yaende.

Tatizo la hizo angalau na uchafuzi wa 2020 ni katiba mbovu na ndio maana tunapigania tupate katiba mpya iliyokuwa bora ili kuondoa hizo shida nk.
 
Sidhani kama lengo letu kwa hao wabunge kama wawakilishi wetu huko bungeni ni kuibua kashfa tu halafu basi, walichokifanya wabunge wa ccm nacho ni kuwakilisha mawazo yao ambapo kwa pamoja wakaona wapitishe.

To be precise, Siyo kuwakilisha mawazo yao bali kuwakilisha Mawazo ya Chama chao cha CCM.
 
Tumejifunza mengi na tumefaidika sana kwakuweza kuyajua maamuzi yapi hayafai kwa taifa lakini CCM ni ilele mimi nilijifunza kwamba CCM ni chama kilicho na watu ambao wanauwezo mzuri wa kujitoa ufahumu ,(herding behavior), herding behavior is an occurrence of thoughtful people suspending their reasoning because of group objective or fear in this case is fearing their leaders
 
Kulishawahi kuwa na uchaguzi ulio haki??!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…