Bhisumbinyama
JF-Expert Member
- Dec 26, 2019
- 797
- 581
Facts nyingine hizi hapa.Raisi Samia siyo Mtanganyika = A Fact
Raisi Samia kauza mali za Tanganyika = A Fact
Raisi Samia kauza mali za Tanganyika kwa Waarabu = Also a Fact
1. Wazanzibar hawataki Muungano ili mnawalazimisha.
2. Kila rais anayetawala Zanzibar kuanzia karume baba mpaka dkt Hussein wa sasa ni machaguo ya bara c ya Wazanzibar.
3. Hata leo wabara mkisema Muungano basi, Wazanzibar wataingia njiani kusherehekea uhuru wao kamili.
4. Bara inaing"ang"ania Zanzibar bila ridhaa ya Wazanzibar.
KAMATA HIZO FACTS PIA ZITAKUSAIDIA.
NIKO PALEEE.