ProcrastinatorInChief
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 13,027
- 29,556
- Thread starter
- #201
Hata swali hujaelewa mwanasayansi.
Sijakuuliza itakubidi ufanye vipi, nimekuuliza unataka nini, umeelewa tofauti?
😀 😀 😀 kuelewa na kuthibitisha
Hata swali hujaelewa mwanasayansi.
Sijakuuliza itakubidi ufanye vipi, nimekuuliza unataka nini, umeelewa tofauti?
Sasa kwa nini unashikilia kuamini?😀 😀 😀 kuelewa na kuthibitisha
kwanini nimesema kuamini!Sasa kwa nini unashikilia kuamini?
Kuamini maana yake nini?
Kuamini ni haki yako ya kikatiba na kibinadamu. Unaruhusiwa hata kuamini uongo.kwanini nimesema kuamini!
kwakuwa ni vigumu kuthibitisha lazima nikubaliane na hali halisi kuwa huenda inaweza kuwa ukweli na ndo maana... nasema inabidi niamini.. sijui kama umenielewa
Nataka unielewe vizuri,Kuamini ni haki yako ya kikatiba na kibinadamu. Unaruhusiwa hata kuamini uongo.
Ukishakubali kuamini huna haja ya kuthibitisha.
Na ukitaka kuthibitisha umekataa kuamini.
Tatizo lako wewe huelewi unataka nini.
Unataka kuelewa unachokiamini kipi? Kwamba picha ni za CGI?Nataka unielewe vizuri,
Kuamini ni kukubali kuwa jambo linawezekana (Acceptance), na Kuelewa ni kupata sababu ya kwanini jambo hilo ni kweli (Validation). "sijui kama unanielewa'?
Sishikilii kuamini kwa sababu nataka kubaki kwenye giza, bali nashikilia kuamini kama daraja la kunifikisha kwenye uthibitisho.
Huwezi kuthibitisha kitu ambacho umekikataa tangu mwanzo. Kwa hiyo, sitaki 'kuamini' au 'kuelewa' kuviweka kama vitu viwili tofauti; nataka Kuelewa kile ninachokiamini.
Sayansi bila imani ni upofu (huwezi kuanza utafiti), na Imani bila uthibitisho ni ukereketwa (fanaticism).
na wengi wanaofanya sayansi bila kuamini wanakuwa certified amathia..
Kuna tofauti kati ya 'Kuamini bila ushahidi' (Blind Faith) na 'Imani inayotokana na ushahidi' (Justified Belief). Kisayansi, huwezi kuelewa jambo bila kwanza kukubali uwezekano wa ukweli wake. Hata Newton aliamini kuna kanuniya mvutano kabla hajaithibitisha kuwa ni 'Gravity'. kwahyo hatua ya kwanza ya any sscientific study huanza na hypothesis ambayo ni imani kuelekea kwenye proof
hapana kama ni picha halisia mpaka itakapothibitika vinginevyoUnataka kuelewa unachokiamini kipi? Kwamba picha ni za CGI?
Unathibitishaje kwamba picha hii ni halisia na si ya kutengenezwa na AI nzuri sana ya kisasa ambayo haiwezi kujulikana kama ni AI kwa teknolonia uliyonayo?hapana kama ni picha halisia mpaka itakapothibitika vinginevyo
nilichosema mpaka itakapothibitika na sio mpaka nitakapothibitisha vinginevyo...Unathibitishaje kwamba picha hii ni halisia na si ya kutengenezwa na AI nzuri sana ya kisasa ambayo haiwezi kujulikana kama ni AI kwa teknolonia uliyonayo?
Utajuaje hakuna AI inayoweza ku fake hizo signatures zote?nilichosema mpaka itakapothibitika na sio mpaka nitakapothibitisha vinginevyo...
maana picha ndo zimachiwa hazina hata week tutazifanyia utafiti wa forensic 😀 😀 ikiwemo geolocation Signature tutatoa majibu
Anashindwa kuelewa kitu kidogo tu kwamba unaweza ukaelewa lakini kama huwezi kuthibitisha ulichokielewa maana yake umeamua kuamini tu,.. kwa mfano mtu unaweza ukasoma Evolution theory ukaelewa process nzima vizuri kabisa ila ukiambiwa uthibitishe huwezi,. Sasa hapo maana yake kuelewa kwako hiyo nadharia hakufanyi usiwe umeamini maana uthibitisho wake huna,...Nataka unielewe vizuri,
Kuamini ni kukubali kuwa jambo linawezekana (Acceptance), na Kuelewa ni kupata sababu ya kwanini jambo hilo ni kweli (Validation). "sijui kama unanielewa'?
Sishikilii kuamini kwa sababu nataka kubaki kwenye giza, bali nashikilia kuamini kama daraja la kunifikisha kwenye uthibitisho.
Huwezi kuthibitisha kitu ambacho umekikataa tangu mwanzo. Kwa hiyo, sitaki 'kuamini' au 'kuelewa' kuviweka kama vitu viwili tofauti; nataka Kuelewa kile ninachokiamini.
Sayansi bila imani ni upofu (huwezi kuanza utafiti), na Imani bila uthibitisho ni ukereketwa (fanaticism).
na wengi wanaofanya sayansi bila kuamini wanakuwa certified amathia..
Kuna tofauti kati ya 'Kuamini bila ushahidi' (Blind Faith) na 'Imani inayotokana na ushahidi' (Justified Belief). Kisayansi, huwezi kuelewa jambo bila kwanza kukubali uwezekano wa ukweli wake. Hata Newton aliamini kuna kanuniya mvutano kabla hajaithibitisha kuwa ni 'Gravity'. kwahyo hatua ya kwanza ya any sscientific study huanza na hypothesis ambayo ni imani kuelekea kwenye proof
atakuja na nadharia za rotation na revolution alizofundishwa darasani ambazo hata artemis II imeshindwa kuthibitisjhaAnashindwa kuelewa kitu kidogo tu kwamba unaweza ukaelewa lakini kama huwezi kuthibitisha ulichokielewa maana yake umeamua kuamini tu,.. kwa mfano mtu unaweza ukasoma Evolution theory ukaelewa process nzima vizuri kabisa ila ukiambiwa uthibitishe huwezi,. Sasa hapo maana yake kuelewa kwako hiyo nadharia hakufanyi usiwe umeamini maana uthibitisho wake huna,...
Muambie kama ameelewa Jinsi Dunia inavyozunguka, akuthibitishie,... La sivyo na yeye atakua anatumia imani tu hapo 🤣 ... amekariri fallacies ila vitu kama hivi hawezi ku reason kwa usahihi.
Level yako itaishia kuamini vilivyotafitiwa😀 😀 😀
kwahyo mku tuamini tu au sio
inategemea na upande Upi mkuu:Level yako itaishia kuamini vilivyotafitiwa
mkuu nakupa jina leo wewe ni JF Socrates "the thinker of the thought who challenge the thought from the thinker"🙌🏽🙌🏽🙌🏽🔥🔥🔥🔥We cannot solve the ultimate mysteries of nature because we ourselves are the part of mystery we are trying to solve.
Tutajuaje kwamba hiki ni kweli na halisi kwa sababu kweli ni halisi, Au si halisi na sikweli kwa sababu umekosekana uthibitisho wa kuthibitisha uhalisia wake?
ukiamini Mungu yupo means unapingana na Maswala ya dunia kulizunguka jua na hata hii safari ya Artemis II ni ya uongo na utaamini wala hawakwenda kwenye mwezi kwa sababu dunia sio duaraTumewaachia ninyi wana sayansi.
Ila wacha niamini tu kuwa Mungu yupo inatosha lakini habari hizi naamini ni za kupikwa tu.