NASA INATUCHANGANYA! Je, Ni Kweli Dunia Inazunguka kwa Kasi ya KM 1,600/Saa au Tumeaminishwa Uongo?

NASA INATUCHANGANYA! Je, Ni Kweli Dunia Inazunguka kwa Kasi ya KM 1,600/Saa au Tumeaminishwa Uongo?

Kuna namna nakuelewa cz hata ukiangalia bdo kuna mkangqnyiko wa muda....sion picha inayoonesha usiku na mchana...
Hapa napo hujaona picha inayoonesha usiku na mchana bado?

Au utasema hizi ni CGI?


 
DR Mambo Jambo Hizi picha zote ni CGI bado unasema?


kuna vitu Mkuu ni vya kufikiri tu Tangu wamefika hawajawahi kutuonesha Sun wala picha ya Jua wala hata upande jua lilipo leo ghafla watuoneshe eclipse ngoja nicheke tu mimi..

mkuu sema tu umekuwa amathia ila kama ungeacha huo ukuta ulionao na kuamua kufocus kwenye kufikiri utaelewa ni propaganda 😅😅😅😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Nilsha Sema hivi.....
Kama kweli dunia inazunguka, kwanini maji ya kwenye mito, bahari na lake hayamwagiki??
Mbona tunao ishi ndani ya dunia hato anguki ama hatu sogei kutoka eneo moja kwenda lingine??
Mh mjumbe kuna watu watakuambia wakati wanakifunza somo la Sayansi na Jiografia wewe ulikiwa busy kuwazoom wadada[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tusubiri Artemis III ifikapo mwaka 2028 ndio itatua Mwezini, Artemis II ilikuwa na lengo la kwenda kuuzunguka Mwezi na kuona sehemu/upande ya/wa nyuma/mbali ya Mwezi ambao haujawahi kuonwa na wala si kutua.

Nimeona NASA wanakaribisha usajili wa watengeneza maudhui ya mitandao ya kijamii ili wakachukue taarifa za ujenzi wa Artemis III.
 
kuna vitu Mkuu ni vya kufikiri tu Tangu wamefika hawajawahi kutuonesha Sun wala picha ya Jua wala hata upande jua lilipo leo ghafla watuoneshe eclipse ngoja nicheke tu mimi..

mkuu sema tu umekuwa amathia ila kama ungeacha huo ukuta ulionao na kuamua kufocus kwenye kufikiri utaelewa ni propaganda 😅😅😅😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ukioneshwa picha ya jua utakubali au hapo napo utasema si jua la saa sita mchana?
 
kuna vitu Mkuu ni vya kufikiri tu Tangu wamefika hawajawahi kutuonesha Sun wala picha ya Jua wala hata upande jua lilipo leo ghafla watuoneshe eclipse ngoja nicheke tu mimi..

mkuu sema tu umekuwa amathia ila kama ungeacha huo ukuta ulionao na kuamua kufocus kwenye kufikiri utaelewa ni propaganda 😅😅😅😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Aisee!! Kwanza Kwanini unataka waoneshe jua?
CG5ZbDXVIAE1z3r.jpg
 
Alopima yeye alisimama wapi na mitambo yake akapima. Acha watu wasiwe wanatuaminisha uongo. Subiri kuna mtu atakuja hivi karibuni na kudai kuwa kula chakula n dhambi. Na mwingne atakuja na kusema kuwa kuoga ni kuharibu mwili na wanavokuja na terms za maneno magumu magumu ambayo hata wenyewe unakuta hawajui maanake lakin atataka uamini mambo yake.
Yeah, kula chakula ni dhambi pia kutegemeana na chakula husika. Mfano kula Kitimoto ni dhambi Shekh wangu. Wapo pia wanaotilia shaka issue ya kuoga😅Hasa kuoga mara nyingi kwa siku huondoa kinga ya asili ya ngozi.
 
Hivi karibuni, wanasayansi kutoka NASA wamedaiwa kwenda mwezini kutalii na kupiga picha kupitia misheni ya Artemis II, na hatimaye kurudi Duniani. Jambo hili, kama mwanasayansi, nalipongeza sana. Asiyefurahi kwa kidogo hata kikubwa hawezi kupewa; nimefurahi kupata picha kuanzia tukio linaanza mpaka lilipofika hapa.

Lakini, pongezi hizi zinakuja na mashaka mazito. Ikiwa tuliweza kufika na kutua mwezini miaka 60 iliyopita na teknolojia ya "analog," kwanini leo, tukiwa na teknolojia ya hali ya juu kuliko wakati wowote, tushindwe kwenda, kutua, na kutuonyesha kila kitu mubashara (LIVE) bila chenga? Kwanini tunapewa picha za vipande vipande badala ya video inayotiririka kuanzia kuondoka mpaka kutua? na kipi kinawazuia wasiende mwezini wakatembee na kuweka bendera kama wenzao wa Apollo?

Baada ya chombo cha Artemis kuanza safari yake kuelekea mwezini, picha na video zilizotumwa zimezua maswali mengi kuliko majibu. Video hizi zinaonyesha Dunia ikiwa imetulia tuli (Still). Tangu tarehe 2 mpaka leo, picha zinaonyesha upande ule ule wa bara la Afrika kana kwamba Dunia imeganda.

Hii imenileta maka kwenye maswali makuu ya kimantiki:

  • Kasi ya Ajabu Iko Wapi? Tuliaminishwa na kufundishwa tangu shule ya msingi kuwa Dunia inazunguka kwenye mhimili wake kwa kasi ya zaidi ya kilomita 1,600 kwa saa. Kwa kasi hiyo, ndani ya saa chache tu tulipaswa kuona mabara yakipishana na sura ya Dunia ikibadilika kwa haraka. Lakini kwenye video ya NASA, Dunia haisogei, haizunguki, wala haina dalili yoyote ya mwendo.
  • Mawingu Yaliyoganda: Tunajua kuwa angahewa ina upepo na mifumo ya hali ya hewa inayobadilika kila sekunde. Inakuwaje kwenye video hizi mawingu yanaonekana yakiwa yameganda mahali pale pale kwa muda mrefu? Je, ni kweli haya ni mawingu ya asili au ni picha tu ya kutengeneza iliyowekwa nyuma ya chombo?
  • Mvuto wa Centrifugal (Centrifugal) : Sayansi inasema kitu kinachozunguka kwa kasi lazima kirishe vitu nje au kionyeshe mabadiliko ya umbo (bulge). Mbona hapa tunaona duara kamilifu lililotulia kama picha ya ukutani?
Kama mwanasayansi, nakubali maendeleo, lakini siwezi kukubali maswali bila majibu. Ikiwa picha zinatuonyesha Dunia imetulia, na macho yetu hayaoni mzunguko ule wa kilomita 1,600 kwa saa, basi kuna mambo mawili: Ama tulidanganywa kuhusu kasi ya mzunguko wa Dunia tangu awali, au picha tunazopewa na NASA si za kweli (CGI).

View attachment 3568900

hii ni viddeo ya leo ya nasa ambayo upande huo wa Afrika unafanana kama video ya Nasa ya kwanza kipindi wanatoka duniani..
View attachment 3568902View attachment 3568903View attachment 3568904
 

Attachments

  • nyemochilongani_20260225_7.mp4
    2.1 MB
Back
Top Bottom