NASA INATUCHANGANYA! Je, Ni Kweli Dunia Inazunguka kwa Kasi ya KM 1,600/Saa au Tumeaminishwa Uongo?

Sasa mbona picha walizotoa Artemis II zinaonyesha Dunia ni duara kamili na sio Oblate Spheroid,..?
Soma uelewe🤗

  • Tofauti ya kipenyo cha ikweta na ncha za Dunia (poles) ni takriban 43 km tu.
  • Katika kipenyo cha Dunia cha takriban 12,742 km, tofauti hiyo ni ndogo sana (chini ya 0.3%). Kwa jicho la binadamu au picha ya mbali, tofauti hiyo haionekani; Dunia itaonekana kama duara kamilifu.
 
Bahati nzuri umejitanabaisha kuwa mwanasayansi, ila huenda unesahau kuwa umekuwa mwanasayansi ila sio mwanaanga. Inawezekana elimu ya anga, sayansi yake bado hujaipata vizuri so maswali lazima yawe mengi. Mada yako ina maswali mengi, majibu yake hayajibiwi na mwanasayansi per se, ila mwanaanga.

Apollo mission ilianza na Apollo I hadi Apollo 17, katika hizo episodes zote, Apollo I na 13 ziliishia kwenye disaster, crew wa Apollo I walikufa wote, crew wa Apollo 13 waliponea chupu.

Mwanasayansi kama wewe hatakiwi kukurupuka, tech ya 1960s na 70s na tech ya 2026 ni vitu viwili tofauti, you cannot introduce a new tech to its max potential without going through a series of tests, ndicho kinachofanywa leo. As a scientist you ought to know this.

Dunia is a huge thing, very huge in such a way that you and I are insignificant tukiwa kwenye ardhi ikiwa na diameter ya 12k+ km, its rotation and revolution can't be visible kwa macho yako, wewe ni mdogo kuliko sisimizi kwenye hii dunia.
 
Mzunguko wa dunia ni taratibu kwa muonekano, Dunia inachukua masaa 24 kukamilisha mzunguko wake kwa maana hiyo
Kwenye saa moja inazunguka nyuzi 15° Kwenye dakika moja 0.25° maana yake ni taratibu sana kwa macho ya binadamu haswa Kwenye hiyo clip ndogo
 
Bahati nzuri umejitanabaisha kuwa mwanasayansi, ila huenda unesahau kuwa umekuwa mwanasayansi ila sio mwanaanga. Inawezekana elimu ya anga, sayansi yake bado hujaipata vizuri so maswali lazima yawe mengi. Mada yako ina maswali mengi, majibu yake hayajibiwi na mwanasayansi per se, ila mwanaanga.

Apollo mission ilianza na Apollo I hadi Apollo 17, katika hizo episodes zote, Apollo I na 13 ziliishia kwenye disaster, crew wa Apollo I walikufa wote, crew wa Apollo 13 waliponea chupu.

Mwanasayansi kama wewe hatakiwi kukurupuka, tech ya 1960s na 70s na tech ya 2026 ni vitu viwili tofauti, you cannot introduce a new tech to its max potential without going through a series of tests, ndicho kinachofanywa leo. As a scientist you ought to know this.

Dunia is a huge thing, very huge in such a way that you and I are insignificant tukiwa kwenye ardhi ikiwa na diameter ya 12k+ km, its rotation and revolution can't be visible kwa macho yako, wewe ni mdogo kuliko sisimizi kwenye hii dunia.
kuhusu rotation na revolution nimeshalielezea pitia coments za nyuma..
ila umejibu vizuri sana kwa sehemu nyingi nimependa sana kwenye kueleza kuwa its not a pro mission is beta one
 
Mr Newyork bana, Swali la darasa la sita limehitaji hesabu za nasa na bado ameshindwa kukokotoa hizo hesabu.
 
Walipokuwa wanaondoka duniani waliondoka na kasi ile ile ya mzunguko wa dunia hivyo Camera imesafiri kwa mwendo wa mzunguko ule ule ndiyo mana kwenye hizo video za NASA dunia pamoja na mawingu vimeonekana kama vimeganda kwasababu vinashare same speed ya mzunguko.
Mawingu yanaweza kubadilika kulingana na mgandamizo lakini itahitaji muda mrefu wa kurekodi ili kuona hilo.

Kuhusu bara la Afrika kuonekana mda mrefu ni uelekeo tu wa Camera, hata wangeigeuza camera kwenye bara jingine bado ungehoji kwanini Afrika haijaonekana.

Na issue ya mvuto wa centrifugal iko hivi, Dunia haina duara kamili (ni tufe) lakini utofauti kati ya utufe wa dunia na duara kamili ni mdogo sana, hivyo hauwezi kuonekana kwenye video za mbali.

Haya yote yana uthibitisho wa kisayansi bila kudhani hizo ni video za kutengenezwa.
 
CGI Render
 
umejibu vizuri sana na mimi nauliza kuwa kama haiko stil why picha za kila siku tangu tarehe 3 zinafanana hata ya leo waliopiga wakiwa karibu na mwezi ina view sawa na inaonyesha kila kitu sawa kama ile ya siku wanafika space nazungumzia bara mawingu na kila kitu means dunia haikumove even inch tangu tarehe 2
Kuna namna nakuelewa cz hata ukiangalia bdo kuna mkangqnyiko wa muda....sion picha inayoonesha usiku na mchana...
 
Back
Top Bottom