ProcrastinatorInChief
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 13,027
- 29,556
- Thread starter
- #141
kwahyo hata kma uongoConsume and Obey.
Tricknology Mkojani.
kwahyo hata kma uongoConsume and Obey.
Tricknology Mkojani.
We don't fall due to gravitational force.Nilsha Sema hivi.....
Kama kweli dunia inazunguka, kwanini maji ya kwenye mito, bahari na lake hayamwagiki??
Mbona tunao ishi ndani ya dunia hato anguki ama hatu sogei kutoka eneo moja kwenda lingine??
Pia ni vyema kufahamu mzunguko wa 1600km kwa saa ni katika Ikweta kadri unavyoelekea ncha ya Kaskazini au Kusini hiyo speed inapungua na kukaribua 0 kabisa na pia hata ukiwa unapiga picha nyingi za north pole na South pole kwa mbali utofauti utakaoikwa unauona ni mdogo sana, ni sawa na uwe unapiga picha nyingi kwenye sehemu ya kovu la kikonyo la chungwa au limao wakati unalizungusha."...Ikiwa wewe upo kwenye gari linalotembea, na pembeni yako kuna gari lingine linatembea, lazima utaona mabadiliko ya mazingira. Inakuwaje chombo kinasafiri umbali wa maelfu ya kilomita kuelekea Mwezini, lakini kamera yake inaendelea kuona Bara la Afrika katikati tu? Je, Dunia na Chombo vyote vimegandana?"
Mfano tupo sambamba barabarani , na kila mtu ana gari yake , ukipiga picha gari yangu au ukiichukua video , hiyo video ukiitazama utaweza ngamua mwendo wa gari yangu?
Aaaaaah!!!Una app ya NASA?
Una picha zenye Metadata za NASA?
Umezitafuta kwenye mtandao wa NASA?
Umewaandikia kuwaomba?
Hapana Mimi sikatai,. Bali nasubiri tupate uthibitisho au wewe tayari una uthibitisho wa Dunia kufanya movement?rotation na revolution nayo unakataa kama gravity?
safiHapana Mimi sikatai,. Bali nasubiri tupate uthibitisho au wewe tayari una uthibitisho wa Dunia kufanya movement?
Kama una uthibitisho una uweza ukauweka wazi ili kuondoa doubts zote,.. maana kukiwa na uthibitisho hata hii mijadala haitozuka tena,.. au unasemaje?
Waandikie barua NASA mkuu, achana na uvivu wa kitamaduni.umeona eeeh 😀 😀 😀
😀 😀 😀 😀Waandikie barua NASA mkuu, achana na uvivu wa kitamaduni.
uthibitisho watautoa wataalam kwenye hoja walizotupa form 2, nachostuka mimi ni mzee firmamnet na sahani kudemand uthibitishoHapana Mimi sikatai,. Bali nasubiri tupate uthibitisho au wewe tayari una uthibitisho wa Dunia kufanya movement?
Kama una uthibitisho unaweza ukauweka wazi ili kuondoa doubts zote,.. maana kukiwa na uthibitisho hata hii mijadala haitozuka tena,.. au unasemaje?
Hii nchi hatuendelei sababu tunatumia akili ndogo mno kujibia hoja kubwa saana. Kutumia elimu yako ya tandika primary kujibia mambo yanayohusu NASA missionsHivi karibuni, wanasayansi kutoka NASA wamedaiwa kwenda mwezini kutalii na kupiga picha kupitia misheni ya Artemis II, na hatimaye kurudi Duniani. Jambo hili, kama mwanasayansi, nalipongeza sana. Asiyefurahi kwa kidogo hata kikubwa hawezi kupewa; nimefurahi kupata picha kuanzia tukio linaanza mpaka lilipofika hapa.
Lakini, pongezi hizi zinakuja na mashaka mazito. Ikiwa tuliweza kufika na kutua mwezini miaka 60 iliyopita na teknolojia ya "analog," kwanini leo, tukiwa na teknolojia ya hali ya juu kuliko wakati wowote, tushindwe kwenda, kutua, na kutuonyesha kila kitu mubashara (LIVE) bila chenga? Kwanini tunapewa picha za vipande vipande badala ya video inayotiririka kuanzia kuondoka mpaka kutua? na kipi kinawazuia wasiende mwezini wakatembee na kuweka bendera kama wenzao wa Apollo?
Baada ya chombo cha Artemis kuanza safari yake kuelekea mwezini, picha na video zilizotumwa zimezua maswali mengi kuliko majibu. Video hizi zinaonyesha Dunia ikiwa imetulia tuli (Still). Tangu tarehe 2 mpaka leo, picha zinaonyesha upande ule ule wa bara la Afrika kana kwamba Dunia imeganda.
Hii imenileta maka kwenye maswali makuu ya kimantiki:
Kama mwanasayansi, nakubali maendeleo, lakini siwezi kukubali maswali bila majibu. Ikiwa picha zinatuonyesha Dunia imetulia, na macho yetu hayaoni mzunguko ule wa kilomita 1,600 kwa saa, basi kuna mambo mawili: Ama tulidanganywa kuhusu kasi ya mzunguko wa Dunia tangu awali, au picha tunazopewa na NASA si za kweli (CGI).
- Kasi ya Ajabu Iko Wapi? Tuliaminishwa na kufundishwa tangu shule ya msingi kuwa Dunia inazunguka kwenye mhimili wake kwa kasi ya zaidi ya kilomita 1,600 kwa saa. Kwa kasi hiyo, ndani ya saa chache tu tulipaswa kuona mabara yakipishana na sura ya Dunia ikibadilika kwa haraka. Lakini kwenye video ya NASA, Dunia haisogei, haizunguki, wala haina dalili yoyote ya mwendo.
- Mawingu Yaliyoganda: Tunajua kuwa angahewa ina upepo na mifumo ya hali ya hewa inayobadilika kila sekunde. Inakuwaje kwenye video hizi mawingu yanaonekana yakiwa yameganda mahali pale pale kwa muda mrefu? Je, ni kweli haya ni mawingu ya asili au ni picha tu ya kutengeneza iliyowekwa nyuma ya chombo?
- Mvuto wa Centrifugal (Centrifugal) : Sayansi inasema kitu kinachozunguka kwa kasi lazima kirishe vitu nje au kionyeshe mabadiliko ya umbo (bulge). Mbona hapa tunaona duara kamilifu lililotulia kama picha ya ukutani?
View attachment 3568900
hii ni viddeo ya leo ya nasa ambayo upande huo wa Afrika unafanana kama video ya Nasa ya kwanza kipindi wanatoka duniani..
View attachment 3568902View attachment 3568903View attachment 3568904
Watautoa? maana yake sasa hivi bado hawajautoa? 😅,... Kwahiyo sasahvi unatumia imani kujua kwamba Dunia inazunguka?uthibitisho watautoa wataalam kwenye hoja walizotupa form 2, nachostuka mimi ni mzee firmamnet na sahani kudemand uthibitisho
hii ni hatua nzuri,
unazungumzia rotation au revolution kwanza? au vyoteWatautoa? maana yake sasa hivi bado hawajautoa? 😅,... Kwahiyo sasahvi unatumia imani kujua kwamba Dunia inazunguka?
Sisi masikini wa zamani kidogo kabla ya kuwepo na vijiti vya kuwashia moto, au mifuko ya plastiki kwa wingi na kukosa hela ya kununulia mafuta ya taa, tulikua tunatumia makopo madogo ya bati yalofungwa waya yuu, tunaweka mkee humo na moto kidoogo kutoka kwa jirani, kisha tunaanza kuuzungusha kwa spidi ili ukolee mapema tukanyooshe vibukta vyetu twende shule.Nilsha Sema hivi.....
Kama kweli dunia inazunguka, kwanini maji ya kwenye mito, bahari na lake hayamwagiki??
Mbona tunao ishi ndani ya dunia hato anguki ama hatu sogei kutoka eneo moja kwenda lingine??
3. Mvuto wa Centrifugal na Umbo la Dunia
Sayansi inathibitisha kuwa mzunguko wa Dunia unasababisha iwe na "bulge" (uvimbe) kwenye ikweta (Dunia ni Oblate Spheroid, si duara kamili). Hata hivyo:
Vyoteunazungumzia rotation au revolution kwanza? au vyote
Safi sana. Umeeleza vizuri sana. tatizo humu watu wanakaza sana mafuvu. Anaweza akawa hajaelwa.Kwanini Hawajatua na Kuweka Bendera?
Hapa ndipo kuna utofauti wa kimisheni:
Mashaka yako ni muhimu kwa sababu yanahimiza uwazi. Hata hivyo, kisayansi, kile unachokiona ni matokeo ya umbali mkubwa (scale), muda (time dilation in observation), na teknolojia mpya ya kidijitali.
- Artemis II: Ni misheni ya kuzunguka tu (Flyby) ili kujaribu mifumo ya maisha (Life Support) kwa ajili ya binadamu. Hawakukusudiwa kutua.
- Artemis III: Hii ndiyo misheni iliyopangwa kutua mwezini (Moon Landing), ambayo inategemea mafanikio ya safari hii ya sasa unayoiona.