NASA INATUCHANGANYA! Je, Ni Kweli Dunia Inazunguka kwa Kasi ya KM 1,600/Saa au Tumeaminishwa Uongo?

Kwanza ziwekwe picha tuone anachosema ni kweli.

Pia.

Hii hoja bila namba haijakamilika.

Hii hoja inataka mahesabu ya namba.

Umbali wa dunia na mwezi,

Umbali wa picha ilipopigwa na dunia.

Pembe ya picha ilipopigwa na dunia.

Tofauti ya muda kati ya picha tofauti.

Tofauti ya position na angle kati ya picha zilipopigwa.

Kasi ya dunia kujizungusha.

Kwa sababu kuna mwendo unaweza kwenda kwenye satellite ukawa unaenda na dunia unapiga picha sehemu moja hiyo hiyo mtu akafikiri dunia haizunguki, kumbe kasi yako na kasi ya dunia kuzunguka vinaendana sawa kiasi unaona sehemu ike ike dunia inaonekana kama haizunguki.

Why is that so hard to understand?

Sasa ukiweza kuweka namba hizi zote halafu unaonesha kuwa kwa kuangalia namba, hesabu zina mushkeli, hapo unaweza kuwa na hoja.

Tatizo la Watanzania wengi, pamoja na mtoa mada, wana allergy na uchunguzi wa kimahesabu.

They are innumerates. Nit onky illiterates, innumerates.

Mtu anataka kubisha jambo la kutumia namba bila kuweka namba.

This is innumeracy.

Ndiyo maana nikaanza kwa kusema mtoa mada ana uvivu wa kiutamaduni.
Kiranga salaam
Nashukuru kwa kunikumbusha umuhimu wa namba Kama mwanasayansi, siko 'allergic' na namba, bali niko 'allergic' na namba zinazopikwa ili kuhalalisha kile ambacho macho hayaoni. Hebu tuweke namba mezani kama ulivyotaka:

Dunia inazunguka nyuzi 360 ndani ya saa 24. Hiyo inamaanisha kasi ya mzunguko ni nyuzi 15 kwa saa (360 /24).
Ikiwa video za NASA zinatumwa kila siku na wanaigia live pia na video zao nyingi zina urefu wa saa 3, Dunia inapaswa kuwa imezunguka kwa nyuzi 45, Nyuzi 45 ni karibu nusu ya robo ya duara. Inakuwaje kwenye video ya saa 3,na siku zaidi ya tano bara la Afrika lisionekane likisogea hata kwa milimita moja kuelekea pembeni? Je, namba za NASA za nyuzi 15 kwa saa zimefeli hapa?

hoja yako ya Geosynchronous Orbit ambayo Umesema chombo kinaweza kuwa kinaenda kasi sawa na Dunia. Hapa ndipo innumeracy inapoonekana kwako ,sasa ngoja nikufundishe Ili chombo kiende kasi sawa na mzunguko wa Dunia (stationary orbit), ni lazima kiwe umbali wa takriban km 35,786 (Geostationary Altitude).
lakini usisahu kuwa Artemis II Chombo hiki kiko kwenye safari kuelekea Mwezini (umbali wa km 384,400). Kadiri unavyozidi kwenda mbali, kasi ya mzunguko wa chombo inapungua kulingana na sheria ya Kepler.

Haiwezekani kifizikia chombo kilicho umbali wa km 100,000 au 200,000 kiwe na 'Angular Velocity' sawa na ardhi iliyo chini yake. Ni lazima ardhi ionekane inazunguka kwa kasi kuliko chombo. Mbona picha inaonyesha kila kitu kimeganda?

umezungumzia swala angle of view Ikiwa chombo kinasafiri kwa kasi ya zaidi ya km 5,000/hr kuelekea Mwezini, na Dunia inazunguka kwa km 1,600/hr, tunategemea kuona 'Relative Displacement'.Hata kama 'Gimbal' inatulia, background (nyota) na foreground (mabara) lazima vipishane. Kutaka namba wakati 'Visual Evidence' (ushahidi wa macho) unagoma ni kujaribu kufunika ukweli kwa kutumia kalkuljeta.?

Mkuu, uvivu wa kweli ni kukubali kila unachoambiwa na NASA bila kuhoji. 'Illiteracy' ya kweli ni kuona video inayopingana na namba za vitabuni, halafu bado ukaendelea kutetea vitabu badala ya kile unachokiona.

Kama una namba zinazoonyesha jinsi gani chombo kilicho umbali wa maelfu ya kilomita kinaweza 'kung'ang'ania' bara moja la Afrika kwa saa 6 siku 5 bila mzunguko wa Dunia kuonekana, ziweke hapa. Vinginevyo, namba zako ni nadharia"
 
😀 😀 😀 😀
Vipi nikikuambia kuwa Ni Maamrisho ya Mungu (natania)
Bro kuna mzunguko wa pembe tunaita Angular rotation ndyo hio ya nyuzi 360/24hrs

Na kuna mzunguko wa uso wa dunia tunaita Linear rotation kwenye equator ndyo huu wa 1600km/hr. Hii ni mizunguko miwili tofaut 😀😀
 
Huwezi kuona dunia ikijizungusha ...sababu angahewa
Likijumuisha mpaka mwezi vinakuwa kwenye mzunguko wa pamoja
"Dah Mkuu, sijui kam nimekuelewa vizuri au maana yako ulikuwa unamaanisha nini ila kiukweli umenidisapoint sana tena hapo kwenye 'mzunguko wa pamoja' umekwenda mbali sana kiasi cha kuvunja kanuni za kifizikia tunazozijua. Hebu niweke mambo sawa:

Angahewa liInaishia Wapi?Angahewa ya Dunia (Atmosphere) inaishia takriban kilomita 100 (Karman line) mpaka kilomita 10,000 (Exosphere). Zaidi ya hapo ni 'Vacuum' (ombwe).

Mwezi uko umbali wa kilomita 384,400! kwa hiyo Kusema kuwa angahewa inajumuisha mpaka Mwezi ni kusema kuwa angahewa ni kubwa mara 38 ya ukubwa halisi wa Dunia. Kama Mwezi ungekuwa ndani ya 'mzunguko wa pamoja' wa anga hewa, tusingehitaji space suits wala oksijeni tukiwa huko!

kusingehitaji Sheria ya 'Orbit' Kama kila kitu kingekuwa kwenye 'mzunguko wa pamoja' (kasi sawa):

Mwezi ungekuwa umeganda sehemu moja juu ya ardhi (kama vile juu ya Tanzania tu masaa 24).
Lakini tunajua Mwezi unachukua takriban siku 27 kuzunguka Dunia mara moja, wakati Dunia inajizungusha kila baada ya saa 24.

sawa nikubali hoja yako kuwa Atmosphere ni moja ila Hata kama chombo kingekuwa ndani ya angahewa, bado kamera inapaswa kuona mzunguko.

Mfano: Wewe ukiwa ndani ya gari (angahewa yako), bado unaona matairi ya gari lingine yakizunguka na miti ikipita,Kusema kuwa 'huwezi kuona dunia ikijizungusha sababu ya angahewa' ni sawa na kusema ukiwa ndani ya nyumba huwezi kuona feni ikizunguka kwa sababu mpo chumba kimoja.
 
Bro kuna mzunguko wa pembe tunaita Angular rotation ndyo hio ya nyuzi 360/24hrs

Na kuna mzunguko wa uso wa dunia tunaita Linear rotation kwenye equator ndyo huu wa 1600km/hr. Hii ni mizunguko miwili tofaut 😀😀
nimejibu zamani hizi pitia post za nyuma
 
Kiranga salaam
Nashukuru kwa kunikumbusha umuhimu wa namba Kama mwanasayansi, siko 'allergic' na namba, bali niko 'allergic' na namba zinazopikwa ili kuhalalisha kile ambacho macho hayaoni. Hebu tuweke namba mezani kama ulivyotaka:

Dunia inazunguka nyuzi 360 ndani ya saa 24. Hiyo inamaanisha kasi ya mzunguko ni nyuzi 15 kwa saa (360 /24).
Ikiwa video za NASA zinatumwa kila siku na wanaigia live pia na video zao nyingi zina urefu wa saa 3, Dunia inapaswa kuwa imezunguka kwa nyuzi 45, Nyuzi 45 ni karibu nusu ya robo ya duara. Inakuwaje kwenye video ya saa 3,na siku zaidi ya tano bara la Afrika lisionekane likisogea hata kwa milimita moja kuelekea pembeni? Je, namba za NASA za nyuzi 15 kwa saa zimefeli hapa?

hoja yako ya Geosynchronous Orbit ambayo Umesema chombo kinaweza kuwa kinaenda kasi sawa na Dunia. Hapa ndipo innumeracy inapoonekana kwako ,sasa ngoja nikufundishe Ili chombo kiende kasi sawa na mzunguko wa Dunia (stationary orbit), ni lazima kiwe umbali wa takriban km 35,786 (Geostationary Altitude).
lakini usisahu kuwa Artemis II Chombo hiki kiko kwenye safari kuelekea Mwezini (umbali wa km 384,400). Kadiri unavyozidi kwenda mbali, kasi ya mzunguko wa chombo inapungua kulingana na sheria ya Kepler.

Haiwezekani kifizikia chombo kilicho umbali wa km 100,000 au 200,000 kiwe na 'Angular Velocity' sawa na ardhi iliyo chini yake. Ni lazima ardhi ionekane inazunguka kwa kasi kuliko chombo. Mbona picha inaonyesha kila kitu kimeganda?

umezungumzia swala angle of view Ikiwa chombo kinasafiri kwa kasi ya zaidi ya km 5,000/hr kuelekea Mwezini, na Dunia inazunguka kwa km 1,600/hr, tunategemea kuona 'Relative Displacement'.Hata kama 'Gimbal' inatulia, background (nyota) na foreground (mabara) lazima vipishane. Kutaka namba wakati 'Visual Evidence' (ushahidi wa macho) unagoma ni kujaribu kufunika ukweli kwa kutumia kalkuljeta.?

Mkuu, uvivu wa kweli ni kukubali kila unachoambiwa na NASA bila kuhoji. 'Illiteracy' ya kweli ni kuona video inayopingana na namba za vitabuni, halafu bado ukaendelea kutetea vitabu badala ya kile unachokiona.

Kama una namba zinazoonyesha jinsi gani chombo kilicho umbali wa maelfu ya kilomita kinaweza 'kung'ang'ania' bara moja la Afrika kwa saa 6 siku 5 bila mzunguko wa Dunia kuonekana, ziweke hapa. Vinginevyo, namba zako ni nadharia"
Hujaweka namba bado kwa sababu hujaweka muda picha zilipopigwa, hujaweka position picha zimepigwa kutoka wapi, hujaweka umbali, hujaweka pembe.

Huna detail za ku argue.
 
Hivi karibuni, wanasayansi kutoka NASA wamedaiwa kwenda mwezini kutalii na kupiga picha kupitia misheni ya Artemis II, na hatimaye kurudi Duniani. Jambo hili, kama mwanasayansi, nalipongeza sana. Asiyefurahi kwa kidogo hata kikubwa hawezi kupewa; nimefurahi kupata picha kuanzia tukio linaanza mpaka lilipofika hapa.

Lakini, pongezi hizi zinakuja na mashaka mazito. Ikiwa tuliweza kufika na kutua mwezini miaka 60 iliyopita na teknolojia ya "analog," kwanini leo, tukiwa na teknolojia ya hali ya juu kuliko wakati wowote, tushindwe kwenda, kutua, na kutuonyesha kila kitu mubashara (LIVE) bila chenga? Kwanini tunapewa picha za vipande vipande badala ya video inayotiririka kuanzia kuondoka mpaka kutua? na kipi kinawazuia wasiende mwezini wakatembee na kuweka bendera kama wenzao wa Apollo?

Baada ya chombo cha Artemis kuanza safari yake kuelekea mwezini, picha na video zilizotumwa zimezua maswali mengi kuliko majibu. Video hizi zinaonyesha Dunia ikiwa imetulia tuli (Still). Tangu tarehe 2 mpaka leo, picha zinaonyesha upande ule ule wa bara la Afrika kana kwamba Dunia imeganda.

Hii imenileta maka kwenye maswali makuu ya kimantiki:

  • Kasi ya Ajabu Iko Wapi? Tuliaminishwa na kufundishwa tangu shule ya msingi kuwa Dunia inazunguka kwenye mhimili wake kwa kasi ya zaidi ya kilomita 1,600 kwa saa. Kwa kasi hiyo, ndani ya saa chache tu tulipaswa kuona mabara yakipishana na sura ya Dunia ikibadilika kwa haraka. Lakini kwenye video ya NASA, Dunia haisogei, haizunguki, wala haina dalili yoyote ya mwendo.
  • Mawingu Yaliyoganda: Tunajua kuwa angahewa ina upepo na mifumo ya hali ya hewa inayobadilika kila sekunde. Inakuwaje kwenye video hizi mawingu yanaonekana yakiwa yameganda mahali pale pale kwa muda mrefu? Je, ni kweli haya ni mawingu ya asili au ni picha tu ya kutengeneza iliyowekwa nyuma ya chombo?
  • Mvuto wa Centrifugal (Centrifugal) : Sayansi inasema kitu kinachozunguka kwa kasi lazima kirishe vitu nje au kionyeshe mabadiliko ya umbo (bulge). Mbona hapa tunaona duara kamilifu lililotulia kama picha ya ukutani?
Kama mwanasayansi, nakubali maendeleo, lakini siwezi kukubali maswali bila majibu. Ikiwa picha zinatuonyesha Dunia imetulia, na macho yetu hayaoni mzunguko ule wa kilomita 1,600 kwa saa, basi kuna mambo mawili: Ama tulidanganywa kuhusu kasi ya mzunguko wa Dunia tangu awali, au picha tunazopewa na NASA si za kweli (CGI).

View attachment 3568900

hii ni viddeo ya leo ya nasa ambayo upande huo wa Afrika unafanana kama video ya Nasa ya kwanza kipindi wanatoka duniani..
View attachment 3568902View attachment 3568903View attachment 3568904
Dunia inazunguka na atmosphere yake kwa pamoja ndo maana hata ukiruka juu hauwezi kusense, ni kama vile upo ndani ya gari linalokimbia sana lakini hata ukirusha coin bado utaidaka kawaida tubkama vike upo sehemu ambayo hai move
 
Hujaweka namba bado kwa sababu hujaweka muda picha zilipopigwa, hujaweka position picha zimepigwa kutoka wapi, hujaweka umbali, hujaweka pembe.

Huna detail za ku argue.
Kiranga kuna details zingine nahisi unajua ziwezi kuzipata kwa sababu mimi sio mmoja wa team inayocontrol Tracking gimbal system ya Nasa wala ya Artemis II ..

huwezi kuniuliza angel ya picha ilivyopigwa na kingine picha imepigwa on space how comes unaniuliza kuhusu Time picha ilipopigwa??? are you for real? umbali nimeweka nimesema kuwa picha ya kwanza ilipigwa 80k ..ya pili 100k na hii ya jana 380k ambazo zote ni km kuhusu Pembe kaka sasa huko tunaenda mbali sana mimi sifanyi kazi NASA 😀 😀 😀 😀 😀

kingine Kudai namba ambazo zinapatikana kwa acces ya 'Gimbal' peke yake ili uthibitishe mzunguko wa Dunia ni sawa na kumuuliza mtu 'spidi ya upepo' ili uthibitishe kuwa gari limepata ajali wakati limepondeka mbele yako. Video ni ushahidi tosha (Visual Evidence). Ikiwa picha haitembei, maana yake hakuna mwendo.

Mkuu hata kama sina details za Gimbal ila kuna baadhi ya vitu Huhitaji kuwa na 'access' ya kompyuta za NASA kujua kuwa masaa 24 yamepita. Ikiwa picha ya tarehe 4 na picha ya tarehe 6 zote zinaonyesha Bara la Afrika likiwa katikati ya picha, hapo namba hazihitajiki tena, hapo ni macho tu. Haijalishi picha imepigwa kwa pembe gani (30° au 90°), mzunguko wa Dunia wa nyuzi 15 kwa saa ni lazima uonyeshe mabadiliko ya mabara ndani ya saa 48!
 
Mwanachama wa kudumu flat earth society mzunguko wa kasi inahusu? Ignorance is bliss .
 
Hii ndiyo sababu hutakiwi kurukia jambo bila kujua hizo details.

Umefanya juhudi gani kutafuta hizo detail?

Una app ya NASA?

Una picha zenye Metadata za NASA?

Umezitafuta kwenye mtandao wa NASA?

Umewaandikia kuwaomba?
 
Mkuu alichosema jamaa ni sahihi na ndio uhalisia ulivyo. Dunia kwa spidi hiyo ya 1600km/hr inachukua saa 24 kukamilisha mzunguko mmoja wa 360°, hivyo kwa dk inakuwa imezunga nyuzi 0.25 tu na kwa sekunde ni 0.0041°, hivyo kuona mabadiliko kwenye hiyo clip ya 31sec si rahisi unless iwe video ya masaa mengi.
 
hizo nilizotuma kwenye nyuzi hii zote zimetoka Nasa na nimezichkua kwenye tovuti Ya nasa
 
lakini mkuu kuna picha za tangu tarehe 4 mpaka leo zinasoma eneo moja hio hilo na ndo swali lilipoanzia
 
hizo nilizotuma kwenye nyuzi hii zote zimetoka Nasa na nimezichkua kwenye tovuti Ya nasa
Hii nayo inaonesha Africa?

Na hii nayo ni CGI?

Hukuona live feeda zote zile, nazo ni CGI?

Picha zote zikizo kwenye instagram account yao, link naiweka chini hapo, nazo ni za CGI?

Hii nayo inaonesha Africa?

Na hii nayo ni CGI?

Hukuona live feeda zote zile, nazo ni CGI?

hii picha uliotuma kwanza ni ya jana pili imekatwa na kivuli cha mwezi haiwezi kutumika kama ushahidi maana haina feature za uso wa dunia unaonyesha hata bara moja au feature tambuzi...

kuhusu live feeda huwa naangalia youtube hata hapa naandika kwenye uzi lakini naangalia ..

View: https://www.youtube.com/live/m3kR2KK8TEs?si=lyz6ijshcb9Los3K
 
Picha zote za kwenye Instagram yao ni za CGI?

Back
Top Bottom