Zeus1
JF-Expert Member
- Aug 24, 2017
- 7,331
- 9,542
Wewe mtaalam,hebu saidia kujibu hoja yake tupate elimu kidogo,uache kuchekaNimechaka sana hapo ulipojiita mwanasayansi. Bhahahahahahaaaaa.
Wewe mtaalam,hebu saidia kujibu hoja yake tupate elimu kidogo,uache kuchekaNimechaka sana hapo ulipojiita mwanasayansi. Bhahahahahahaaaaa.
Kuna majibu unaweza kuyakubali au hata ukipelekwa upande kwenye spacecraft uende kuona mwenyewe utasema hii spacecraft ni ya ndoto za kutoka filamu ya The Matrix tu, si ya kweli?hii ni conclusion ya mwisho endapo majibu yatashindwa kupatikana
atmosphere haina mpaka kama ulivyoutaja, badala yake inapungua taratibu taratibu, kwaiyo hiwezi kusema hapa ndo anga hewa ya dunia imeishia, inapungua taratibu n effects zake zinabadilika taratibu kadiri unvyozidi kupanda juu"Dah Mkuu, sijui kam nimekuelewa vizuri au maana yako ulikuwa unamaanisha nini ila kiukweli umenidisapoint sana tena hapo kwenye 'mzunguko wa pamoja' umekwenda mbali sana kiasi cha kuvunja kanuni za kifizikia tunazozijua. Hebu niweke mambo sawa:
Angahewa liInaishia Wapi?Angahewa ya Dunia (Atmosphere) inaishia takriban kilomita 100 (Karman line) mpaka kilomita 10,000 (Exosphere). Zaidi ya hapo ni 'Vacuum' (ombwe).
Mwezi uko umbali wa kilomita 384,400! kwa hiyo Kusema kuwa angahewa inajumuisha mpaka Mwezi ni kusema kuwa angahewa ni kubwa mara 38 ya ukubwa halisi wa Dunia. Kama Mwezi ungekuwa ndani ya 'mzunguko wa pamoja' wa anga hewa, tusingehitaji space suits wala oksijeni tukiwa huko!
kusingehitaji Sheria ya 'Orbit' Kama kila kitu kingekuwa kwenye 'mzunguko wa pamoja' (kasi sawa):
Mwezi ungekuwa umeganda sehemu moja juu ya ardhi (kama vile juu ya Tanzania tu masaa 24).
Lakini tunajua Mwezi unachukua takriban siku 27 kuzunguka Dunia mara moja, wakati Dunia inajizungusha kila baada ya saa 24.
sawa nikubali hoja yako kuwa Atmosphere ni moja ila Hata kama chombo kingekuwa ndani ya angahewa, bado kamera inapaswa kuona mzunguko.
Mfano: Wewe ukiwa ndani ya gari (angahewa yako), bado unaona matairi ya gari lingine yakizunguka na miti ikipita,Kusema kuwa 'huwezi kuona dunia ikijizungusha sababu ya angahewa' ni sawa na kusema ukiwa ndani ya nyumba huwezi kuona feni ikizunguka kwa sababu mpo chumba kimoja.
The number of people exceeding the available areas or resources in a certain country or place.Kwanza kabisa, overpopulation ni nini?
[emoji23][emoji23][emoji23]Nakubariana na wewe kabisa sio Marekani tu hata hapa tunaweza tukawaingiza kwenye ule Msikiti wa Kinondoni na wakajaa bila kubaki Dunia nzima ikaingia mule
Nasa hawako kwenye Mwezi bali wako hewani wakivizunguka mwezi na dunia. Ndio maana walipouzoom mwezi tuliona motion ya mwezi lakini dunia iko static ndio issue ya mleta thread.Na utaonaje mzunguko wa Dunia ukiwa kwenye mwezi
Ndio tumeanza kuhoji sasa!ikiwa wametukuta tunaishi mporini wakatupa haya
sasa wanapofanya majaribio yao tunapata wapi nguvu ya kuhoji wakati kila kitu wametupa ss ambacho tumefanikiwa labda kuloga
- wakatupa namna ya kuvaa nguo
- wakatupa namna kujitibu madawa tunawategemea wao
- mawasiliano ni yao wkatuletea
- mfumo wa elimu wakatupa ndio tunatumia mpaka leo
- wakatupa na uzazi wa mpango wakaleta mpaka dini
- mpaka na majina wametupa saizi tunatumia john ,joseph,tukaacha kujiita ngombe na kondoo
Chombo cha Nasa kinakimbia km 5,000 na zaidi/hr.Hapana. Dunia haiko still.
Ni kubwa sana kias kwamba unatakiwa uwe na speed kubwa zaid ili uone changes.
Kile chombo kiwe na speed 1.6k/hr kuona mabadiliko ya point 1 /angle tofaut na kichukue video ndan ya lisaa 1.
Hata ukiwa distance ya mbali.
Pia Ukistand still inabid ukae masaa 24 ili uione tena the same point.
Mwambie hata Drones anazozione leo ni mfumo wa Kiafrika wa siku nyingi sisi tunauita "UNGO"Duh!,. kwahiyo unaamini kwamba Afrika hakujawahi kuwa na civilisation wala knowledge zozote,.. Afrika imekuwa na njia zake tangu zamani kulikuwa na mifumo ya mavazi, tiba , elimu, mawasiliano, n,k.,... maendeleo yote unayoyaona leo duniani si ya kundi au “race” moja pekee. Kila jamii imechangia kwa namna yake iwe ni kwa kutumia akili, rasilimali, au nguvu kazi. Dunia ilivyofikia hapa ilipo ni matokeo ya mchango wa pamoja wa wanadamu kutoka sehemu mbalimbali.,.. siku hizi unaona Duniani watu wote wanatumia mifumo sawa ni kutokana na utandawazi (globalisation) haimaanishi kwamba jamii fulani haikuwa na mifumo yake ya maisha hapo awali.
Usikute wewe ndiyo wale wanaoamini Wazungu wote wana akili kubwa (elites) kumbe na vilaza wapo wengi tu.
Kwa nini tuachane na hii mada wakati umeileta wewe?The number of people exceeding the available areas or resources in a certain country or place.
Tuachane na hii mada mkuu mi nilitolea mfano tusitoke nje ya mada aliyoileta muanzisha thread.
Mkuu kumbe umemuona leo? mimi nimefikiri umesoma comment yake leo 🤣🤣This logical fallacy is called ad hominem.
Nimekupa hoja ya kuja na namba, tuchunguze mambo kihesabu, umeshindwa hoja, unanitupia mawe mimi.
Mimi sihitaji approval yako.
Hata sikujui ndiyo nakuona leo.
Kwahiyo hata NASA hawawezi kuona Dunia ikijizungusha?Huwezi kuona dunia ikijizungusha ...sababu angahewa
Likijumuisha mpaka mwezi vinakuwa kwenye mzunguko wa pamoja
Nikiwa na shemeji yako kwenye sehemu ya kupumzikia wageni moja hivi ambayo dunia nzima ikiamua kuwaingiza watu wote wanaweza wakaingia na nafasi ikabakia.[emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu uliandika hii comment ukiwa wapi kwanza tuanzie hapo.
[emoji23][emoji23][emoji23]Nikiwa na shemeji yako kwenye sehemu ya kupumzikia wageni moja hivi ambayo dunia nzima ikiamua kuwaingiza watu wote wanaweza wakaingia na nafasi ikabakia.
Sisimizi akiwa ndani ya meli kubwa atajua kama meli inatembea🤔Nilsha Sema hivi.....
Kama kweli dunia inazunguka, kwanini maji ya kwenye mito, bahari na lake hayamwagiki??
Mbona tunao ishi ndani ya dunia hato anguki ama hatu sogei kutoka eneo moja kwenda lingine??
OkKamera kwenye Artemis haichukui dunia nzima inachukua sehemu ndogo ya uso wa dunia
Kwenye Artemis kamera inaweza kuwekwa track point katikati ya Dunia
Hii inafanya Dunia ionekane palepale katikati, hata ingekuwa ikizunguka nyuzi 45 au zaidi
Hivyo mwendo unaonekana static kwenye video, ingawa kihalisi Dunia inazunguka
Hata ikiwa Dunia ingegeuka nyuzi 45, kama zoom ni kubwa, mabadiliko yanayoweza kuonekana kwenye fremu ni madogo sana
Hii hufanya bara kubwa kama Afrika ionekane palepale
rotation na revolution nayo unakataa kama gravity?Kwahiyo hata NASA hawawezi kuona Dunia ikijizungusha?
So, wewe unatumia mechanism gani kujithibitishia 100% kwamba Dunia inazunguka, ikiwa hujawahi kushuhudia ikifanya hivyo?
Huu mfano wako ukiuangalia kwa mbali umekaa kama wa kisayansi ila ukiusogelea karibu unagundua sio, sijui kwa nini umetumia mfano wa magari mawili kuelezea mabadiliko ya mazingira gari inaposafiri kwa sababu gari moja tu inatosha."...Ikiwa wewe upo kwenye gari linalotembea, na pembeni yako kuna gari lingine linatembea, lazima utaona mabadiliko ya mazingira. Inakuwaje chombo kinasafiri umbali wa maelfu ya kilomita kuelekea Mwezini, lakini kamera yake inaendelea kuona Bara la Afrika katikati tu? Je, Dunia na Chombo vyote vimegandana?"
Mfano tupo sambamba barabarani , na kila mtu ana gari yake , ukipiga picha gari yangu au ukiichukua video , hiyo video ukiitazama utaweza ngamua mwendo wa gari yangu?