Naseeb Abdul maarufu kama 'Diamond' ashikiliwa na Polisi kwa muda

ila sheria znaruhusu endapo alikuwa na kibari nothng to judge kuhusu ilo

Mimi siamini kama TPDF/JWTZ waliridhia kumpa Almas kibali cha kuvaa sare hizo wakati kuna nguo lukuki za kuvaa. Angalau angekuwa ana act movie ya kivita angeweza kueleweka.
 
Huyu Kijana na Meneja wake walisema walipewa kibali cha kutumia yale magwanda.......Nilishangaa sana
 
Wasanii jamani wapo kwenye Katiba Pendekezwa kwahiyo wameanza kujiandaa
 
Umaarufu unawaponza wabongo wengi acha pewe dawa yake ya mseto naona ana maralia sugu.
 
MSANII Naseeb Abdul (Diamond) leo anashikiliwa na polisi, siku moja tu baada Meneja wake Babu Tale kuhojiwa na kulala mahabusu kuhusiana na matumizi ya mavazi ya kijeshi katika onyesho la Fiesta mwishoni wiki.

Habari zaidi zitafuata.


Kama alipewa kibali basi tuwaulizeni hata majambazi wanaotumia magwanda na bunduki za kijeshi yawezekana nao wanapewaga
 
Habari zaidi zitafuata.
Kama alipewa kibali basi tuwaulizeni hata
majambazi wanaotumia magwanda na bunduki za
kijeshi yawezekana nao wanapewag
 
Uyu Dg Nae An Anavaa Bakabaka Akati Ajui At Kuruta N Nn Da Wampe Azabu Y Kukaa Wk Mbl Kambn Achukue Material Atacmulia Akrud
 
ebu fafanua zaidi,wasipo mdisi maendeleo yanakujaje?.Lililo wazi ili kuwepo maendeleo nilazima ziwepo nguvu kinzani

Kimaendeleo lakini si kukosoa kwa sababu mwenzio anatumia X6 wewe unapanda daladala.. hivyo chuki roho mbaya..
 
Mmh mwaka wa domo huu mara fujo ujerumani mara uingereza mara kuzomewa fiesta mara lupango dogo jirekebishe unampa nafasi kiba hiyo haya
 
ni vigumu kuamini kuhusiana na ujinga alioufanya natamani awe mfano ili hata wale wanaotumia vitambaa vya kujifutia (dilect)za bendera ya taifa.
 
Maisha ndivyo yalivyo kuna kupanda na kushuka.Dogo anapoteza kumakinika na watu
 
Huyu domo pimbi sana..kwa nini hakuvaa kanzu ? Mxxxx mitoto ya madrasa hovyo sana
 
Dogo anaanza kujua upande mwingine wa shilingi.hao ndio waTanzania bana
 
acheni uongo nyie... alipewa kibali... kumchafua tuu ndo mjuavyo

kama ana kibali mbna kakamatwa? na Jesh haliwez mpa kibal m2 avae nguo za jesh afu acheze nazo kitorondo ww.hilo vaz linataftwa miaka wa2 hawalipat afu ww kimachara tu ukate nalo mauno
 
Wawabane wanaoziingiza pia..maana znauzwa madukani,na kama bidhaa inauzwa dukani lazima inunuliwe.

Dukan znauzouzwa co za tipidenga halic.nguo za jesh ndugu yang mpaka mafund cherehan wanaogopa kupunguza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…