ila sheria znaruhusu endapo alikuwa na kibari nothng to judge kuhusu ilo
Mimi siamini kama TPDF/JWTZ waliridhia kumpa Almas kibali cha kuvaa sare hizo wakati kuna nguo lukuki za kuvaa. Angalau angekuwa ana act movie ya kivita angeweza kueleweka.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ila sheria znaruhusu endapo alikuwa na kibari nothng to judge kuhusu ilo
MSANII Naseeb Abdul (Diamond) leo anashikiliwa na polisi, siku moja tu baada Meneja wake Babu Tale kuhojiwa na kulala mahabusu kuhusiana na matumizi ya mavazi ya kijeshi katika onyesho la Fiesta mwishoni wiki.
Habari zaidi zitafuata.
![]()
ebu fafanua zaidi,wasipo mdisi maendeleo yanakujaje?.Lililo wazi ili kuwepo maendeleo nilazima ziwepo nguvu kinzani
Huyu domo pimbi sana..kwa nini hakuvaa kanzu ? Mxxxx mitoto ya madrasa hovyo sana
watamwachia tu , yeye ndiye aliyemfanyia kampeni jk mwaka 2010 kwani ccm walimlipa . nawashauri jwtz wampe kwanza virungu
acheni uongo nyie... alipewa kibali... kumchafua tuu ndo mjuavyo
Wawabane wanaoziingiza pia..maana znauzwa madukani,na kama bidhaa inauzwa dukani lazima inunuliwe.