Nasema tusiwapishe viti wazee kwenye daladala, walichezea ujana

Hafu kusimama dk 45 hakumtoi mtu roho ni sehemu ya mazoezi pia haswa kwa umri wao Endeleeni kukaza mpka wakome...
Vijana vingi vimelegea hadi makalio sababu muda mwingi ni kukaa tu iwe nyumbani vinakaa tu kwenye makochi vikiangalia movie usiku kucha kwenye daladala ni kukaa tu unakuta sasa hivi ndio maana vijana vingi vya kiume hata tendo la ndoa vichovu kuna ongezeko kubwa la Viitoto vya kike kupenda watu wazima kutoroka vijana sababu hiyo
 
Basi wanaochepuka kwasasa ni wengi kuliko wasiochepuka basi itakuwa binadamu wanaume wenye shida ni wengi kuliko wasiokuwa na shida kwa kauli yako.

Mimi sijaoa na ninaona wake wa waliooa wanavyotafunwa tafunwa bila sababu ya msingi, si kazini, si bodaboda, si mateja, mpaka unajiuliza hivi shida iko wapi.

Na hii sio dar tu, kote kote hata huko ambapo wala chips ni wachache.

Mambo mengine ni kudra tu
 
Hao no mademu wa kizazi chenu sisi zamani tulikanywa, mkichinja mbuzi mwanamke asile makende ya mbuzi Ile ni ya wababa Ila Sasa hivi mnawapa dada zenu unategemea nyege apeleke wapi?

Kisusio mwanamke anazuiwa kunywa Ila Sasa hivi unampa tu unategemea damu ikichemka apeleke ndululu wapi?

Ndio maana Kuna chakula ilikuwa mama anatenga kabisa anajua hiki ni Cha mumewe na akila anaijua shughuli yake, Sasa hivi mwanamke analewa tu mapimbe hajui chakula ya mume inaishia kupikiwa chips mayai nyumbani kwako au unakuta ameagiza eti kuku wa KFC maaaaambegese nitafukuza mtu. Wape wanao hayo madude Ila mie niwekee ugali au viazi au ndizi au chakula kinachoeleweka aisee.

Wanawake mnawanywesha Jaggermeister na redbull unategemea itokee nini na ukifika unampiga kimoja tu unalala? Ukiona anakunywa hiyo ndio ujipange usishindie kuagiza burger mzee kale ugali na mboga Saba mlenda usikose.

Ndio maana wazee wa muhimu sana endeleni kuwatukana
 
Ni utandawazi, we huoni wanawake wanajadili hadharani na kusifu kuchepuka humu?

Zamani ilikuwa kumla mwanamke kwake ni jambo gumu, kwasasa anakupa tu kama vile anakupa pipi wala hawazi mara mbili na kesho kakusahau.

Mimi naona sio chakula wala nini ni mabadiliko ya nyakati tu watu hawana aibu hawajali kubusu perception ya jamii juu yao.

Ukifuatilia utaona hata wanavyoshauriana mitandaoni wanashauriana waliwe tu, mwanamke eti lazima asiwe na figa moja
 
Hii nayo ipo, sijui mtaoa wanawake gani maana naona wote yaani wote ni vichaa na wauza mbunye wamezidi Hadi maofisini wanadanga kabisa kwa mabosi.

Wanawake wamekuja kuwa Malaya wa kutupa.
 
Uzee si ugonjwa ni baraka tusiogope uzee, nimejisikia kuwatania babu na bibi zetu.[emoji23]
 
Wengi tu wana nguvu
Ndio wazee wengi wana nguvu ndio maana hata wasipopishwa kiti wanasimama hadi mwisho hawaanguki chini kwa vichovu

Fuatilia vizuri basi hata lijae vipi wazee waliosimama wima huwa hawatoki mijasho lakini vijana mijasho kibao na hulalamika kuwa wanashindwa kupumua vizuri.

Stamina ziko chini kwa vijana wengi huo ndio ukweli na inasababishwa na vyakula legelege wanavyokula na behaviour legelege kwenye maisha kama hiyo ya kushindwa kusimama kwenye daladala hata saa moja tu hawawezi
 
Sifa ya kujiunga na JF zamani ilikuwa lazima Uwe na akili timamu siku hizi ni yeyote mwenye simu kwa hiyo sishangai...!! Baba ako ana gari gani??
 
Wazee wamekulia maisha mazuri sana ya vyakula natural na unapikiwa chakula na mama yako au mkeo sio siku hizi mke anajifanya busy kumbe umalaya mtupu, baba unarudi home unakula chakula Cha housegirl mwanzo mwisho mama akirudi ni kulala tu.

Baba ukitaka kubadili msosi inabidi uende brake point uagize samaki, mlenda, ugali wa dona, kisamvu, yaani ule hotel sio home sasa wanaume so tutakufa?

Mwanamke ni msaidizi Ila Sasa wanataka kuwa watafutaji at the same time wanalalamika maana hela ya mwanamke ni yake tu akikupa atasema anakukopa mie silipagi manina maana ananipiga ngapi za kwangu?

Mwanamke hajaumbwa kutafuta huu ndio ukweli mtupu, mwanamke hajaumbwa kuteseka, Ila haya mateso wanatafuta wenyewe na watateseka kwelikweli.

Mwanamke hajaumbwa kuwaza kiroho wa Mungu, Bali mwanaume huwaza kiroho wa Mungu maana utaumia ukikosa pesa ya kumhudumia mwanamke Ila yeye hatakuhurumia hata kidogo na ndio maana biblia imesema wanaume tuishi kwa AKILI na wanawake

Hii maana yake ni kwamba hawa watu ukitumia roho wao hawajui inabidi utumie akili ndio atakuelewa mpige fix sana, mchekeshe, mpe ahadi mambo yasiwe mengi.
 
Imelaaniwa na kulaanika, magari na vyombo vya moto vinaliganishwaje na utu? Kila mtu akimiliki gari barabara zitatosha?
 
ROBERT HERIEL njoo Tia neno kwenye huu uzi


😊😊😊

Mkuu Heshima na adabu hutegemea mazingira.

Kumpisha au kutompisha Mzee hakumfanyi mtu kuwa na heshima au adabu.

Kama Mzee kaona Gari imejaa na akapanda ni wazi anajua atamudu hekaheka za daladala.

Ila kijana anaweza kumpisha Kwa Mapenzi na hiyari yake. Sio lazima ampishe. Tena akiwa anaenda mbali, mfano kutoka Makumbusho mpaka Bunju huyo hata asipompisha ni Sawa.

Alafu Mzee kwenye Daladala anafuata nini?

Ndio maana huwaga nasema kuna umri ukifika ni lazima Wazee waachie mji waende pembezoni mwa mji au vijijini Kabisa.

Huko watavuta hewa Safi.

Wataepukana na kelele ambazo hupunguza maisha

Wataepukana na maudhi ya Vijana wa kizazi kipya wa mjini
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Me wazee HUWA siwapishi kabisaaaa naaminigi kua maishani mwao wamepitia mengi na magumu kwahiyo HILI la kusimama kwenye gari ni chamtoto tu[emoji4][emoji4][emoji4]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…