Utoto taabu kwelikweli.Kwa maisha ya Sasa 25 bado ni umri mdogo Sana kuanza kufikiria ndoa. Unahitaji muda wa kula ujana peke yako kwanza ndipo uingie kwenye ndoa.
Ikiwezekana jipange kwanza kimaisha mpk ukifika 35 ndipo uingie kwenye ndoa.
Mm nina 26 lkn wanaojitokeza nawaasmbia "bado sijamaliza mambo yangu".