Nashangaa sana kuona dada wa miaka 25 anaolewa. Unawahi wapi? Ndiyo maana ndoa zinawashinda!

Nashangaa sana kuona dada wa miaka 25 anaolewa. Unawahi wapi? Ndiyo maana ndoa zinawashinda!

Kwa maisha ya Sasa 25 bado ni umri mdogo Sana kuanza kufikiria ndoa. Unahitaji muda wa kula ujana peke yako kwanza ndipo uingie kwenye ndoa.

Ikiwezekana jipange kwanza kimaisha mpk ukifika 35 ndipo uingie kwenye ndoa.

Mm nina 26 lkn wanaojitokeza nawaasmbia "bado sijamaliza mambo yangu".
#include<stdio.h>
Int main()
{
Int single maza;
Single maza = 0;
Repeat;
Printf("single maza mtazidi kuongezeka\n");
Single maza++;
If(single maza <= 32,000,000)
Go to repeat;
Return 0;
}

Output; 32,000,001
Asante kwa kuongeza idadi ya watakaokuwa single maza miaka ijayo 😹😹😹😹😹
 
Kwa maisha ya Sasa 25 bado ni umri mdogo Sana kuanza kufikiria ndoa. Unahitaji muda wa kula ujana peke yako kwanza ndipo uingie kwenye ndoa.

Ikiwezekana jipange kwanza kimaisha mpk ukifika 35 ndipo uingie kwenye ndoa.

Mm nina 26 lkn wanaojitokeza nawaasmbia "bado sijamaliza mambo yangu".
Kina nani wanaojitokeza tena?
 
Usiwapangie, kila mtu na malengo yake, Kama wewe 26 bado, waache walio tayari...
 
#include
Int main()
{
Int single maza;
Single maza = 0;
Repeat;
Printf("single maza mtazidi kuongezeka\n");
Single maza++;
If(single maza Go to repeat;
Return 0;
}

Output; 32,000,001
Asante kwa kuongeza idadi ya watakaokuwa single maza miaka ijayo [emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81]
Umejitahid mkuu
 
Lifespan ya ndoa kwa mwanamke.
Miaka 18-24. Mbwa mkali wazazi wanaweka hili tangazo.
Miaka 26-35 Wazazi wanaweka tangazo tunauza barafu,
Miaka ikizidi hapo ni extra time tegemea goli la bahati.
 
Back
Top Bottom