Nashangaa sana kuona dada wa miaka 25 anaolewa. Unawahi wapi? Ndiyo maana ndoa zinawashinda!

Utoto taabu kwelikweli.
 
Wakifika 30yrs asilimia 70 ya mayai bora yanakufa. Anabaki na 30pasee. Halafu wataka afike 35
 
Ukifika 35 hawatakutafuta ila wewe ndo utawatafuta.
Waoaji hawapendi kuoa mitumba iliyovaliwa Ulaya kisha ikavaliwa tena Afrika.
 
Angekuwa mwanaume sawa mwanamke kila umri ukienda soko lake linashuka utakuja kujuta siku moja kwa kukataa husband material na kukaa mda mrefu kuna umri mwanamke akifika wanaume tunaona kashaolewa hatuna mda nae tunatafuta dogodogo mwisho utakuja na thread ya kutafuta mume yoyote awe anapumua tu.

Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
 
Malizia mambo yako kuna muda utafika utasema nahitaji mwanaume yeyote wa kuishi naye.....yaan utakuwa unalala na kuamkia kwa mwamposa
 
Miaka 35 kwa mwanamke kuolewa na mwanaume fresh from ujana kwa hapa bongo huo ni uongo tena ni uongo bwana. Nani aowe mtu amechoka mpaka kizazi labda awe kina mboni, sjui kina dida wa kuolewa mke wa 32117193733 hukooo
 
Uendelee kutumika kwanza. By the time unataka kuolewa hujambakizia mmeo utamu hata kidogo. Waingize tu wasichana wenzio mkenge. Ila sisi tukitaka kuoa haijalishi tuna umri gani, nyie wazee wenzetu tunawaacha tunaenda kutafuta 24-26 ndo tunaoa
 
Endelea kujiandalia mazingira ya U single Mother.
 

Sasa mkuu mbona hatukuelewi! Wewe ni jinsia gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…